Naongea kwa Uchungu..ngumu kumesa lakini dawa.tuige kazi tusiige matumizi

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Tanzania nchi yenye kila rasilmali tunatimiza miaka 50 hatuna umeme kila mahali kelele na moshi wa genset za kichina!
Hatuna maji ya bomba kila mahali mikokoteni ya madumu ya maji na mabowser.nyumba zimeelemewa mapaa kwa uzito wa ma-simtank kama vile hatuna mvua,mito,maziwa nk!

Hakuna shule..wanetu wanaenda kusoma uganda,kenya na malawi.zilizopo ni miradi ya watu na kuwavalisha watoto graduation gowns kwa kuongea kingereza!..aibu

Hatuna hospitali zaidi ya vichaka vya rushwa na store za kuuzia dawa ndo maana wagonjwa hupelekwa appolo.
Mali asili kama wanyama,vivutio mbalimbali mapato yake haijulikani yanaenda wapi!

Dhahabu,almasi,tanzanite,chuma,makaa,nickel,cobalt,uranium,gas nk tunazichimbua na kuwapa na kubaki na mashimo! NASEMA HIVI..HATUHITAJI KUTOA HII DEPOSIT YETU INAYOONGEZEKA THAMANI KILA KUKICHA!

Tufanyeje?

Bandari na reli tu vinaweza hadi kumgawia kila mdanganyika ruzuku kama Libya. Tukiinvest katika reli na kusafirisha train 5 za mizigo kila siku kwa TRC na TAZARA tutaingiza mamilioni ya dola..kumbuka tumezungukwa na land locked countries like malawi,zambia,congo,rwanda and burundi.even sea locked kama comoro na tukawa ndio HUB yao kama Dubai tutaogelea dola!

Tukipanua bandari tukavunja ile soko ya DAGAA MCHELE-maana kamba kochi na jodari wanaishia juu kwa juu,tukavunja hata ikulu ikahamia Msoga na Chamwino mpaka kule kunapouzwa mihogo-coco beach ikawa ni bandari ya kisasa na miundo mbinu ya kileo na mitambo HAKI YA MUNGU tungetisha! Ajira zingekuwa bwerere na uharibifu wa barabara kwa malori ungekoma! Maintanance cost zingepungua!..

Ajali za kizembe za malori used na matairi na parts za kichina tungepunguza hii Misiba ya kila siku.bora ianguke train ya mizigo iliyokatiwa bima na sio maisha ya watz wasio na hatia!

HAKIKA NAWAAMBIA hatuhitaji ushauri wala hata utoke kwa bill gate ama marehemu Steve PJ kwani utafungiwa kabatini!
Tunahitaji watu jasiri wenye kuamua na KUTENDA pasipo woga wala subira.hivi unajua mtz bila kiboko haendi? Daladala zilitengenezewa kiboko kinaitwa Majembe auction zikaanza kunyooka ghafla waziri husika akapiga stop! Mh!

Weka sheria kali na zisimamie zitazaa matunda..eti watagoma. wakale wapi? Watagoma asubuhi tutatembea, tutapanda risk bodaboda na taxi njaa itawauma jioni watarudi barabarani bana. Msimamo muhimu aisee

Wallah nina mengi ya kusema lakini kitochi changu kimeisha chaji na ex rate ya dola kwa tshs 1820 sitarajii kumiliki generator maishani! But msg sent, delivery watajijua
 
Eti bado tunashona vyandarua badala ya kuua mazalia
Eti AL aka Papaa redss anashtakiwa kukutwa na kitochi lupango na wala sio kuwachuchukulia hatua walioshiriki kupenyeza. Unampiga mgoni huku unakumbatia Malaya ambae kesho utamfumania tena! Mi simo!!
 
Tanzania nchi yenye kila rasilmali tunatimiza miaka 50 hatuna umeme kila mahali kelele na moshi wa genset za kichina!
Hatuna maji ya bomba kila mahali mikokoteni ya madumu ya maji na mabowser.nyumba zimeelemewa mapaa kwa uzito wa ma-simtank kama vile hatuna mvua,mito,maziwa nk!

Hakuna shule..wanetu wanaenda kusoma uganda,kenya na malawi.zilizopo ni miradi ya watu na kuwavalisha watoto graduation gowns kwa kuongea kingereza!..aibu

Hatuna hospitali zaidi ya vichaka vya rushwa na store za kuuzia dawa ndo maana wagonjwa hupelekwa appolo.
Mali asili kama wanyama,vivutio mbalimbali mapato yake haijulikani yanaenda wapi!

Dhahabu,almasi,tanzanite,chuma,makaa,nickel,cobalt,uranium,gas nk tunazichimbua na kuwapa na kubaki na mashimo! NASEMA HIVI..HATUHITAJI KUTOA HII DEPOSIT YETU INAYOONGEZEKA THAMANI KILA KUKICHA!

Tufanyeje?

Bandari na reli tu vinaweza hadi kumgawia kila mdanganyika ruzuku kama Libya. Tukiinvest katika reli na kusafirisha train 5 za mizigo kila siku kwa TRC na TAZARA tutaingiza mamilioni ya dola..kumbuka tumezungukwa na land locked countries like malawi,zambia,congo,rwanda and burundi.even sea locked kama comoro na tukawa ndio HUB yao kama Dubai tutaogelea dola!

Tukipanua bandari tukavunja ile soko ya DAGAA MCHELE-maana kamba kochi na jodari wanaishia juu kwa juu,tukavunja hata ikulu ikahamia Msoga na Chamwino mpaka kule kunapouzwa mihogo-coco beach ikawa ni bandari ya kisasa na miundo mbinu ya kileo na mitambo HAKI YA MUNGU tungetisha! Ajira zingekuwa bwerere na uharibifu wa barabara kwa malori ungekoma! Maintanance cost zingepungua!..

Ajali za kizembe za malori used na matairi na parts za kichina tungepunguza hii Misiba ya kila siku.bora ianguke train ya mizigo iliyokatiwa bima na sio maisha ya watz wasio na hatia!

HAKIKA NAWAAMBIA hatuhitaji ushauri wala hata utoke kwa bill gate ama marehemu Steve PJ kwani utafungiwa kabatini!
Tunahitaji watu jasiri wenye kuamua na KUTENDA pasipo woga wala subira.hivi unajua mtz bila kiboko haendi? Daladala zilitengenezewa kiboko kinaitwa Majembe auction zikaanza kunyooka ghafla waziri husika akapiga stop! Mh!

Weka sheria kali na zisimamie zitazaa matunda..eti watagoma. wakale wapi? Watagoma asubuhi tutatembea, tutapanda risk bodaboda na taxi njaa itawauma jioni watarudi barabarani bana. Msimamo muhimu aisee

Wallah nina mengi ya kusema lakini kitochi changu kimeisha chaji na ex rate ya dola kwa tshs 1820 sitarajii kumiliki generator maishani! But msg sent, delivery watajijua
Unaongea kama vile uko katika nchi zilizoendelea. Hayo malalamiko yako ni mtu asiyependa kazi na nadhani hapo ulipo unasubiri kuletewa mdomoni kama kinda la njiwa linavyosubiria kwa mama yake. Hizo juhudi zote zifanywazo na Serikali huzioni. Ujenzi wa shule kila kata, zahanati, Ongezeko la vyuo vikuu, mifuko ya maendeleo kama vile, TASAF, Madaktari bingwa wa Magonjwa sugu kama moyo, kisukari sasa tunao. Au umetumwa kulalamika ili ionekane kwamba hakuna linalofanyika? Hivi hii ndiyo mmeona ni propaganda ya kuilaumu serikali? Huku si kuishiwa? Pour quoi tout le jour la meme chose?. fanyakazi kwani ni mchango katika kuliletea taifa maendeleo. Usibaki kulalamika , kwani huo nao ni ufisadi, kulalamika tu bila kujibidisha. Hakuna adui mbaya kama kukata tamaa.
 
hahaha!
Shule za kata zenye mwalimu mmoja na hata science kit ni ndoto? Mwalimu hana nyumba wala choo.mshahara aufuate wilayani siku 2 na anakuta haujaingizwa.
University za migomo na mikopo ya upendeleo?
Madaktari bingwa wasiolipwa na kisha kuishia kuzungukia private hosp kudunduliza?.kwa nini malaria na kujisikia vibaya mnaenda india?
TASAF ndo mdudu gani? Kule ambako laptop inanunuliwa milion 7 huku mnaporomosha ma-villa mbezi na sisi tunaambukizana tb uswazi? Tusizinguane thatha!
 
sukari ya kilombero bei mara 2 ya lita ya petrol..maendeleo au? Soko la bidhaa mbovu!
Panadol ya chalk
toothpaste za chokaa
nguo za chilimen
mayai artificial
fanicha za mashudu
nyama za timberdust
maziwa ya kufyatua
noti za photocopy..aagh!
 
hahaha!
Shule za kata zenye mwalimu mmoja na hata science kit ni ndoto? Mwalimu hana nyumba wala choo.mshahara aufuate wilayani siku 2 na anakuta haujaingizwa.
University za migomo na mikopo ya upendeleo?
Madaktari bingwa wasiolipwa na kisha kuishia kuzungukia private hosp kudunduliza?.kwa nini malaria na kujisikia vibaya mnaenda india?
TASAF ndo mdudu gani? Kule ambako laptop inanunuliwa milion 7 huku mnaporomosha ma-villa mbezi na sisi tunaambukizana tb uswazi? Tusizinguane thatha!

mimi huwa sisomi post zako kwa sababu ya hiyo avatar yako ya kitoto, nilikuona kama uko ki facebook zaidi. lakini kwa hili jambo nadhani una some sense of maturity. keep it up kijana!
 
Huyu thatha ni mtata kweli. Yaani kwa akili yake anaona mambo yanenda vizuri kabisa. du basi nchi hii ina viongozi na wafuasi wake mbumbu kama thatha.
 
ucjal mkuu..kuna ****** huwezi kuwatambua upuuzi wao mpaka wafungue vinywa.usiangalie nyago we soma mistari.kuna wavaa suti mjengon ukiwasikia mipasho yao ndo utajua hulka zao
 
Huyu thatha ni mtata kweli. Yaani kwa akili yake anaona mambo yanenda vizuri kabisa. du basi nchi hii ina viongozi na wafuasi wake mbumbu kama thatha.
ndole!..hakuna kazi inalipa tz kama UPAMBE! Kuliko hata daktari,mwalimu,mhandisi,muuguzi,mwanasheria,hakimu.askari etc..wacha akuze CV!
 
Unaongea kama vile uko katika nchi zilizoendelea. Hayo malalamiko yako ni mtu asiyependa kazi na nadhani hapo ulipo unasubiri kuletewa mdomoni kama kinda la njiwa linavyosubiria kwa mama yake. Hizo juhudi zote zifanywazo na Serikali huzioni. Ujenzi wa shule kila kata, zahanati, Ongezeko la vyuo vikuu, mifuko ya maendeleo kama vile, TASAF, Madaktari bingwa wa Magonjwa sugu kama moyo, kisukari sasa tunao. Au umetumwa kulalamika ili ionekane kwamba hakuna linalofanyika? Hivi hii ndiyo mmeona ni propaganda ya kuilaumu serikali? Huku si kuishiwa? Pour quoi tout le jour la meme chose?. fanyakazi kwani ni mchango katika kuliletea taifa maendeleo. Usibaki kulalamika , kwani huo nao ni ufisadi, kulalamika tu bila kujibidisha. Hakuna adui mbaya kama kukata tamaa.

thatha umeingia mitini...jitokeze utetee propaganda zako
 
aisee yaan jana nilipita maeneo ya kindoroko,soko la kati Mjini mosh, nikakuta bonge la vurugu, nikasogea kwa fund cherehan nikauliza kulikon? Akaniambia SUKARI inauzwa hyo. Tpc wako 10km toka eneo hilo.kwel serikali yetu haijali raia wake!
 
katika ulimwengu huu sukari kuwa bidhaa adimu ni kichekesho na uzembe mtukufu
 
Unaongea kama vile uko katika nchi zilizoendelea. Hayo malalamiko yako ni mtu asiyependa kazi na nadhani hapo ulipo unasubiri kuletewa mdomoni kama kinda la njiwa linavyosubiria kwa mama yake. Hizo juhudi zote zifanywazo na Serikali huzioni. Ujenzi wa shule kila kata, zahanati, Ongezeko la vyuo vikuu, mifuko ya maendeleo kama vile, TASAF, Madaktari bingwa wa Magonjwa sugu kama moyo, kisukari sasa tunao. Au umetumwa kulalamika ili ionekane kwamba hakuna linalofanyika? Hivi hii ndiyo mmeona ni propaganda ya kuilaumu serikali? Huku si kuishiwa? Pour quoi tout le jour la meme chose?. fanyakazi kwani ni mchango katika kuliletea taifa maendeleo. Usibaki kulalamika , kwani huo nao ni ufisadi, kulalamika tu bila kujibidisha. Hakuna adui mbaya kama kukata tamaa.
Hapo umenena mkubwa, tuko pamoja.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom