Naongea naye nini?

Mwoskwito, trust me watoto wanajua mengi hawa! Mie nilionyeshwa movie inaitwa 'plz dont kill me' nikiwa p5. It was about couple mbili shuleni, moja iliingia kwenye sex na kupata mimba. They aborted, na mdada akaharibika kizazi kwa std. I tell you the movie was dramatic and it haunted me all the days of my youth. Sex meant unwanted pregnancy, a heart break and may be diseases. It was easy to decide what will trouble me less.
Hiyo ya iphone natania jamani, unataka asome pm za kaunga na eiyer si atapofuka,lol! Im all smiles here, worry out.
.....Oopss..... The kid is only 11yrs bana, hata baleghe bado haijakaa sawa unamtisha na HIV, STD and the likes? ....hata kumpa 'smartfone' u chat nae pia ni wrong!

Huyu underage, anatakiwa anolewe hapo hapo kwenye spiritual teachings kujua 'madhambi na madhara yake.' mtoto anaogopa dhambi kuliko haya maradhi ya wakubwa aka ngono!

Samahani lakini...;)
 
Tatizo si kukabidhiwa kwa mwalimu wa nidhamu...tatizo ni distance yako na wazazi wako...

Kwa nini haukumsemea kwa wazazi???

Mimi babab yetu alikuwa rafiki...hata hao walimu walikuwa wakimpelekea hiyo feedback (umbea) tulikuwa tunanafasi ya ku explain; including kuwakandia baadhi ya walimu kuwa wanajipendekeza tu wala hawatufundishi.

Sasa kama wewe mwalimu alikuwa ana ku abuse (au alitaka kuku abuse) ukakaa kimya eti kisa wazazi wamekukabidhi kwake...tatizo ni la uhusiano wako na wazazi wako...na mwalimu atakuwa alijua hiyo weakness.

Kitu kingine mie naongelea primary school ambayo haikuwa boarding...huyo mwalimu atafanya mapenzi na mie wapi???

Bado nakazania...mwalimu ni vema awe rafiki na mzazi...it works...

Hiyo haina maana kuwa mtoto hana uhuru wa kuongea na haki ya kusikilizwa...triangulation kwa kila information ndio mpango mzima.

Kweli kuna walimu wanapenda sana kujipendekeza. Hilo halina mjadala. Tena wakijua mzazi anazo, wanakuwa wanamletea feedback ya vikosa vidogo alivyofanya mwanao ili waonekane kama wanafanya kazi vile.

O Level nilikabidhiwa kwa mwalimu ambaye he cared more about my discipline than what I was learning. Mwishowe nikaamua kuwa rebel kwake.

I don't recommend at all kukabidhi watoto kwa walimu wa nidhamu.

Tena mtoto anaanza kuchukiwa na wanafunzi wenzake kwa kuwa karibu na mwalimu wa nidhamu.

Hakuna mwalimu anayechukiwa boarding school kama mwalimu wa nidhamu. lol
 
I have done youth counselling on hiv and stds. Kuna siku watoto wa std 3 na 4 niliwauliza kama wana any challenge to share. Kavulana kakasema condom zinavuka, zitengenezwe za watoto na ziandikwe kabisa. Itwas 1999, kidogo nizimie!
Usiogope. Easiest way muulize maswali, halafu fanya kama unaongezea info. I tell you, watakuja waongo na info zao watamdanganya. Na atawaamini. Ni bora umpe info, ili wenzie wakimdanganya awe kajihami. Especially about sex, tell him therw will be plenty when he grows up hadi ataomba poo, wala asiharakishe.
King'asti, huwa tuna-underestimate uwezo wa watoto wetu, sababu tunadhani ni wadogo.

Wanajua mengi mno, mengi vingine hadi unashangaa akikueleza.

Mfano kuhusu AIDS wanafundishwa sijui darasa la pili, mie huwa napenda mtoto asikie jambo kutoka kwangu maana najua watoto huamini wazazi zaidi na maneno ya mzazi huwa hayasahauliki kirahisi.
 
Last edited by a moderator:
Kaunga,

Sidhani kama ni muda mzuri wa kumpakia maneno mtoto...

Kwanza ana mambo yake mengi anayoyawaza kwa sasa na unaweza ama kumwengezea anxiety au hata asikuelewe kabisa!

Here is what we used to say....

"Wewe ni very strong na tunaamini utaweza kumudu maisha ya kila aina....jiamini na usiwe na wasi wasi. Pia ukumbuke kila kitu ambacho tumekuwa tukikueleza hapa...Above all, unaenda kusoma na kuna mapambano..hakikisha unaendeleza makali yako"!!

Hayo mengine tunakuwa tulishawambia siku nyingi na kila alipoleta feedback basi tuliendelezea pale.

Plse plse...usihamishie wasi wasi wako kwa mtoto..wakati huu naye ana maghorfa yake kichwani anayohitaji kuyamalizia. Mpe nafasi kwanza arudi kwenye hali ya kawaida. May be wakati wa mid-term mnaweza kuongea zaidi kwani atakuwa na story nyingi za shule!

Hongera sana na kila la heri kwa kijana ...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
he he he, yaani wewe bhange tangia primari??

Mie nilizitumia sekendari, kuna ticha aliniganda hadi nikaichukia kemia hadi kesho.

Imagine fomu wani libaba hadi linatoa mchozi, likiniona tu mahali hili hapa lol

wakati bado napanga mashambulizi likahamisha, nilipop shampeni, oops nilipop maji tu.

Kuna jingine nikalichuna twisheni miezi mitatu afu nikasepa, chezeiya mtoto wa manzese wewe.

Hahhaha, im sure my parents were not worried about me. Manake akijisemesha mtu anapata majibu ya kumtosha. Kuna mwalimu alinitakaga praimare nikamuambia naenda kukusemea kwa maza. Afu nilimuambia mama, tukamtetaa weeeh. Ila seems hakumuuliza manake leo tukikutana namuambia nilikusemeaga haamini. Dah, them days!
 
Aisee Kaunga nimelitafakari hili swali lako kwa kina. Kuna dada mmoja hapa JF aliwahi kuandika wakati akiwa boarding school nadhani ilikuwa ni secondary school yeye baada ya kupata nywele za sehemu za siri hakuwahi kuambiwa kama zilitakiwa kuondolewa kila baada ya muda mfupi hasa kwa wale waliobarikiwa nywele nyingi.

Hivyo alikuwa nazo nyingi sana hakuwahi kuziondoa hata mara moja. Pale shule karibu kulikuwa na mto wanaenda kuoga. Yeye baada ya kuwaona wenzie wako tofauti naye kwa kuwa yeye ana nywele nyingi kule kwenye nanihii na wenzake hakuna kabisa au ziko chache akaona noma na kuacha kwenda kuoga kwa kujiona labda ana kasoro fulani. Baadaye akaja kugundua kwamba hana kasoro yoyote na nini cha kufanya ili kulala mbele na zile nywele.

Mtoto wako ni lazima umwambie vitu gani ambaye hastahili kuvifanya kwa mtu mwingine yeyote yule hata kama ni mkubwa kwake asikubali kabisa kuvifanya. Usipomwambia atakua hajui kama kuvifanya ni kawaida au la, hivyo mwanafunzi mwenzake anaweza kumwambia njoo huku uninyonye naniliu au tunanihii...yeye kwa kuwa hajui baya na zuri anaweza kabisa kudhani hakuna tatizo lolote lile na hicho alichoombwa kukifanya hivyo akaharibikiwa.

Nimefananisha maelezo yangu na huo mfano hapo juu maana huyo binti angefundishwa baada ya kuvunja ungo namna ya kujiswafi mwili wake basi asingeoona noma kwenda kuoga pale mtoni hali kadhalika mwanao akijua ni yapi haruhusiwi kuyafanya hata akiombwa na Mwalimu basi hatayafanya. Kila la heri katika kujiandaa namna ya kumuelezea.

NB: Binti wa JF mwenye story yake ya boarding kama nimeikosea awe huru kunisahihisha
 
Babu Dark City, kwa kiwango fulani nakubaliana na wewe.

Kwetu huwa tunasema, usipende kumnenepesha ng'ommbe siku ya mnada, ndio maana kuna vitu ni bora kumwandaa mtoto tangu akiwa kinda.

Ila, kama mzazi, kuna speech lazima umkalishe mtoto kidogo useme naye.
Hasa kwenye mambo ya msingi kama ya mahusiano, huu ushoga unatusha sana kama una mtoto wa kiume. Hata matumizi ya mlango haramu unatisha pia, ila ukifundishwa ni 'don't touch' ukiwa mdogo hausahau kabisa.

Mie nadhani huwa nasambaza sumu zangu kwa watoto, inawezekana nakosea lakini nahisi ni wajibu wangu. Atachagua njia yake akiwa mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
Duh, BAK umenitisha hiyo ya kunyonya nanilii; kweli l am more scared.

Naipata pia point ya Dark City na Mbu, nimependa ushauri wa King'asti wa kumprobe ndicho nilichoanza kufanya. Kwakweli changamoto ya kuwa single mother of the boy ni pamoja na hii.

Ngoja uncle KIKUNGU aongee naye maana wanaelewana huku nami nikimuuliza vitu na kumuomba opinion yake juu ya baadhi ya mambo.

Kitu ninachoahidi nikutomuamishia wasi wasi wangu.
 
Last edited by a moderator:
Tell him all about sex, how it can ruin him hopelessly. Muambie about hiv, stds na unawanted pregnancies. Jinsi anavyoweza kujitwika ubaba na utakavyomhenyesha na kumnyima utoto. Muambie na kuhusu same sex problems na ilivyo laana kwa mtu binafsi na familia pia. Tell him how you wish you were a kid and dont have to worry about stuff. Kikubwa mjengee hofu ya Mungu na sio ya mzazi.
Tell him popote alipo God is watching over him. He should fear God than humans. Whatever he feels to do in the hiding must be wrong, so bora asifanye manake hakuna ambacho Mungu amekataza ambacho hakina madhara kwa binaadamu.
Kama ana maswali muambie auntie king'asti is ready for him,lol. Mpe hiyo iPhone nichat nae:D
King'asti (Komando)

Unadhani hayo yote hajaambiwa hadi sasa??

Kama kweli anasubiri nafasi ya hi kumweleza vitu muhimu kama hivi basi huyu Kaunga atakuwa amepngukiwa kitu, especially kama mama anayejitambua!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
...Usiogope banaa!!!! kuwa mzazi miaka hii ni tofauti na ile miaka ambayo siye tulikuwa watoto majaribu kwa watoto wa miaka hii ni mengi sana...mambo yako nje nje na huu mtandao ndio unazidi kuharibu!!!! Mhhhh! Funguka Kaunga kwa mwanao.

Duh, BAK umenitisha hiyo ya kunyonya nanilii; kweli l am more scared.

Naipata pia point ya Dark City na Mbu, nimependa ushauri wa King'asti wa kumprobe ndicho nilichoanza kufanya. Kwakweli changamoto ya kuwa single mother of the boy ni pamoja na hii.

Ngoja uncle KIKUNGU aongee naye maana wanaelewana huku nami nikimuuliza vitu na kumuomba opinion yake juu ya baadhi ya mambo.

Kitu ninachoahidi nikutomuamishia wasi wasi wangu.
 
Thanks EMT kwa uchambuzi yakinifu, anaenda Feza Boys sasa sijui for sure iko kwenye kundi gani. Labda waliosoma hapo wanaweza nitoa wasiwasi juu ya malezi.

Kwenye rules zao, bullying inalead kwa sunspension but shule gani ambayo haina adhabu kama hizo kwa bullying.

Nimeamua aende boarding kwakuwa huku niliko hakuna shule nzuri, na pia sipendi sana kuwa mzigo kwa ndugu zangu; inaepusha maneno na inaleta ukaribu ukipunguza unnecessary usumbufu.

Orait. Mie nilidhani anaenda moja ya hizi shule za kata. Feza siijui sana maana ni moja ya shule mpya. Ila wengi hupenda kuiweka kwenye kundi la pili. Pass marks zao zinaonekana ni nzuri, though wana-recruit the top cream, so you would expect that performance. Na walimu wao nasikia ni top class na wanafundisha kiseminari vile. Msalato unasikia tena? Wazazi wao wanasema uamuzi wa kuwasomesha shule za Feza ni kutokana na historia nzuri ya shule hizo na mazingira bora.

Kitu ambacho bado sijajua: performance ya wanafunzi wa Feza huwa inaendelea hivyo hivyo wanapoingia vyuoni au makazini? Walimu huwa wanasema eti ni tofauti kumfundisha mtu kutoka zero kwenda 10 na kumfundisha mtu wa 10 aka-maintain 10.

Kwa maadili wale waliosoma hapo wanaweza kuwa na ufahamu zaidi. Ila nakumbuka ilipoanzishwa walitaka kuifanya ya kidini lakini wakashauriwa na waziri wa elimu wa wakati huo waifanye secular. Kwa kuzingatia maadili wakaamua kutenganisha na kufanya Feza Boys and Feza Girls.

He will be alright. Amche Mungu. Kama umemlea katika misingi ya imani (asikutegemee tuu wewe katika maisha bali Mungu), atakuwa tayari ana nidhamu ya kiimani, ambayo itamwongezea ufahamu. Kama umemwekea misingi ya kutoangalia mambo yasiofaa kama vile picha za ngono na akatii, then he will be alright unless ajiingize kwenye makundi yasiyofaa.

Kama amekuwa akiwaheshimu na kutii, kufuata maelekezo ya walimu wake tangu akiwa shule ya msingi, unaweza kumsizitizia kuendelea kufanya hivyo. Haina maana kuwa awe anasoma sana na akirudi home akiwa na makovu miguuni na hana kucha nyingi za miguu kutokana na kucheza mpira, then sawa tuu. lol. Sports itamfanya awe bize na kutojiingiza kwenye makundi ya ajabu ajabu.

Siri ya mafanikio yake ni Mungu. Lakini pia kujiamini, nidhamu na kujiwekea ratiba ya kila alichopaswa kufanya kwa siku.

I wish him all the best.
 
King'asti (Komando)Unadhani hayo yote hajaambiwa hadi sasa??
Kama kweli anasubiri nafasi ya hi kumweleza vitu muhimu kama hivi basi huyu Kaunga atakuwa amepngukiwa kitu, especially kama mama anayejitambua!!
Babu DC!!

Kweli nilikuwa sijawahi mwambia kuhusu sex na pregnancy na STD.

Alishawahi kuniuliza mimba inapatikanaje, nikashindwa kujieleza na kumwambia amuulize mwalimu. That was when he was in grade 5.

Nimeshawahi kumuuliza kuhusu HIV tu na jinsi inavyoambukizwa; tough topic ni kuhusu ushoga, how do you explain jinsi gani mwanaume anakuwa na mwanaume mwenzake?
 
Last edited by a moderator:
...Nakubaliana nawe unaposema hii ni topic ngumu kuizungumzia ila ni lazima utafute namna ya kuzungumza naye na kisha kuhitimisha kwamba hili jambo ni dhambi kubwa sana, labda mjadala huu utakupa ideas namna ya kuyapanga mazungumzo yenu pia ujiandae kujibu maswali magumu...maana hawa watoto wa siku hizi Mhhhhhh!

Kweli nilikuwa sijawahi mwambia kuhusu sex na pregnancy na STD.

Alishawahi kuniuliza mimba inapatikanaje, nikashindwa kujieleza na kumwambia amuulize mwalimu. That was when he was in grade 5.

Nimeshawahi kumuuliza kuhusu HIV tu na jinsi inavyoambukizwa; tough topic ni kuhusu ushoga, how do you explain jinsi gani mwanaume anakuwa na mwanaume mwenzake?
 
Babu Dark City, kwa kiwango fulani nakubaliana na wewe.

Kwetu huwa tunasema, usipende kumnenepesha ng'ommbe siku ya mnada, ndio maana kuna vitu ni bora kumwandaa mtoto tangu akiwa kinda.

Ila, kama mzazi, kuna speech lazima umkalishe mtoto kidogo useme naye.
Hasa kwenye mambo ya msingi kama ya mahusiano, huu ushoga unatusha sana kama una mtoto wa kiume. Hata matumizi ya mlango haramu unatisha pia, ila ukifundishwa ni 'don't touch' ukiwa mdogo hausahau kabisa.

Mie nadhani huwa nasambaza sumu zangu kwa watoto, inawezekana nakosea lakini nahisi ni wajibu wangu. Atachagua njia yake akiwa mkubwa.
Kongosho,

Malezi siyo incident...ni process...Kwa hiyo kazi ya kuongea na watoto na kuwajengea vision yako haiwezi kuanza siku moja au kumalizika wakati mmoja...Itaendelea hadi wanakuwa watu wazima. Na hata baada ya hapo, bado wazazi wataendelea kuongea!!

Mie nashauri wakati huu aongee mambo machache ila yale yanayotia mori...siyo ya kujenga hofu...

Habari za kugusana uchi au kunyonyana ....mtoto wa 12 yrs anatakuwa kuwa anayajua siku nyingi!!

Kwa hiyo wewe endelea kusema nao (talk, talk, talk) kwa sababu huna kazi wa wala wajibu mwingine kwao kama mzazi!!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu naona umepata jibu hapo juu.
Hii ni topic ngumu sana kwa watu wengi. Bahati yako kama wewe na bibi na jasiri kwenye hili.

Muhimu kuliko yote Kaunga, kuwa rafiki yake. Muambie we have been through a lot together and this far we have come. I will always be your friend. Come to me when you have questions or worries. Even when you mess up, njoo coz together we can ckean the mess up faster. Hiyo ndio silaha. Muombe Mungu akusaidie usiwe unazimia ukiulizwa maswali (mamangu sijui alikuwa anastomach vipi. Imagine ur 12 yrs old gal akuambie kuna mbaba anamtaka! With details! If she was still alive ningemuuliza aisee!)
King'asti (Komando)

Unadhani hayo yote hajaambiwa hadi sasa??

Kama kweli anasubiri nafasi ya hi kumweleza vitu muhimu kama hivi basi huyu Kaunga atakuwa amepngukiwa kitu, especially kama mama anayejitambua!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
NB: Binti wa JF mwenye story yake ya boarding kama nimeikosea awe huru kunisahihisha

Nilidhani ni Smile lakini nafikiri alisema shuleni kwao walikuwa wanaminywa minywa matiti na mwalimu wa kiume kuona kama..... ila jinsi mwalimu alivyokuwa anayaminya alikuwa na lake lakini wao waliona ni sawa tuu
 
Cant blame me banaa, nilivutishwa! Uzuri kwa kushtaki nilikuwa sijambo. Huyo ticha wa primare alienitaka nilipomuambia maza akajichekelesha. Akaniambia that looser utampeleka wapi? Afu ana maskio kama upawa. He aint intelligent, hata akikuoa atakuzuia kwenda shule. Yaani akampoonda hadi nikamuona nyanya, aisee!
Hahaha, huyo wa kulia kiboko! Afu tabia za natalia ulianzia primare new york eeh!
he he he, yaani wewe bhange tangia primari??

Mie nilizitumia sekendari, kuna ticha aliniganda hadi nikaichukia kemia hadi kesho.

Imagine fomu wani libaba hadi linatoa mchozi, likiniona tu mahali hili hapa lol

wakati bado napanga mashambulizi likahamisha, nilipop shampeni, oops nilipop maji tu.

Kuna jingine nikalichuna twisheni miezi mitatu afu nikasepa, chezeiya mtoto wa manzese wewe.
 
Ahsante Mkuu EMT... ilikuwepo pia hiyo ya kutojua kama alitakiwa apunguze nanihii kule nyetini....ila sikumbuki vizuri ni nani aliyeanzisha thread ile.

Nilidhani ni Smile lakini nafikiri alisema shuleni kwao walikuwa wanaminywa minywa matiti na mwalimu wa kiume kuona kama..... ila jinsi mwalimu alivyokuwa anayamisya alikuwa na lake.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom