Napanga kuyashitaki makanisa na serekali kwa mgomo huu wa madaktari!

Status
Not open for further replies.
Hii hoja ina nguvu sana, haiwezekani bilion 90, zisionekane kwenye report yoyote! Huu ni wizi wa hali ya juu.
 
Kama kweli unaogopa DAMU isimwagike Jaribu kuueleza Umma au JAMII ukweli bila CHUKI na BILA kueneza UONGO na

Kuhamasisha Gharika kati watu. Bugando na KCMC pamoja na kuwa zimerudishwa kwa Makanisa Serikali bado ina

Asilimia yake kutokana na Makubaliano yao ya kurudishwa serikali ilitaka kuwa Mgojwa yoyote atakayepelekwa

Kwenye hospitali hizo lazima atibiwe bila Ubaguzi. Na hizo Hospitali pia zina Vyuo vya Udaktari ambavyo serikali

Inavitumia kupata wataalamu awake; wanaochaguliwa kujiunga na vyuo hivyo wanachaguliwa na serikali na

Sio DINI za hizo Hospitali. Mishahara ya Madaktari kwenye hizo hospitali zinafuata Mishahara ya Serikali na

Sio Mishahara ya Makampuni Binafsi, Wanalipwa sawa kama vile Muhimbili.

Na kwanini unazichagua Bugando na KCMC wakati Viongozi wote walioanzisha huo Mgomo wako Dar????

Na kama ni Bugando na KCMC kwanini Basi Madaktari Waislamu wasiende kufanya kazi????

Acha kuleta FITINA ZA UDINI ILI KUMWAGA DAMU, kama unapenda
HARUFU YA DAMU YA MWANADAMU NENDA

SOMALIA ( Ni Nzito Inanuka, hauwezi kuinywa kama ya Ng'ombe na Ukiua Mwanadamu ni Dhambi kwa Mwenyezi

Mungu)
N amapat yatokanayo yanaenda wapi? ikiwa mishahara ya madaktari inatoka serikalini, na peza nyingine juu? Huoni hapo ndio mgogoro unapoanzia? Wakati serikali ina hospital zake na zinakosa vifaa vya msingi huku ikipeleka bilion 90 kwenye Kanisa!!!!! Tena AIBU hakuna ukaguzi wala mirejesho?
 
Serikali unajuaje hizo Hospitali Mbili hazikaguliwi? kwasababu serikali bado ina hisa kutokana na Makubaliano na hayo

Makanisa. Hizo ni Hospitali za Rufaa mpaka hapo Serikali itakapo jenga zake bado zinafuata Masharti ya Serikali
 
Mkuu wangu report za matumizi ya serikali ziko wazi jabisa sio siri siku hizi, Niambie BILION 90 zinazoenda makanisani umeziona katika report gani? Hukumbuki wachungaji walipoijia juu serikali ilipotaka kutengeneza utaratibu wa kukagua mashirika ya kidini? Mkuu wangu hawa watu pamoja na kuwaheshimu hawaaminiki na ndio maana wanabaka (mfano ni yule padri aliyembaka mtoto pale mlimani akakamatwa kwenye karibu na benk ya NBC).

Mkuu kumbuka hawa watu ndio wanauza unga (mifabo ipo wazi), pia wana matumizi ya kifahali sana, ukitaka kuamini haya angalia kesi ya majambazi kupora mapadri na viongozi wa dini zimeongezeka sana (soma gazeti la habari leo la juzi), Mkuu wangu la mwisho ni askofu wa jimbo moja mkowa wa morogoro anaogopa hata kutumia gari lake la kifahari VX8 ambalo kaliingiza kifahari kwa kuhofia majambazi. Niliwahi kuhoji kiongozi wa kiroho kutumia gari la kifahari namna ile, wadau wakasema hajanunua kapata msaada, lakini nilipouliza je anapata msaada kuliendesha sikupata majibu!
 
sheikh ponda na kundecha wamefanikiwa kuwajaza sumu waislamu wenzangu wana upeo mdogo wa kufikiri..
 
Zanzibar kuna watumiaji wa Unga wengi zaidi ya Bara unaniambia Kanisa linauza Unga hadi huko?

Yaani Baadhi ya Watu wanaotumia Dini kama Mfumo wao wa biashara ndio DINI zote zinauza Unga?

Sasa unataka kuniambia GAIDI ni Mtu yoyote Muislamu? Hauoni hayo ni Makosa ina Maana hakuna Muislamu

Yoyote atakaye ruhusiwa kuzuru Marekani
 
Mbona kanisa ilipewa MoU kabla ya kujenga hata hospitali moja??

Niambie chuo na hospitali ya kanisa kabla ya 1992??

Mabilioni ya umma kuendeleza miradi ya kanisa??

Besides waislamu wakienda kutibiwa wanalipa pesa zao mkuu tena nyingi kupita hospitali za serikali??

HUDUMA YA KULIPIA PAMOJA NA RUZUKU YA BURE?? =EPA

Mkuu kwani ulitaka ukatibiwe bure? Au ulikuta wakristo wanatibiwa bure? Au kuna different wings kwamba waislam kulia na wakristo kushoto? Mbona mlipewa chuo kikuu pale Moro mkaishia kuwafrustrate wahadhiri wakasepa? Nitajie chuo cha kikristo ambako muislam kabaguliwa kutokana na uislamu wake kama waislam wanavowafanyia wakristo pale MUM. SWALA LA KWENDA MAHAKAMANI NALIUNGA MKONO MIA KWA MIA NA NIKO TAYARI KUCHANGIA GHARAMA ZA KESI ILI HATIMAE HUU UGOMVI WA MoU UFIKE KIKOMO
 
a
Mbona kanisa ilipewa MoU kabla ya kujenga hata hospitali moja??

Niambie chuo na hospitali ya kanisa kabla ya 1992??

Mabilioni ya umma kuendeleza miradi ya kanisa??

Besides waislamu wakienda kutibiwa wanalipa pesa zao mkuu tena nyingi kupita hospitali za serikali??

HUDUMA YA KULIPIA PAMOJA NA RUZUKU YA BURE?? =EPA

Endeleeni kulalamika wenzenu tunasonga mbele. hizo shule mnazoziona pamoja na hospitali hazishushwi
toka mbinguni, tunajenga kwa michango yetu. ninyi mkiambiwa mtoe sadaka mnatoa sh. miamia.
Wakristo tunafundishwa kumtolea mungu tangu tukiwa wadogo ktk shule za jumapili, mtoto wa kikristo
hawezi kwenda kanisani bila kuomba hela ya sadaka kwa mzazi. kwasababu amefundishwa kwamba kwa kutoa
sadaka atawezeshwa kupata zaidi, Mungu atamfungulia hazina, hata zilizojificha.
Kwa kukusaidia ni kwamba tuna aina nyingi ya sadaka tunazomtolea mungu mf.
1.MALIMBUKO: Hii ni sadaka tunayotoa kutokana na mapato yako ya kwanza, yaweza kuwa
mshahara wako wa kwanza, mavuno ya kwanza au wazaliwa wa kwanza ktk mifugo yako
hivyo vyote ni mali ya mungu.
2. ZAKA: hii ni asilimia kumi ya mapato yako, hii sadaka inazingatiwa sana na wakristo kwakua sadaka
hii ndiyo inayojenga makanisa, kila mwisho wa mwezi tupewa bahasha za kuwekea zaka.
3.SADAKA ya KAWAIDA: hii ni sadaka tunayotoa kila tunapokusanyika na kulishwa neno la uzima.
4.NADHIRI: Hii ni sadaka ya ahadi zetu kwa Mungu tunayotoa wakati tukiwa na mahitaji binafsi,
yaweza kuwa hitaji la mtoto, kufaulu masomo nk.
5.Michango ya majengo: Ukiona jengo lolote kwenye makanisa ujue tumechangia kupitia sadaka hiyo.
Hiyo ni mifano michache tu ya matoleo ya wakristo ambayo huzalisha mamilioni ya pesa kila wiki .
Jifunzeni kutoa ili nanyi mjenge shule na hospitali zenu kisha muombe ruzuku mkinyimwa ndipo
mtakuwa na haki ya kulalamika.
Msidanganyane kwamba wakristo hawakuwa na hospitali kabla ya 1992. uongo huo hauwezi
kuwasaidia kujikwamua kutoka hapo mlipo.Siamini kwamba hujui kuwa Muhimbili,Bugando, KCMC na nyingine nyingi zilikuwepo hata kabla ya uhuru. msione aibu kuiga mambo ya maendeleo.
 
JK alikliri wazi kwamba makanisa uanatengewa mabiluion ya shillingi ya serakali kwa ajili ya kutoa hoduma. hizi ni pesa nje ya bajeti ya serekali. Kwa bahati mbaya wabunge wengi huzungumzia maendleo mabovu ya sekta ya Afya bila ya kuzitaja mabilion haya ya Umma ya walipa kodi wa kitz
lkn *kinachoshangaza hakuna udhibiti wa ukaguzi wa mapesa haya ya umma. Mkaguzi mkuu wa serekali hajawahi kutoa ripoti ya ufisadi unaofanywa kupitia Ufisadi wa miradi hii. Hospital za makanisa nazo zinagoma huku serekali ya CCM ikitoa ruzuku ya mabillion ya shillingi haya + bajeti ya wizara ya afya nayo ikiangukia huko huko BUGANDO na KMC. lkn nao wanagoma
Hizi pesa zingalitumika ipasavyo, migomo kama hii kamwe isingetokea kak taifa letu.
hapa ni wazi makanisa na serekali inatuhadaa watz.

hakunaga wizi huko ndugu yangu. Nimehudumu kwa 8 years huko napajua. Mara nyingi masister ndo ma top wa feza mkuu. Lakini pia ninavyofahamu hela ya serikali hulipa posho za madaktari wao wa selikari na huwanunulia madawa na sidhani kama huwapa cash.
 
JK alikliri wazi kwamba makanisa uanatengewa mabiluion ya shillingi ya serakali kwa ajili ya kutoa hoduma. hizi ni pesa nje ya bajeti ya serekali. Kwa bahati mbaya wabunge wengi huzungumzia maendleo mabovu ya sekta ya Afya bila ya kuzitaja mabilion haya ya Umma ya walipa kodi wa kitz
lkn *kinachoshangaza hakuna udhibiti wa ukaguzi wa mapesa haya ya umma. Mkaguzi mkuu wa serekali hajawahi kutoa ripoti ya ufisadi unaofanywa kupitia Ufisadi wa miradi hii. Hospital za makanisa nazo zinagoma huku serekali ya CCM ikitoa ruzuku ya mabillion ya shillingi haya + bajeti ya wizara ya afya nayo ikiangukia huko huko BUGANDO na KMC. lkn nao wanagoma
Hizi pesa zingalitumika ipasavyo, migomo kama hii kamwe isingetokea kak taifa letu.
hapa ni wazi makanisa na serekali inatuhadaa watz.

Jengeni Hospitali za Waislamu, sio kujenga misikiti na madrasa tu.

Wekeeni kaika huduma za jamii ili na myie mpate hizo pesa unazosema. Na sio kutegemea Makanisa yajenge Huduma za jamii kisha ulete mdomo mrefu hapa.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
wanaojenga na kutengewa mabilion ya shiliingi ya MOU yanaishia matumboni mwa mapdri na maaskofu. Mgomo wa madaktari ukishika kasi. CCM inakumbatia makanisa badala ya jamii.
 
suruali fupi fupi akili fupi fupi ndevu na majini Islam ni ugonjwa

dini zingine huitaji kujua kuambiwa mwisho wake, dunia nzima wanalalamika wao tu! Utasikia uamsho, alshabab, boko haram, hamas, hezbolah, alqaeda sasa wamekuja na Bakwata, akili zao fupi kama suruali zao!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom