Nape Aanza kazi mpya ya umwagiliaji makaburi, Mungu awalinde wote waliotutangulia

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
images
 
Pole sana kada,sidhani kama watu wanachuki binafsi na wewe ila wanachuki kubwa sana na huo mzoga ccm
 
Yatasemwa mengi....semeni mkishachoka maisha yanaendelea

kwa sababu wewe sio mstaarabú ndo maana tunakuandama hivi,ýako wapi majigambo yako kwamba ccm imeshinda arumeru imesubiri kutangazwa.Safari ùtaikumbuka ccj
 
Dah! Hii ni kali wakuu.Jamaa kakumbuka wakubwa zake baada ya kufall apart huko arumeru!.Magambaaaaaaa!!
 
Yatasemwa mengi....semeni mkishachoka maisha yanaendelea

Naona wamekuchokonoa huko ulipokuwa umejificha mpaka wamefaulu kukutoa.. Sasa inabidi utoke mzima mzima uje hapa kupambana na hoja zinazotolewa. Usiogope wewe ni mtoto wa kiume madhubuti. Kama ulikuwa na uthubutu wa kupambana na Lowassa kwenye majukwaa hadharani then ninaamini still you have those steel balls za kupambana na hizi hoja hapa JF.

Go Nape go Nape go.. Unasubiriwa usiogope. Kama ingekuwa macho kwa uso ndio ulitakiwa uogope maana naamini usingeweza kupambana ila kwa keyboard, c'mon Nape, you can do this.
 
Yatasemwa mengi....semeni mkishachoka maisha yanaendelea

Kaka Jr, nasikia na wewe ni mcha Mungu, please hebu niambie, kile ambacho huwa unasema kwa kupayuka sana na msisitizo, huwa kinatoka moyoni mwako au mdomoni tu? Nina maana, kile unchokiongeaga, we mwenyewe huwa unakiamini?

Sisi wengine tuna amini hivi, kupenda ccm ni lazima uwe unakili za maiti!
majibu tafadhari.
 
Hongereni watani (Chadema) kwa ushindi Arumeru Mashariki. Ninawapongeza mmeshinda! Ndio kauli ya wana Arumeru Mashariki nasi tunaiheshimu! Fanyeni kazi kutimiza mliyowaahidi wapiga kura. Kila lakheri!! 531930_381910065163746_100000342668655_1284574_390694123_n.jpg

pongezi hizo umezitoa kwenye wall yako kwenye facebook naomba uzitoe na hapa JF
 
Halafu kwa domo kaya lake aliwahi kusema eti wana uhakika Lema atashindwa rufaa waliyokata halafu chaguzi ndogo watashinda kwa kishindo, walivyoliita mahakamani lidhibitishe kauli hiyo likajifanya linaumwa,.
 
Back
Top Bottom