Naona leo Tanzania imekununtwa 3-0 na Nigeria

Mahmood

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
7,909
2,477
Ndugu Wanachama,

Naona leo Tanzania imekununtwa 3-0 na Nigeria katika kolifikeshen ya Olompik.

Tanzania lini itaendelea kimpira ?

Kila ikishiriki katika mashindano ya nje haifanyi vizuri.
 
mpaka watz mtakapoacha kuichagua ccm,mtaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu mpakamuache kabisa kushiriki,hii ni laana
 
Simba nayo imepigwa 2-0 na DC Motema Pembe. Tanzania bado ni kichwa cha mwendawazimu
 
Tanzania twaishia kuwa safishia njia washiriki wenzetu kwakila mashindano tunayoshiriki ko miesishangai na tutaendelea hivohivo hadi tukitoe chama cha magamba.
 
Back
Top Bottom