Nape ahudhuria sherehe za kuagwa wanafunzi wa UDOM ambao ni makada wa CCM

wengi wao ni watoto wa mafisadi, watoto wa walalahoi nadra sana kuchanganyana na watoto wa mafisadi
 
Hakuna chama kilichothabiti na imara kama ccm na ndicho pekee kilicho na dira ya kutekeleza azima ya maendeleo ya watanzania na kuweka mikakati thabiti ya wahitimu wote wa vyuo vikuu kuajiriwa katika sekta mbalimbali kulingana na uhitimu wa kozi zao kwa manufaa ya maendeleo ya taifa hili la tanzania.Nape big up kwa kukubali ombi la hao vijana wanatambua mchango wako kwa taifa kama kiongozi na kijasna mwenzao.
 
kazi sio lazima uwaajiri wewe wataajiriwa na wengine tu hakuna shaka katika hilo, ww subiri wale wa kwako wa NCCR MAGUNIA, CHAGA DELOPMENT MANIFESTO ndio utawaajiri sio shida vema kabisa hilo, wala hujakosea mwajiri anaajiri kulingana na mahitaji aliyonayo endelea kufauatilia mziki wa CCM kwani ni CDDDDDDDD-700MB upo ndugu?
 
Hongereni vijana wa udom kwa kuitimu na hongera kamanda mpambanaji nape nauye kwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe hiyo ya kuhitimu kwa vijana wetu.
 
Wache waendelee kutapatapa udom kwa sasa ipo under chadema na magamba yao yanazidi kukimbiwa.
 
jtjt
Hivi nyie wanasiasa watanzania lini mtaacha malumbano yasio na maana na kuongelea matatizo ya watanzania na jinsi gani yakuyatatua. Hii JF nikama sehemu moja inaitwa mabwawa 7 karibia na Chuo Kikuu UDSM. Papo karibu na akili za Tanzania lakini pamejaa mavi matupu. Tuongeleeni matatizo makuu ata ma 5 au kumi ambayo yanakabili Tanzania na jinsi ya kuyatatua. Wenzetu wanafanya mambo ya nano-engineering huko sisi tunashindwa ata kuchonga madawati mpaka vodacom waje watufanyie wakati kuna jeshi lisilo pigana vita, vijana chungumzima hawafanyi kazi yoyote. Acheni kujadiliana propaganda. TUAMKE BASI JAMANI!

Ajabu kwelikweli kisima umechimba wewe naukatumbukia mwenyewe. Badala ya kutoa majibu ya matatizo yanayowakabili waTZ umeishia kulalama nakuporomosha mitusi.
Sasa tofauti yako na unaowalaumu ni hipi hapa sijaona la maana ulilochangia zaidi ya kuonyesha uhodari wako wakutumia lugha chafu.
 
<i><font face="lucida console"><font size="3">mtu mzima akisema uongo si vibaya kumwambia ametekleza. Haya ya mapesa vyuoni mwizi hudhani kila mtu mwizi.....</font></font></i><br />
<i><font face="lucida console"><font size="3">tusisahau chuo cha udom kimejengwa kwa juhudi za serikali ya ccm ili wale ambao walikuwa hawapati elimu ya juu sasa wapate kwa kuwepo chuo hichi....lakini pia wale ambao walihitajika lakini hatukuwa nao wapatikane hapa.....ukikosa shukrani wewe sio wote</font></font></i>
<br />
<br />
Wanaowashwa utawajua 2.
 
Nape kama kawaida yake huyooooooooooo keshakimbia. Hutamwona tena hapa kujibu hoja. Si JF tu hata kwenye ukurasa wake wa facebook.:A S 103::biggrin1:
 
Back
Top Bottom