Naona aibu jamani, nisaidieni

Hivyo vitu vinatakiwa wakati mwengine viachwe wazi ili vipumue jamani!! Kwa hiyo kijana anafurahia vikiingia hewa. Si watoto tu hata watu wazima inabidi jaapo usiku muache vipumue. Kule kwetu pwani wanalala na Msuli tu ili hewa iwe inaingia na kukitokea emergency basi anatoka na msuli.
 
Kwani kuna ulazima wa kumbadili nepi mbele ya mama mkwe wako? acha kumbadili mtoto nepi mbele za watu, mengine acha nature ijishughulikie.

sa kuna aibu kosa gan kumbadili nep mbele ya mam mkwe?
kisa cha kwenda kumbadirishia ukooo chumba kingne wakat nimejimwaga ukumbin au kibarazan na mam mkwe yupo pemben...ahh nambadiri apo apo
mtoto kucheka na kushka nyuch yake si kosa ni burudan tu...
 
asante kwa ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom