Nape Aikubali CHADEMA,Ntagazwa apokelewa rasmi

NN,

Hawa wanaalikwa tu kwa gesture kuwa siasa sio ugomvi. Kama vile baada ya mechi watu mnabadilishana jezi. That's how i take it

Oh okay...sasa subiri uone CCM watakaposhindwa kura huo ugomvi utakaozuka. Si uliona kilichotokea Kenya...si uliona yaliyomkuta Chengirai (najua tahajia za jina lake sio hizo but u know who am talkin bout)....Au unakumbuka jinsi Ali Ameir Mohamed alivyokuwa aking'aka kwenye vyombo vya habari ile '95 kule Zanzibar....

I've had it up to here with these modasuckers.....yakishindwa yataanzisha ugomvi. Can't truss 'em...
 
Huyu Nape ukija na angle nzuri inaelekea unaweza hata kumtia kidole atiiii...... cha machooo.

Maana alikubali vipi kuvaa hii fulana na kidole akatae kutiwa ?

nilidhani huwa unajaribu ku-over do your over doings ila katika hili naona sasa unaanza kujifunua taratibu. Haya maandishi yanatokana na hasira na chuki (na wala si vinginevyo kwa mtazamo). Kwa nini umekuwa so anti-chadema ghafla hadi kufikia kuandika lugha kama hizi? ... no body knows (ingawa nina theory ambayo ninaijenga kwenye hili).
 
Naona tunakoelekea badala ya CCM kuwafundisha wapinzani ustaarabu wa kuvumiliana upinzani ndio unaanza kwafundisha CCM kuwa na siasa za uvumilivu.

Hata kama mnatofauti za kiitikadi lakini kualikana na kubadilishana mawazo kunahitajika sana. Nashukuru Zanzibar karibu watazishinda siasa za uhasama tusipoangalia zitahamia bara.
 
Oh okay...sasa subiri uone CCM watakaposhindwa kura huo ugomvi utakaozuka. Si uliona kilichotokea Kenya...si uliona yaliyomkuta Chengirai (najua tahajia za jina lake sio hizo but u know who am talkin bout)....Au unakumbuka jinsi Ali Ameir Mohamed alivyokuwa aking'aka kwenye vyombo vya habari ile '95 kule Zanzibar....

I know ... but ... let chadema do her (its?) part on this one NN. Share the aroma with your ......
I've had it up to here with these modasuckers.....yakishindwa yataanzisha ugomvi. Can't truss 'em...

Ha ha ha ....

Hiyo modasuckers imenikumbusha yule mu-west (nadhani ni mnijeria) ambaye alikuwa akipewa nafasi kwenye ile comedy hour ya BET 10pm enzi zile nikiwa bado natazama BET. The guy alikuwa akiisema modasuckers kama 100 times in minute.
 
I know ... but ... let chadema do her (its?) part on this one NN. Share the aroma with your ......

Okay, nakuaminia mtu wangu. Let me chill out on this one. Ila kuna sehemu ume comment hapo nyuma kuhusu Nape kuwa "mtu" (binadamu) na imenigusa. Bravo bravismo hapo.

Ha ha ha ....

Hiyo modasuckers imenikumbusha yule mu-west (nadhani ni mnijeria) ambaye alikuwa akipewa nafasi kwenye ile comedy hour ya BET 10pm enzi zile nikiwa bado natazama BET. The guy alikuwa akiisema modasuckers kama 100 times in minute.

Huyo jamaa ni Michael Blackson. Ni Mghana. Jamaa ananivunja mbavu sana. Sasa ukipata muda mcheki kwenye youtube...kuna moja hiyo anaelezea alilipataje hili jina la ki Anglo Saxon wakati yeye ni Mwafrika....utacheka hadi upaliwe

Okay back to topic...:becky:
 
Nimeona kwenye TBC1 akivalishwa t-shirt ya CHADEMA, halafu mwenyewe akaivua haraka kama vile ina upupu!

Ndivyo inavyotakiwa, zile t-shirt zinachoma kweli kama mtu mwenyewe mchafu, yataka ukaoge kwanza uwe msafi. Nasikia kuna watu wana imani kuwa shetani ukijaribu kumvisha joho takatifu hata huo upupu atauona afadhali - naambiwa anaungua kabisa. Kibwengo hifadhi yake ni giza na jaribu kumwashia taa atatafuta hata huo upupu ajisetiri nao. Simkandii Nnauye ila naamini kwa sasa yuko njia panda - uchafu wa CCM unanata kama gundi na hausafishiki kwa maji peke yake, yahitaji sabuni na bleach kiboko.

Hivi ndugu yangu Kithuku, ni kweli ungependa taifa hili libaki hapa hapa lilipo na kama jibu ni hapana, je unategemea chama hicho hicho, viongozi hao hao na mfumo wa utawala huo huo utukwamue hapo tulipogota ? Kama jibu lako kwa swali hili ni ndio, unawapa muda gani wafanikishe hilo kama wameshindwa kwa miaka karibu hamsini ? Kithuku naommba uwe mwungwana unijibu tu haya maswali yangu mawili kwa sababu nimeona jitihada zako za kutung'ang'ania miguu ukituvuta tubaki humo humo matopeni.
 
Okay, nakuaminia mtu wangu. Let me chill out on this one. Ila kuna sehemu ume comment hapo nyuma kuhusu Nape kuwa "mtu" (binadamu) na imenigusa. Bravo bravismo hapo.

Thanks!

Unajua mkuu wakati mwingine hizi siasa zisitupeleke mpaka kufikia hatua ya kutoangaliana usoni. JK au kiongozi fulani wa ccm (hata FMES kama sikosei) juzi juzi alisema kuwa siasa za bongo sasa hivi zimefikia sehemu ukialikwa kwenye sherehe unaogopa hata kunywa maji, chakula unakula kile cha jumuia, etc.

Tunaelekea kubaya sana.

Si vibaya ukialikwa kwenye mkutano wa chama unachopingana nacho. Tatizo litatokea tu pale utakapovuta (pull) ya Joe Lieberman (Mrema wa Democrats) then hapo ndipo unakuwa unaharibu mambo

Huyo jamaa ni Michael Blackson. Ni Mghana. Jamaa ananivunja mbavu sana. Sasa ukipata muda mcheki kwenye youtube...kuna moja hiyo anaelezea alilipataje hili jina la ki Anglo Saxon wakati yeye ni Mwafrika....utacheka hadi upaliwe

The guy namzimia sana, kumbe ni mghana?!

Kuna movie nyingine pia amecheza (siikumbuki jina) ambapo anaingia kwenye duka na nguo zake za kiwest hivi. Itabidi nianze kufuatilia habari zake.

Yaani nilivyosoma hiyo modasuckers nilicheka sana

Okay back to topic...:becky:

Okay
Mimi hapa namsubiria Kiranga tu, niende naye ki-Ron Artes wa Lakers
 
Regia Mtema hujanijibu maswali yangu:
1. Kwa nini mmekubali kumpa Arcado Ntagazwa nafasi ya kugombea ubunge Kibondo wakati kajiunga CHADEMA wiki hii tu? Huku si kuwakatisha tamaa wanachama waliokuwa kwenye CHADEMA kwa miaka mingi ambao wangependa kugombea? Kabla hajaja Ntagazwa kwenu, hamkupanga kuweka mgombea huko Kibondo?
2. Mabere Marando mna mpango gani naye? Nimewatahadharisha mkimkaribisha jikoni ataweka sumu kwenye mboga, ndiyo kazi yake.
3. Mna mpango gani wa kudhibiti hii 'zoazoa'? Maana sasa hivi mnazoa hovyo hovyo kila anayekimbilia kwenu hata nge na nyoka mnabeba tu!

1.Mkuu siasa ni game la tofauti kabisa.Kimsingi Katiba ya CHADEMA inampa haki mwanachama yeyote kugombea nafasi yeyote ndani ya chama au nje ya chama.Wanachama wote tuna haki sawa.Hivyo kwa Ntagazwa na kuomba ridhaa ya kugombea ni uratibu wa kawaida.Hatukuwa na mgombea Kibondo na sehmu nyingine ambako mtu aliykuja toka nje na ameonekana ana nguvu kuliko yule wa kwetu basi tunampitisha yeye,siasa ni dynamics.
2.Mrando atakuwa kwenye kampeni timu ya mgombea Urais,hatuwezi kusikiliza hisia za watu kuwa Marando atachafua hali ya hewa kwa sababu zozote zile
3.Kila anayekuja na kuonesha nia ya kugombea si tunamkaribisha kwa mikono miwili..Tunazoa tu..ndio siasa.
 
Kithuku

Chadema ni taasisi sasa watu wenye uelewa wanalitambua hilo, kwa hiyo si lazima Regia akujibu, hata kama atakujibu halitakuwa ndilo jibu la chama, mimi kama mimi nakujibu ifuatavyo hata hivyo si jibu rasmi la chadema.....

1. Ntagazwa na yeyote atakayejiunga hata kesho atagombea kama mtanzania yeyote alivyo na haki ya kugombea, wanachadema huwa mwiko kukata tamaa hadi kieleweke wakimtaka Ntagazwa atagombea, mbona huwaulizi CCM kwa nini wamewakatisha tamaa wazanzibari wakati walikuwa na mgombea wao tayari?

2. Mpango wa Marando ni kuendeleza mipango ya Chadema yeye hakuja na mipango yake kaikuta.

3. Mnaowaita makapi kwetu ni lulu afterall ni watanzania waende wapi kama nyie mnawafanyia faulo na kuwafukuza Chadema inawakaribisha.

natumai nimejitahidi kujibu.
 
08_10_zbraec.jpg

Jamaa walikuwa wanamtega Nape? Next November ni naibu waziri huyu. Achana na kura za maoni.
 
1.Mkuu siasa ni game la tofauti kabisa.Kimsingi Katiba ya CHADEMA inampa haki mwanachama yeyote kugombea nafasi yeyote ndani ya chama au nje ya chama.Wanachama wote tuna haki sawa.Hivyo kwa Ntagazwa na kuomba ridhaa ya kugombea ni uratibu wa kawaida.Hatukuwa na mgombea Kibondo na sehmu nyingine ambako mtu aliykuja toka nje na ameonekana ana nguvu kuliko yule wa kwetu basi tunampitisha yeye,siasa ni dynamics.
2.Mrando atakuwa kwenye kampeni timu ya mgombea Urais,hatuwezi kusikiliza hisia za watu kuwa Marando atachafua hali ya hewa kwa sababu zozote zile
3.Kila anayekuja na kuonesha nia ya kugombea si tunamkaribisha kwa mikono miwili..Tunazoa tu..ndio siasa.

Yaani Regia majibu yangu utadhani nimekopi kwako au tumefundishwa na mwalimu mmoja angalia post yangu no. 51 nilivyomjibu Kithuku.
 
Mi sijambo kabisa ila Kiranga tu ndio ananichokoza..Ngoja nikaoge nikalale mie.Kesho jimboni..

Asante sana Regia,

Kalale dada yangu so far so good. Huyu Kiranga anakesha na kulala hapa JF so hajaisha bado. Hii tone yake mpya dhidi ya chadema inaonesha kuwa kuna mtu kagusa nerves zake.

So far, huyo mtu anaweza kuwa wewe. .... lol.
 
Oh man...Kiranga naona hataki kukuachia...lol....

Haya lala salama.

Hooooshi,

Jamaa king'ang'anizi hadi inaboa sasa. Angalau angekuwa anabaki kwenye hoja inayoongelewa, yeye yuko all over the map hadi inakuwa kazi kweli kujibu anachouliza. Matokeo yake, threads zake anabaki akiwa mwenyewe tu (labda na ndugu yake tindikali) - si unaona ile thread ya Ulimwengu jinsi walivyoiharibu?
 
Yaani Regia majibu yangu utadhani nimekopi kwako au tumefundishwa na mwalimu mmoja angalia post yangu no. 51 nilivyomjibu Kithuku.

Ha ha ha,

Kanda2 vile anavyomchukia Mbowe, atasema kuwa nyie wawili ni wafanyakazi kwenye baa ya Mbowe (ukimuuliza anajua nini kuhusu bar wakati yeye maalim atabaki akijiuma uma tu).
 
Sisi hatuangalii cheo cha mtu tunaangalia dhamira dhati ya mtu.Binafsi nimemfurahia Nape kuliko angefika Makamba.Alionge vizuri kwa kuwa dhamira yake yafanana na yangu..Aliongea vizuri kwa kweli na ninaamini alichokiongea kilitoka moyoni.
Nyie mlikaribisha Chama, siyo mtu binafsi; Nape ni mtu mzuri sana tena ana uchungu wa dhati na nchi hii. Ndiyo maana alijitahidi kupambana na mapapa ndani ya Chama chake ingawa alishindwa; ila kukiwakilisha Chama chake aliletwa kwa sababu Chama chake hicho hakikuona umuhimu wa wao kuhudhuria mkutano wenu, ndiyo maana wakamtuma mtu ambaye hana uzito kwao pia. Haiyumkini huenda alipigiwa simu tu kuwa ebwana kama una nafasi pitia hapo kwenye mkutano wa CHADEMA. Mwakilishi wa chama alitakiwa ame ni mmoja wa viongozi wa juu wa chama wanoongoza idara fulani za chama kuliko huyu Nape ambaye ni mjumbe wa NEC tu. Hata hivyo kwa vile ndiye aliyetumwa, mmefanya vizuri kumpa heshima zake kama mwakilishi wa chama kingine. Nyie msingeweza kumkataa ila ilitakiwa iwe kwenye kumbukumbu zenu kuwa CCM waliwafanyia dharau.
 
Back
Top Bottom