Nape Aanza kazi mpya ya umwagiliaji makaburi, Mungu awalinde wote waliotutangulia

<jf haishi vituko. mtandao huu utakuw amoja ya chachu ya mabadiliko 2015 pale wabunge 3/4 watatoka upinzani
CCM robo, hata wakiiba kura urais taofa jipya litazaliwa
hao CCM sijui watajificha ila nina wasiwasi wataiba sana kuifilisi nchi wakijua mwisho wao umekaribia.
 
Yatasemwa mengi....semeni mkishachoka maisha yanaendelea

Nape, ulisemalo ni kweli kabisa kuwa maisha ni lazima yaendelee, lkn pamoja na hilo Nape hebu tuambiane tu ule ukweli, "KIPIGO" mlichokipata kule Arumeru mashariki wewe umekionaje? ni kwamba hakikuwa cha mchezo kabisa au wewe unasemaje rafiki?! Wewe niambie tu ule ukweli manake hapa ni mimi na wewe tu tunaongea!
 
Yatasemwa mengi....semeni mkishachoka maisha yanaendelea

Mambo yakiwa magumu Arumeru ndio mnakumbuka makaburi ya babu zenu eeeeh, kule sio Igunga babu.

Ile hoja ya kumpatia kijana kiti cha marehemu baba yake ili apate mshahara wa kutunza familia (Hon. Livingstone Lusinde, MP) imefeli sasa mnaonaje mkae kama kamati kuona anapata kazi nyingine (si nimesikia mmegawanya mkoa mwingine ili iwe mingi katika mkakati wa kukuza ajira) sasa mngefanya namna kijana naye apate angalau ukuu wa wilaya apate mshahara.

Na tukiacha utani, mawazo kama haya ya Lusinde huwa mnayatoa wapi?

Baba yangu angekuwa na busara akafanya kazi CCM, ungekuta saa hizi na mimi natesa kama wewe, ila yeye aliona UNDP ndio kwa maana wakati kule mzee akifa kijana harithishwi ofisi, dah!
 
Hii ni desturi ya wengi. mambo yakishaenda mbaya lazima kuwaone wazee na kuwaulize kulikoni, makabila yetu sisi (kabla imani za kikristo, kiislam) walikuwa wanaenda kumwagia maziwa au damu ya mnyama. sijui yeye hapa anamwagia nini?
 
Kaka Nape malengo yako ni mazuri tu kwa watanzania, lakini bahati mbaya uko ndani ya jumba la kuzimu linalotesa watanzania kwa muda mrefu sana, na wewe umekubali hivyo, hukumu itakufuata na wewe bila kujali malengo yako.
Kuna kipindi fikra zako zilirudi kidogo ukaanzisha ccj, lakini woga kwa hilo jumba ulimo ndio unakuua.
Fikiri sana bado nafasi unayo ya kutetea watanzania.
Zile siasa za kimapinduzi ya kweli na uongozi bora za akina Moses Nnauye (R.I.P) ambazo unazo kichwani wenzako walishazizika zamani kwani zinzwazibia riziki ya kula nchi.
Chukua hatua Nape, CCM imebaki na wazee kuchumia matumbo ili muda wao wa kuishi upite, nchi hii inakombolewa na vijana na ambao wako nje ya ccm.
 
Yatasemwa mengi....semeni mkishachoka maisha yanaendelea
Mkuu wangu NAPE, heshima mbele, hv nini mtazamo wako kuhusu yale matusi aliyokuwa akiyaporomosha bwana Lusinde.
Je? alipata baraka za Chama au ilikuwa ni maamuzi yake Binafsi?
je kama hakupata baraka za Chama, chama kilichukua hatua gani dhidi yake? au kilimpongeza?
Ni hayo tu kiongozi...mungu ibariki Tanzania!
 
Kweli kikulacho ki nguoni mwako,CCM waliona kumpeleka EL kutasaidia kumbe imekuwa kinyume!. Hivi mlidhani wameru ni wadanganyika?.Nape kaweka kambi! ntu huyo huyo majuzi tu alikuwa king`ang`anizi katika kutaka EL abwagwe eti ajivue gamba kampeni mnakuwa wote jukwaani nani wa kumdanganya kama matangazo mmeyafanya wenyewe! ni kwa jinsi gani mlivyo, na hii ni trela endeleeni na mtindo huu hiyo 15 ndiyo mtaiona picha halisi kuna mkenya aliimba wimbo akasema kila kitu kigeugeu mpaka bibi yake kigeugeu mkasikilize huu wimbo mjipange wakati wa kuwafuata wananchi.Hawanunuliki kwa sasa na baadae .WOTE WAMEMUWEKA MUNGU MBELE,SIYO PESA WALA KURITHISHANA VITI KIFALME WAMERU MASIKINI LAKINI JEURI
 
Hongereni watani (Chadema) kwa ushindi Arumeru Mashariki. Ninawapongeza mmeshinda! Ndio kauli ya wana Arumeru Mashariki nasi tunaiheshimu! Fanyeni kazi kutimiza mliyowaahidi wapiga kura. Kila lakheri!!View attachment 50782

pongezi hizo umezitoa kwenye wall yako kwenye facebook naomba uzitoe na hapa JF



haya maneno ya kinafki tuuu kama kweli una uchungu na nchi na
unaitakia mema kwa umri wako hukutakiwa kuwa hapo ulipo
na kunena hayo uyanenayo.:rockon::rockon::rockon::rockon:
 
Yatasemwa mengi....semeni mkishachoka maisha yanaendelea

Yakhe wewe nape watu wanakufanya Karagosi na wewe unajingiza kichwa kichwa ,any how nimecheka sana kwa majibu yako yanayo mainisha uliyatowa kwa unyonge kabisa
 
images

Jamani, huu ni umwagiliaji wa aina gani tena? Si kaburi la mzee wake? Duuh!
 
Back
Top Bottom