Napatwa na msongo wa mawazo

No mimi Sio mkenya,ni mtanzania
Sio kwamba nilimpenda kwa sababu ya pesa no,basi tu sioni Kama tutakuja endelea,
5yearz to come umri unaenda haumsubiri mtu,

Nishakujua, wewe ni Msambaa wa Lushoto, kule huwa tunasema MISHI YA NEMA IZA SHIA. sasa bi dada angalia ustaarabu mwingine, ukijifungua salama sepa zako hutashindwa kulea mwanao mbona kuna single mother kibao na wanaishi maisha wayatakayo, kama ukijisikia hamu ya tendo siku hizi kuna vitendea kazi kibao, unajinunulia cha kwako unajisevia mwenyewe chumbani bila bughuza, ndoa kitu gani bana,
 
Mhhhhhhhhhhh! Zinduna ushauri wako, wanitisha hadi mie KUBWA LA MAADUI!!!!!!!!!! Khatari hiiii!
 
Mie nakushauri KAA WAUDUMI WOTE TU YEYE NA MTOTO!!!!!!!!!!! Bi dada ndoa bahati siku hiziiiiii! If he makes you happy hela unaweza kutafuta mwenyewe!!!!!!!!! KIUKWELI NDOA NYINGI ZIMESHIKILIWA KIMAGUMASHI MAGUMASHI TU, SIO YAKO TU!!!!!!!!!!!!!! THE ART OF STAYING LONG IN MARRIAGE TODAY IS COMVISING PEOPLE N YOURSELF YOU ARE HAPPLY MARRIED!!!!!!!!!!!!!! Wote unaowaadmire ndoa zao, they got skeletons in the closet!!!!!!!!!! Ndoa saivi ni mapambano, pambana tu humo, ukimuacha huyo sisi tusioolewa TUMEJAAA, NAFASI HAKUNA!!!!!!!!! I WISH UNGEKUJA KUSIKILIZA WOSIA WA MAMA LARA 1 WA KUNGANGANIA KWENYE NDOA!!!!!!!! Mmmmmmmmmmh! Usiringie Kazi Ringia bahati!!!!

Na wanaume siku hizi wana ugonjwa wa kuwa tegemeziiii! Watu walioolewa siku hizi ni KOPA KOPA UTD sio kama zamani mtu akiolewa mnasema kaukata!!!!!!!!!!! Yaani wengi mpaka nawakimbia!!!!!!!!! Na waume zao wana mijivyeo sema ndo MBESA haionekan kunyumba!!!!!!!!!! Bora wewe una likazi la maana, wenzio za kuunga unga basi ndo akikuona utadhani kaona TUNAKOPESHA LTD!!!!!!!!

LET ME ENJOY KULA MUSHAHARA YOTE BILA MAJUKUMUUUUU!!!!(Kabla Diaspora hajanioteshea nyasi kibarua changu) ! I actually never considered myself lucky till now!!!!!!!!!!
 
Jamani mumwelewe uvumilivu sawa kwa nn asshirikishe kwenye maswala ya pesa na madeni yake ni sawa mumemshauri avumilie na kuongea nae kwa utulivu huenda itamsaidia pole mdogo ni hatua za maisha ya pamoja mapito hayo mtumainie mungu.

Nayanda.
 
Nishakujua, wewe ni Msambaa wa Lushoto, kule huwa tunasema MISHI YA NEMA IZA SHIA. sasa bi dada angalia ustaarabu mwingine, ukijifungua salama sepa zako hutashindwa kulea mwanao mbona kuna single mother kibao na wanaishi maisha wayatakayo, kama ukijisikia hamu ya tendo siku hizi kuna vitendea kazi kibao, unajinunulia cha kwako unajisevia mwenyewe chumbani bila bughuza, ndoa kitu gani bana,
Zinduna my dear, hivyo vitendea kazi vina joto? Na vipi kwenye ushirikiano? Yaani ni mwenyewe tu? Yaani huwa vipati picha Watu wanaburudikaje na hivyo vitendea kazi, lol!
 
Last edited by a moderator:
Bi dada gfsonwin maswali yote hayo ya nini, we si umweleze tu kwamba mumewe anacheza KAMARI,za kwenye MA CASINO!
Siku hizi vijana wengi wameibukia kwenye kamari na huo ni ulevi mbaya kuliko hata Bangi za akina Arushaone LOL
Zinduna ndio maana nimemuuliza maswali ya mtego ila pia hajaweza kuyajibu to me haya ndo majibu yangu:-
ama bwana anacheza kamari kwenye makasino
ama bwana analea mtu mwingine some where ambaye ni controller kuliko binti mwenyewe.
ama bwana aliwah kusababisha shotikubwa ya fedha sasa analipa deni
 
Last edited by a moderator:
mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa mwaka huu ,I'm pregnant nategemea kujifungua mwezi wa 12,
Tatizo langu ni huyu mume wangu its like he's irresponsible,kila kitu kwake anaona hakina maana wakati wa uchumba hata sofa alikuwa Hana mimi ndie. nilimshikia bango hadi akanunua,alikuwa anaendesha swift akabadilisha
he's 33 years old anafanya kazi bank kwenye manager position for so many years now ila hata kakiwanja Hana,nimegundua ana deni kubwa kazini nikimuuliza alichukua mkopo wa nini haniambii,hela mwisho wa mwezi inaishia kwenye madeni mimi nabaki kuwa provider of the house for the wholy month,
mwezi uliopita gari yake wamechukua wadeni wake
Maisha yangu yamechange so abruptly,I was beta off before marriage,I can't even do shopping yangu the way I used to ,kazini inabidi nimpeleke na gari yangu asubuhi na jioni nimpitie,

Are you guys really 'married'.....kabisaa mchungaji akawaambia mungu anawaunganisha kuwa mwili mmoja?! Mpaka sasa hivi bado unarefer properties zenu as 'yake', 'yangu'!...hamna 'yetu'!? Nyie ndo wale mnaoana kama fasheni...sasa mtindo umepitwa na wakati unalalama, badili tu...pedo ikipitwa na wakati unavaa skin jeans tu!
 
mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa mwaka huu ,I'm pregnant nategemea kujifungua mwezi wa 12,
Tatizo langu ni huyu mume wangu its like he's irresponsible,kila kitu kwake anaona hakina maana wakati wa uchumba hata sofa alikuwa Hana mimi ndie. nilimshikia bango hadi akanunua,alikuwa anaendesha swift akabadilisha
he's 33 years old anafanya kazi bank kwenye manager position for so many years now ila hata kakiwanja Hana,nimegundua ana deni kubwa kazini nikimuuliza alichukua mkopo wa nini haniambii,hela mwisho wa mwezi inaishia kwenye madeni mimi nabaki kuwa provider of the house for the wholy month,
mwezi uliopita gari yake wamechukua wadeni wake
Maisha yangu yamechange so abruptly,I was beta off before marriage,I can't even do shopping yangu the way I used to ,kazini inabidi nimpeleke na gari yangu asubuhi na jioni nimpitie,

dada mkopo ametumia kwenye harusi yenu,chunguza itakuwa ni matumizi yenu ...pole ,ndio ndoa hiyo.
 
ushaingia choo cha kiume hivo mdada! huna jinsi kaa nae mwambie awe mkweli ,mlipe madeni ya watu muanze upya
hope ushajua ni mtu wa aina gani
 
ndoa ni pamoja na kupitia majaribu,kusimama ktk upendo wa dhati baina yenu na kuvumiliana.kama hamtopitia majaribu siku yakitokea mtaachana bila hata kutafakari.wanawake wa sasa hawana vifua vya kutunza siri za ndani,jambo dogo hawataki kushughulisha vichwa vyao.ushauri ni kuwa wewe na mumeo mu wamoja na si kila mtu ana lake,unapoona ku sehemu haplay part yake inavyostahili lazima uingilie kati na mtafute suluhu na kwenda mbele,maisha ya sasa ni magumu sana hakuna mwenye ubavu wa kuyamudu kwa upekee hasa ktk ndoa.lazima mshikamane tambua tatizo la mumeo ni lako pia naye matatizo yako aone ni yake.tatizo haliwezi kupatiwa ufumbuzi kwa kulikimbia,hakuna maana ya ninyi kuwa ktk ndoa kama kila mmoja ana mambo yake na no room for discussion.ninachokiona kwa mwenzako ni kuwa ana tatizo la msingi na kama mkewe haujaplay part yako ya kuhakikisha matatizo yenu mnapata majawabu kwa umoja,kumbuka umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.kaa naye mumeo kwa namna ambayo atakuelewa kuwa unataka mtatue tatizo lililo upande wake na umegundua kuwa kama atabaki nalo halitopatiwa ufumbuzi wa haraka,kwakuwa muda pia ni mtaji.atakueleza na kwa pamoja mtaona ukubwa wa tatizo na mwaweza kushauriana namna bora zaidi ya kutatua pasi ya kuathiri mambo mengine mfano sisi wajenzi tuna msemo wa kuwa ili kujenga lazima kuna sehemu ubomoe,na ipo hivo daima mjenzi anajua pia kubomoa.kuna sehemu utaumia lakini pesa yako na yake ijulijane inapatikana ngapi wekeni mezani then mjadili na kupanga kulingana na kilichopo,msiendekeze maisha ya kila moja kuwa mali zake na matatizo yake hiyo ndoa itapoteza mwelekeo soon na wakati bado twahitaji kuendelea kuwaona mkiwa wamoja.majaribu yapo kwaajili ya kukustretch kwajambo fulani kimaisha,what i know kila unapopatwa na swaibu flan u dont remain the same,tumia kama kipimo cha maisha how capable you are to meet challenges.kila jema nakutakia na simama imara kwaajili yako na ndoa yako.be blessed!
 
now ya tangled oups, better hold up for now geta ya baby, make sure ya prepare yaself for the baby yo knw
1. have the delivery package
2. arrange where to deliver
3. incase something happen if ya don trust ya husb no more who wil take care of ya
4. transport
5. some cash to use b4, during and after delivery
6. if ya think ya not safe where ya just get somewhere after discusing this with ya husban
BE SMART, PREGNANCY BY IT'SELF CAUSES DEPRESSION n what ya have to do is to make sure what ya having end up well coz if it doesnt it will be a source of another form of depression think big
as long i love to see ya pregnant end's well, oups take my advice
 
Dadaangu ndio ndoa hiyoooo vumilia

Au jaribu kuwashilikisha jamaa zake wa karibu na wazazi wake khs suala linalokusumbua ili wakae nae chini, labda itasaidia
 
Back
Top Bottom