Napata wakati mgumu kukutana na Mke wangu mtarajiwa

Bado hujawa tayari, ukiwa tayari utampata tu pamoja na kuwa bussy namna hiyo.
 
U-busy wako hauwezi kukuzuia kupata mwenza wa maisha. Inaonesha bado hujawa tayari, ila ipo siku utampata tu usivunjike moyo!
 
Sasa tukushauri nini tena usichojua?Umeshajua tatizo lako ni muda wa kusocolize so make time.Anza kupanda na daladala kabisa mara moja moja !Alafu eneo unaloishi nako hamna watu??Ukiwa unamhitaji kweli mwenzako utajikuta umekutana nae bila hata kutarajia wakati muafaka ukifika!!
 
Braza umetaja mmpaka mshahara unaolipwa? Haya kina dada bahati hiyoooo inapita, jimwageni,si yetu macho tu.
 
Si humuhumu unasocialize kaka mkatakiu? Au dada lizzy hulifahamu hilo?natumaini utawapata humuhumu tuuu!
 
Umemsoma vizuri sana....lol!!

Umeona ee?nimemfananisha na rafiki yangu mmoja mjaluo

Ye akienda hosp by the time anautaja ugonjwa unaomsumbua daktari anakuwa ashajua
mgonjwa naishi wapi,kwenye nyumba ya aina gani,anafanya kazi gani,mshahara wake,anakula chakula wapi na kwa shing ngapi,ana magari ya aina gani na mangapi,na akaunti zake zote

Kaka yangu hapo ju amefanana na huyo jamaa sanaaaaaa
 
mbona kama vile una mashauzi ????
mara nyumba mara gross mara usafiri
yani hapo tu mie huku ho lolo ama kweli
ni ishu
keep on searching utapata mwaya
 
Hakuna kazi isiyokuwa na "off". Jenga mazoea ya kujichanganya na watu hata kama siyo wa Class yako. Matembezi ya karibu usitumie gari. Jizoeshi kwenda ibada na hata kujitolea kwa kazi za kanisa ili kujichanganya.

Ukishindwa hayo yote, wazazi wako watakutafutia mke kwenye watu wa class yake.
 
Si humuhumu unasocialize kaka mkatakiu? Au dada lizzy hulifahamu hilo?natumaini utawapata humuhumu tuuu!
Amesema wa fesibuku hataki kwahiyo nachukulia hata hapa anaogopa...unless anatumia janja ya kutangaza mshahara kuwakamata wadada wa JF wanaopenda mtu wa aina yake!
 
babu unajua sisi wenye hayo makabila tunajuana.ukikutana na babu kabla ya salamu unamuonyesha car keys

Aisee daughter unaonaje ukizionea huruma mbavu zangu?

Nimecheka mpaka laputopu yangu inanishangaa.........:bange::bange:

Ukiachia kingine babu atakuja kukuchapa LOL
 
Hakuna kazi isiyokuwa na "off". Jenga mazoea ya kujichanganya na watu hata kama siyo wa Class yako. Matembezi ya karibu usitumie gari. Jizoeshi kwenda ibada na hata kujitolea kwa kazi za kanisa ili kujichanganya.

Haswaaa kwenye nyumba za ibada! bro lakini japokuwa ulipokuwa masomoni uliweka mambo ya mapenzi kando,haukuwa na marafiki wasichana wa kawaida tu ambapo sasa hivi unaweza kumfikiria mmojawapo awe mtarajiwa?
 
Hakuna kazi isiyokuwa na "off". Jenga mazoea ya kujichanganya na watu hata kama siyo wa Class yako. Matembezi ya karibu usitumie gari. Jizoeshi kwenda ibada na hata kujitolea kwa kazi za kanisa ili kujichanganya.

Ukishindwa hayo yote, wazazi wako watakutafutia mke kwenye watu wa class yake.
Ajenge mazoea ya kujichanganya na kama ni mkristu inabidi ajiunge na kwaya hata kama hawezi kuimba maana huko ni rahisi kupata huyo mtarajiwa
 
Aisee daughter unaonaje ukizionea huruma mbavu zangu?

Nimecheka mpaka laputopu yangu inanishangaa.........:bange::bange:

Ukiachia kingine babu atakuja kukuchapa LOL
baasi babu sirudii tena.ngoja nisepd
 
Back
Top Bottom