Naonekana kama mvuta bangi

naomba msaada wana jf mimi situmii kilevi chochote wala sigara lakini macho yangu huwa na rangi nyekundu .imefikia paka naonekana kama mvuta bangi, je naweza kutumia daw gani il yaweze kuwa na hali ya kawaida?
Nawatakia heri ya mwaka mpya.

Anza kuvuta bangi ya malawi kula na Matango!
 
naomba msaada wana jf mimi situmii kilevi chochote wala sigara lakini macho yangu huwa na rangi nyekundu .imefikia paka naonekana kama mvuta bangi, je naweza kutumia daw gani il yaweze kuwa na hali ya kawaida?
Nawatakia heri ya mwaka mpya.

Tumia "kungu" kama za biharusi...utaona tatizo lako linaisha ndani ya muda mfupi.
Kuberi nayo muhimu hasa wakati wa kukaribia kulala.
Maumivu yakzidi muone dr. Mwaka wa forempango kliniki atakusaidia tiba mbadala.
 
Nina tatizo hilo kuna kipindi machi yanakua yanawasha sana na hata kulala inakua shida....suluhisho ni kutumia visine japo ni kwa emergency endapo tatizo hilo nikilipata...Ukizikosa nicheki inbox
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom