Naona aibu kuishi kwenye nchi tajiri wakati mimi ni masikini!!

kisiringyo

Member
Feb 9, 2012
89
31
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ni tajiri sana duniani, ukitaja nchi 10 bora zilizo jaliwa rasilimali nyingi huwezi kuiacha tanzania baadhi ya raslimali tulizo nazo ni kama vile:
1.maziwa makuu na makubwa ambayo yangeweza kuondoa umaskini wa watanzania wengi kwa kilimo cha umwagiliaji, uvuvi na kupata maji safi na salama.
2.mlima mrefu kuliko yote barani afrika(kilimanjaro) ambao ni mrima mrefu dunia nzima wenye volkano na mingine mingi ambayo inavutia watalii.
3.mbuga nyingi za wanyama ikiwemo mbuga kubwa kuliko zote duniani(serengeti national park), mikumi, ngorongoro nk.
4.vivutio vingine vingi kama vile mapango ya handeni, chura wanao nyonyesha huko kihanzi, hot spring water, maporomoko makubwa ya maji nk.
5.nchi pekee barani afrika yenye madini ya aina nyingi kama vile almas, zahabu, na madini ambayo hayapatikani nchi nyingine yoyote duniani ila Tanzania.
6.Tanzania ni miongoni mwa nchi chache zenye mafuta ardhini lakini pia mungu ametujalia nchi yenye ardhi kubwa CHA AJABU SASA NIPALE NINAPOONA MIGOGORO YA ARDHI HAIISHI, WATANZANIA WANAISHI KWENYE WIMBI KUBWA LA UMASKINI, UCHUMI WA NCHI UMEDONDOKA, ONGEZEKO LA BEI YA VITU HATA VILE VINAVYOZALISHWA HAPA HAPA TANZANIA...!!!!!!! MPAKA NAONA AIBU KUISHI TANZANIA KWA SABABU HATA WAZUNGU WANATUSHANGAA.
 
kwanza angalia baba yako au mama yako ,bibi au babu yako ,kama awachangii umasikini tanzania kwa kuchagua chama hii tawala ,kwani inawezekana familia yako ndio chanzo cha umasikini huu.
 
Yaani hapo pa watanzania kuchangia umasikini wa taifa ndio lipop tatizo letu! Magamba sawa wanahisa kuchangia katika hili ila mafasiliteta ni sisi wananchi!
Let wake up ndugu wananchi "let do our part then force other part of goverment to work on it" siyo kulalamika tu kila kitu serikali kwan ww umefanya nn cyo ungoje ufanyiwe hata mahali pakufanya ww
 
Back
Top Bottom