Nape acha kuvuruga Serikali ya wanafunzi CBE

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Mara baada ya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuo cha CBE,ijumaa iliyopita,na rais kupatikana ambaye ni mwanachadema,Naape amekuwa akichochea na kuivuruga serikali chuoni hapo,kwa lengo kuhakikisha kuwa Spika anakuwa mwanaccm
Kwenye uchaguzi wa rais uliofanyika Ijumaa iliyopita ulishuhudia matumizi makubwa,ya fedha kutoka kwa wanaccm,pamoja na hayo matumizi bado walipigwa chali,uchaguzi wa spika utafanyika ijumaa hii
 
Kwa hiyo UDOM CHADEMA,CBE CHADEMA,kweli Dodoma wadeka.Ila najua Serikali itavifunga vyuo vyote wakati wa uchaguzi 2015.Mmejiandaaje kwa hilo?
 
Anatumia wanafunzi ambao ni wanaccm kumtengenezea aliyeshinda Urais ambaye ni mwanachadema
Kwenye huu uchaguzi wa spika,amekuwa akitumia hela nyingi ili ashinde spika mwanaccm
 
Anatumia wanafunzi ambao ni wanaccm kumtengenezea aliyeshinda Urais ambaye ni mwanachadema
Kwenye huu uchaguzi wa spika,amekuwa akitumia hela nyingi ili ashinde spika mwanaccm

Kazi mnayo CBE ila washauri hao wenzako kama ni hela wachukue halafu kura wampe yule wanayeona anafaa kuwaongoza....ila haya mambo ya u-CCM na u-CHADEMA yasiwapotezee sana muda mkasahau jukumu lenu la kubwa la kusoma na kufaulu
 
Mlete mada acha kutafuta sifa...hakuna nape wala na nani sema ni kawaida ya CBE-dsm lazima spika atoke upande mwengine ka kisera
 
ni aibu kama wasomi nao watachakachuliwa. juhudi za nape ni sawa na mbio za konokono hawezi.
 
Hizi politics za chuoni tu mnatumia pesa kunua kura, je huku uraiani si mtawauza wananchi ili muwe wabunge au maraisi!
 
Hizi politics za chuoni tu mnatumia pesa kunua kura, je huku uraiani si mtawauza wananchi ili muwe wabunge au maraisi!

Kama vyuoni wananunuliwa kwa hela itakuwaje kwa ndugu zangu wa hapa Bugayambelele?

Hivi Nnape anasoma CBE au ndio ameanza kuhamasisha vijana huko vyuoni?
 
Tusipotezeane muda hapa JF na hoja za hovyo hivi CBE nayo ni Chuo cha kufanya tujadili hapa JF? halafu hivi huko vyuoni siku hizi wagombea wa serikali za Wanafunzi wanapitia vyama vyao vya siasa kama ilivyo kwenye ubunge,udiwani na Urais wa nchi? Kama wameenza kuchaguana kwa kuwakilisha vyama basi wanavyuo mjue mumeliwa mnahitaji viogozi wanaonelewa mahitaji yenu hapo chuo na kuangalia ubora wa elimu mnayo ipata ili mkiingia kwenye soko la ajiri muwe washindani!
 
Nahisi mimi ni mgeni sana kwenye hii mada? Inakuwaje wanatumia vyama kwenye kuchagua viiongozi wa shule? Kazi kweli kweli.
 
Nakuomba mdau usikibeze chuo cha CBE, Kuna watu wengi wanakuja kwa kuskia elimu ya hapa ni easy, wanaondoka bila cheti...
Kuhusu rais mpya wa hapa CBE Dar Mr Kidera Gango, haina kificho ni jasiri sana.. Na alikua na sera ya kuondoa ufisadi, ambayo hata Chadema wanaitumia mpaka sasa.. na hata matunda yake tunayaona sasa..
 
Siasa inaua vyuo vya bongo sasa! Mtoto wangu hasomi chuo chochote Tanzania lazima aende abroad ngoja wasome watoto wa wachimba chumvi na mambo yao ya U-CCM na U- CHADEMA! Hovyo kabisa!
 
Mara baada ya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuo cha CBE,ijumaa iliyopita,na rais kupatikana ambaye ni mwanachadema,Naape amekuwa akichochea na kuivuruga serikali chuoni hapo,kwa lengo kuhakikisha kuwa Spika anakuwa mwanaccm
Kwenye uchaguzi wa rais uliofanyika Ijumaa iliyopita ulishuhudia matumizi makubwa,ya fedha kutoka kwa wanaccm,pamoja na hayo matumizi bado walipigwa chali,uchaguzi wa spika utafanyika ijumaa hii

It's too low, grow up!
 
Back
Top Bottom