Hahahaha...danadana,lol!Ukiwa na gemu refu lazima ujue kulipamba pia sio unapiga mashuti tu golini, wati mwingine danadana za hapa na pale na chenga zinatakiwa
jus tuk me bak sam years!
nothing more..got no xperience, napita!
Yeye si kipando..ni binaadamu mwenye hisia na anayehitaji kuengwa. Kwa sababu hiyo ukiwa katika kumi na nane usikurupuke...mwandae na kwa pamoja mpande na kuteremka kwa kasi na mlindimo sawia huku mkishikana kihisia kama ni wawili katika mwili mmoja...na uwe tayari kusubiri wakati mwenzio anavuta kasi, ama kuchapusha hatua unapohisi unaachwa nyuma. Kinyume cha hapo hutakuwa tofauti na mbakaji!Mwanaume . . endelea kiongozi.