Naozesha binti

Kwa anayehitaji binti mrembo,msomi na mcheshi awasiliane nami haraka.yupo mmoja tu.
Sifa za muoaji:asiwe mbaguzi wa aina yoyote eg dini,kabila etc

Shaycas, unatuabisha! Bado una yale ya miaka ya 47 ya kuwatafutia mabinti waume wa kuwaoa?! Kwa nini huyo binti yako asitangaze mwenyewe kuwa anatafuta mwanaume wa kuoana naye na akaweka hapa sifa anazotaka huyo mume mtarajiwa awe nazo?
 
But it sounds sweet
 
Sio kwamba ni mbaya kama baadhi mnavyofikiri.wanaume wengi wamejitokeza lakini hawana hizo sifa nilizotaja.nimeongea na shangazi yake,binti hajaguswa.Simuuzi bali namuozesha wala sihitaji chochote zaidi ya kufuata taratibu.
Mwisho ningependa memba wa jf awe mkwe wangu kama ana sifa na vigezo.
 
Kwa anayehitaji binti mrembo,msomi na mcheshi awasiliane nami haraka.yupo mmoja tu.
Sifa za muoaji:asiwe mbaguzi wa aina yoyote eg dini,kabila etc

Plz weka japo passport size photo! Huhitaji kupiga debe kuwa ni mrembo... Thanks
 
Kama unataka binti yako aolewe na wana jf nadhani karibia wote wana sifa, japo unatakiwa kuwa makini na posa kutoka kwa akina GP, Fidel80 nk. maana hawa jamaa wanaonekana ni majiniazi linapokuja kwenye suala la kuoa, wanaweza kukuzidi ujanja.
Weka picha yake watu tumthamimshe!
 
Sio kwamba ni mbaya kama baadhi mnavyofikiri.wanaume wengi wamejitokeza lakini hawana hizo sifa nilizotaja.nimeongea na shangazi yake,binti hajaguswa.Simuuzi bali namuozesha wala sihitaji chochote zaidi ya kufuata taratibu.
Mwisho ningependa memba wa jf awe mkwe wangu kama ana sifa na vigezo.
Mimi nipo tayari!!!!!!
 
Ndio maana yake! Lakini we si ulishastaafu au ndio yale ya jasiri haachi asili?

unadhani ni rahisi namna hiyo, mpwa nguli alimshikia bango atubu sasa kila akipita kwenye makaro akili haitulii kamua kurudi nyuma.
 
Plz weka japo passport size photo! Huhitaji kupiga debe kuwa ni mrembo... Thanks

.....Mkubwa,picha yake ipo ila sifahamu vizuri namna ya kuiweka hapa.si unajua mambo ya IT lakini pia nisingependa kuiweka hapa maana kuna wataalamu wa ku-edit na kuifanya kituko.
 
unadhani ni rahisi namna hiyo, mpwa nguli alimshikia bango atubu sasa kila akipita kwenye makaro akili haitulii kamua kurudi nyuma.

Hehehe! Nasikia anatembea na kiberiti kimejaa ashakum. Akipita na tuktuk yake akiona mikalio yenye protini nyingi anakichomoa kwa poketi anakinusa then roho inakuwa swaaaafi!
 
.....Mkubwa,picha yake ipo ila sifahamu vizuri namna ya kuiweka hapa.si unajua mambo ya IT lakini pia nisingependa kuiweka hapa maana kuna wataalamu wa ku-edit na kuifanya kituko.[/QUOTE]

Hapo kwenye nyekundu sijakuelewa naona unanitaja wakati wala sina mpango na huyo binti yako
 
Teheteheheeee we kweli kituko!
 
weka picha plz waowaji tupo

Berlusconi_01_585x4_659514d.jpg
 
Back
Top Bottom