Nape Aikubali CHADEMA,Ntagazwa apokelewa rasmi

CCM kumpeleka Nape katika kuongoza delegation yake instead of Makamba or another senior officionado ni dharau.

CHADEMA wanafurahia "Nape aikubali CHADEMA".

Hilarious.
Short minded discuss people and events, who is Makamba anyway to me Makamba is another short minded one.
 
08_10_hxqb4f.jpg
 
Short minded discuss people and events, who is Makamba anyway to me Makamba is another short minded one.

Hapa kinachokuwa discussed ni issue ya reciprocity, look that up, understand the meaning, then try to see that CHADEMA has been dissed.

Sasa kama huoni zaidi ya urefu wa pua yako, watu watakuja kuzungumza issues zinazofanywa na watu, wewe utakuwa huoni issues, unaona watu tu. Sasa kwa vile wewe ndiye utakuwa huoni issues unaona watu tu, wewe ndiye utakuwa small mind indeed.

Small minds can't see issues, only people.
 
Kama dhamira yako inafanana na yake mbona mko vyama vyenye tofauti kama usiku na mchana ?

Unaelewa dhamira kuu immediate ya wapinzani ? Kama unaielewa unaweza kusema Nape ana dhamira hiyo hiyo ?

Kiranga,vyama ni taasisi na watu ni watu.Unaweza ukawa CHADEMA lakini tabia zikawa za kiCCM na unaweza ukawa CCM na ukawa safi.Sio wote ndani ya CCM ni wachafu na sio wote ndani ya CHADEMA ni wasafi.

Habari ya upinzani mimi sielewi ninachoelewa ni kuwa ninafanana mtazamo na Nape..
 
Ndio upinzani tunaotaka kuupeleka bungeni huu.

I rest my case people.

Outtie.
 
Ndio upinzani tunaotaka kuupeleka bungeni huu.

I rest my case people.

Outtie.

Nadhani huelewi maana ya upinzani,unafikiri ni kupinga pinga tu..Nenda tena kwenye vitabu na ingia ndani ya siasa ili ujifunze.
 
Kama dhamira yako inafanana na yake mbona mko vyama vyenye tofauti kama usiku na mchana ?

Unaelewa dhamira kuu immediate ya wapinzani ? Kama unaielewa unaweza kusema Nape ana dhamira hiyo hiyo ?
Kiranga hujui maana ya neno dhamira, kuwa na dhamira moja si lazima muwe chama kimoja, dhamira ya wanaCCM walio safi ni kupiga vita rushwa vile vile dhamira ya wanaCHADEMA safi ni kupiga vita rushwa.

Sasa hapo mambo ya kusema lazima muwe chama kimoja kama mna dhamira inayofanana yanatoka wapi. Nilishakuambia wewe huwa unarukia kujibu kitu usichokijua alimradi uonekane umejibu.
 
Sasa msiwaalike kabisa, ukimualika mtu maana yake unamuheshimu, apparently CHADEMA wanaiheshimu CCM.

Hata mimi nilifikiria hivyo hivyo. Why the hell would you want to invite them anyway? If I'm getting ready to have a showdown with you why would I invite you to my (training) camp?

I'll just see you in the ring and (maybe) we'll pop a bottle after the contest.

I just don't get it. Mrema naye alialikwa na CCM akaanza kuilamba makalio. Aaaagh siasa za bongo bana....I mean siasa za kote tu kwa ujumla zinakera.
 
Wakuu leo tulikuwa tunafanya Mkutano Mkuu maalumu wa kumpitisha mgombea Urais na mgombea mwenza wa CHADEMA na kupitisha Ilani ya Uchaguzi 2010. Dr Slaa na Saidi Mzee Said wamepitishwa rasmi kupeperusha bendera ya CHADEMA.Dr Slaa amehudhuria mkutano huu akitokea Hospitali alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji wa mkono wake.Baadaye alirejea tena hospitali kwa matibabu.It was so sad but it had to be that way..

Katika kikao hki tulialika wageni toka kada mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa.Kati ya Wageni waliohudhuria ni pamoja na kijana machachari aliyeangushwa kwenye kura za maoni za Ubungo Nape Nnauye.Wakati akitoa salamu toka chama chake amekiri kwamba CHADEMA ni chama kilichojijenga kitaasis kuliko alivyokuwa akidhani.Nape alikuwa akimwakilisha Katibu wao Mkuu Yusuph Makamba.Amesema anaikubali CHADEMA sana.

Kwa upande mwingine Waziri wa Zamani Arcado Ntagazwa amepokelewa rasmi CHADEMA na kusema kuwa CCM sio mama yake mzazi hivyo amejiunga rasmi na CHADEMA na anatarajia kugombea Ubunge jimboni kwake.

Nape hajajiunga na CHADEMA kama inavyovumishwa.

2010:Hatudanganyiki-Mbowe

Kila ajiungae CHADEMA, akimbilia kugombea Ubunge. Mm hivi ni idiolojia au ni kula kunakowafanya wakimbie CCM na kujiunga CHADEMA.

Kwa maoni yangu, hao wakimbiao CCM na kujiunga CHADEMA na kugombea Ubunge, wanafanya hivyo kwasababu ushindani ndani ya CCM hasa katika kugombea ubunge ni mkubwa sana. Na halai ni mbaya zaidi kwa wazee au wale waliokaa katika uongozi ndani ya chama kwa muda mrefu.
 
Kiranga,vyama ni taasisi na watu ni watu.Unaweza ukawa CHADEMA lakini tabia zikawa za kiCCM na unaweza ukawa CCM na ukawa safi.Sio wote ndani ya CCM ni wachafu na sio wote ndani ya CHADEMA ni wasafi.

Habari ya upinzani mimi sielewi ninachoelewa ni kuwa ninafanana mtazamo na Nape..

Kama hivi ndivyo, utawashawishi vipi watu wa Kilombelo waichague Chadema badala ya CCM?nashawishika unaenda kuifanya njia ya Pedejee Abdul Mteketa kwenda bungeni kuwa rahisi kuliko kawaida.
 
Kiranga hujui maana ya neno dhamira, kuwa na dhamira moja si lazima muwe chama kimoja, dhamira ya wanaCCM walio safi ni kupiga vita rushwa vile vile dhamira ya wanaCHADEMA safi ni kupiga vita rushwa.

Sasa hapo mambo ya kusema lazima muwe chama kimoja kama mna dhamira inayofanana yanatoka wapi. Nilishakuambia wewe huwa unarukia kujibu kitu usichokijua alimradi uonekane umejibu.

Asante sana....
 
Hapa kinachokuwa discussed ni issue ya reciprocity, look that up, understand the meaning, then try to see that CHADEMA has been dissed.

Sasa kama huoni zaidi ya urefu wa pua yako, watu watakuja kuzungumza issues zinazofanywa na watu, wewe utakuwa huoni issues, unaona watu tu. Sasa kwa vile wewe ndiye utakuwa huoni issues unaona watu tu, wewe ndiye utakuwa small mind indeed.

Small minds can't see issues, only people.
Nashukuru kwa kuyapa nguvu maelezo yangu kwamba wewe unamwona Nape kama Nape na Makamba kama Makamba kuwa wana status tofauti wala hujishughulishi kutaka kuelewa maudhui ya ujumbe unaopelekwa, pole sana.
 
Aaah mimi haya ma CCM ingekuwa juu yangu mimi nisingeyaalika kwa sababu hata yakija kushindwa uchaguzi hayatakubali na yata rig matokeo. Sio mamtu maungwana hata kidogo.
 
Huyu Nape ukija na angle nzuri inaelekea unaweza hata kumtia kidole atiiii...... cha machooo.

Maana alikubali vipi kuvaa hii fulana na kidole akatae kutiwa ?
Kiranga, hii ndiyo akili yako ilipofikia huwa huna hoja kabisa hoja zako ni za kulazimisha ukizidiwa unakimbilia matusi, jirekebishe hata wanaokusoma watakuwa wanakudharau hata ukiwa na point.
 
Hata mimi nilifikiria hivyo hivyo. Why the hell would you want to invite them anyway? If I'm getting ready to have a showdown with you why would I invite you to my (training) camp?

I'll just see you in the ring and (maybe) we'll pop a bottle after the contest.

I just don't get it. Mrema naye alialikwa na CCM akaanza kuilamba makalio. Aaaagh siasa za bongo bana....I mean siasa za kote tu kwa ujumla zinakera.

Nyani Ngabu
 
CCM kumpeleka Nape katika kuongoza delegation yake instead of Makamba or another senior officionado ni dharau.

CHADEMA wanafurahia "Nape aikubali CHADEMA".

Hilarious.

hakuna dharau yoyote hapo, kwani NAPE sio binadamu?

Wewe nawe kwa kuanzisha ligi zisizo na kichwa wala miguu hujambo
 
Aaah mimi haya ma CCM ingekuwa juu yangu mimi nisingeyaalika kwa sababu hata yakija kushindwa uchaguzi hayatakubali na yata rig matokeo. Sio mamtu maungwana hata kidogo.

NN,

Hawa wanaalikwa tu kwa gesture kuwa siasa sio ugomvi. Kama vile baada ya mechi watu mnabadilishana jezi. That's how i take it
 
Sasa msiwaalike kabisa, ukimualika mtu maana yake unamuheshimu, apparently CHADEMA wanaiheshimu CCM.

Siasa sio ugomvi jamani, au mnataka iwe kama ile ya kumwaga vinyesi kwenye visima vya maji kama ilivyotokea zanzibar baada ya 2005?

Mimi bado sijaona sababu ya kutoalika watu wasio kuwa kwenye chama chako.
 
Regia Mtema hujanijibu maswali yangu:
1. Kwa nini mmekubali kumpa Arcado Ntagazwa nafasi ya kugombea ubunge Kibondo wakati kajiunga CHADEMA wiki hii tu? Huku si kuwakatisha tamaa wanachama waliokuwa kwenye CHADEMA kwa miaka mingi ambao wangependa kugombea? Kabla hajaja Ntagazwa kwenu, hamkupanga kuweka mgombea huko Kibondo?
2. Mabere Marando mna mpango gani naye? Nimewatahadharisha mkimkaribisha jikoni ataweka sumu kwenye mboga, ndiyo kazi yake.
3. Mna mpango gani wa kudhibiti hii 'zoazoa'? Maana sasa hivi mnazoa hovyo hovyo kila anayekimbilia kwenu hata nge na nyoka mnabeba tu!
 
Back
Top Bottom