Nape aandaa waraka wa kuwakana CCM

wengi naona mnamsakama nape na kusahau kuwa c jukumu la nape pekee bali sekretariet kwa ujumla,na msianze kupiga vuvuzela wakat hamjajua matokea,subirin muda uishe
 
Tuwachie CCM wenyewe,yakiwashinda hasara kwao.Inawezekana tulio nje ya uringo hatujui nini hasa kinaendelea.Kwani matamshi ya viongozi wa chama yanatofautiana labda kwa makusudi au ndio udhaifu wa chama unazidi kujitokeza.Tujaribu kuchangia mada nyingine.
 
Siku 90 ndio zilitolewa na haikuwa inamaanisha kuwa akina EL,RA na AC waondoke CCM. Waliambiwa kuwa wajiangalie, kama wanafit CCM wabaki na kama wanaona hawafiti wahame!Wameonyesha kuwa still wanahitajika, na mchango wao ni mkubwa kwa taifa. Sasa nyie mnataka waondoke waende wapi?
Kwa hiyo wewe ndio ulielewa zaidi? Au?
 
kama yao ya magamba yamewashinda au bado siku n anè kujulikana rasmi yamewashinda wasitujazie upupu na mambo ya ajabu ajabu humu to the great thinkers. Ili ukumbii huu uwe useful, mods tengenezeni polic ya kupost maana pumba kumezidie hasa ushabiki wa magamba kama walivyoagizwa na nape na ccm sasa ukumbi hovyo
 
wengi naona mnamsakama nape na kusahau kuwa c jukumu la nape pekee bali sekretariet kwa ujumla,na msianze kupiga vuvuzela wakat hamjajua matokea,subirin muda uishe

Sisi tuliemsikia ni yeye, hao wengine kama nao walisema basi tulikua hatupo.
Isitoshe yeye ni mwana-Jf mwenzetu hivyo anatuhusu, hatuwezi kumzungumzia mtu asie mwenzetu
 
Mbona hatuulizi source ya habari yake kama tunavofanyaga?
Haya ni majungu tu,
Mtu kajiunga leo na habari ya hisia tu then tunaamini.
Mleta mada umekurupuka wapi? siku ya kwanza unaanza na umbea.
 
Mbona hatuulizi source ya habari yake kama tunavofanyaga?
Haya ni majungu tu,
Mtu kajiunga leo na habari ya hisia tu then tunaamini.
Mleta mada umekurupuka wapi? siku ya kwanza unaanza na umbea.

Nasikitika kuwa JF walinifungia acount yangu bila sababu na kunifanya nibadili jina, mimi ndani ya JF sinear member ila nimeamua kubadili jina kama makampuni yetu ya cm yanavyobadili ili yasilipe kula, nilikuwepo kabla yako kikubwa elewa maada kwani naamini umenipata...
 
CCM wana wakati mgumu sana kwa uamuzi wowote watakaochukuwa itakula kwao,wakiwafukuza RACHEL siri nyingi za wizi na uchakachuaji wa kura zilizopora ushindi wa Dr. Slaa zitawekwa peupe, na wakiwabakisha hawa mafisadi nyangumi ndiyo wanazidi kujidhalilisha na kuonekana walikurupuka kuleta falsafa ya kujivua gamba.PATAMU HAPO
 
Ni muongo na mnafiki mkubwa anasumbuliwa na uroho wa madaraka,chuki ubinafsi na uchu wa kujilimbikizia mali kwa njia kuwachafua wenzake.
 
CCM wana wakati mgumu sana kwa uamuzi wowote watakaochukuwa itakula kwao,wakiwafukuza RACHEL siri nyingi za wizi na uchakachuaji wa kura zilizopora ushindi wa Dr. Slaa zitawekwa peupe, na wakiwabakisha hawa mafisadi nyangumi ndiyo wanazidi kujidhalilisha na kuonekana walikurupuka kuleta falsafa ya kujivua gamba.PATAMU HAPO

Sasa ndugu zangu naomba mnisaidie maana huu mziki hauchezeki hata kidogo uwanjani, jamaa ndo hao wanaonekana
hawayumbi kwa maneno ya ndugu yangu NAPE sasa afanyeje maana tunataka tuijenge nchi japo NAPE hakuwa muwazi wa
kuomba mawazo ya msaada kwa hili suala, uwezo wake umeishia hapo SASA AFANYEJE MAMBO YAMEKUWA MAGUMU
NA SIKU NDO HIZO ZINAISHA BILA MATOKEO CHANYA KWA WATZ NA CCM ILIYOMTUMA KWA GHALAMA KUBWA JAPO KAZI
HAIJAFANYIKA....
 
mnajua maana ya NAPE........ni kimakonde....

MEANS....... something cant achieve.......

grow well.....unachievable.....lookkkk
 
Nape labda aanze kujiondoa mwenyewe ila si kwa hawa mapacha 3 kwani ndio waliomweka jk madarakani..dogo nape anacheza ngoma ya kichina tu.
 
i real wonder, na nitaendelea kuwashangaa CCM, Sijui watawaeleza nini wananchi na sherehe zao walizofanya wakizunguka mikoa kuanzia dodoma , moro, pwani hadi dar kwa mbwembwe kusherekea kuvua magamba alafu cha ajabu sherehe wamefanya kabla magamba hayajatoka , ngoja yaanze kuwadhuru hayo magamba si mchezo , mwombee adui yako njaa hapo wamelikoroga lazima walinywe, nasema lazima, NAPE UNALO MKAKA WEWE NA WENZIO Mbona wamekiutega wenzio ungepima kwanza uzito wa magamba hyenyewe , tangu lini chama kikajivua magamba mmeyatoa wapi nyie wana CCM? Mbona hili litawadhuru hadi kieleweke na sisi wananchi mufanye sherehe zile zile mkipita kila mkoa pale mlipoishia hadi mlipo anzia musherekee na wanchi kushindwa kuyang'oa magamba , tusherekee kama tulivyo sherekea mwanzoni,

POLENI SANA MKIMALIZA LA MAGAMBA MUANZISHE LA UMEME TENA

The Gomezi hapa, nawakilisha fikira zangu bwana , habari zyao chama cha magamba bwana!
 
Ngoma inogile: KUJIVUA MAGAMBA vs. KUFANYA MAAMUZI MAGUMU!!!!!! Tutajua mshindi ni nani kabla ya hizo siku 8 zilizobakia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom