...
...mwanamke chini ya miaka 30 hajaijua dunia, Age comes with maturity!
.
...mkuu, kiumbe mwanamke hata afike 50's bado anakunjika, inategemeana na ulimi wako tu unavyouzungusha!
hio ndi momentarily issues nazungumzia, mpe ulimi alegee... Muudhi akumbukia tangu enzi za kina bibi titi, sheHU shagari na chifu shangali... Kalaga baho
WAZEE WAGUMU KUISHI NAO...KUNA LOVE NA LUST MTOFAUTISHE... MMOJA ANATAKA MWENZA KWA MAPENZI NA MWINGINE ANATAKA MWEZA KWASABABU MILEAGE IMERUKA FENCE
Katika hali hiyo mwambie mnahitaji kufahamiana vizuri ili hapo baadaye hatua nyingine zifuate;kipindi hicho mlichonacho katika mahusiano ni kidogo sana kufahamiana kiundani.Inabidi angalau iwe mwaka mmoja au zaidi ili uweze kupata file lake na kujua status ya hilo file lake katika jamii.Wanajamii,
naombeni mawazo yenu kidogo...!
Nina demu tumefahamiana kama miezi mitatu hivi na huwa hatuonani mara kwa mara. Na kweli bado hatujafahamiana vizuri kabisa, ikiwa ni pamoja na kwamba bado hata "hatujaonja tunda" hata siku moja.
Hivi siku za karibuni ameanza kuniletea habari kwamba anataka kuolewa na kweli ameshikilia msimamo sana kwani kila ninapokutana nae habari ndio hio, anasema anataka kuolewa, anataka kuolewa.
Sasa mimi nashindwa kuelewa je? kuna usalama hapa au vipi? Kuna siku nilijaribu kumuuliza past story yake akaniambia asingependa kuizungumzia, laini pia simfahamu kwa undani kabisa na kila nikijaribu kumuuliza huwa ananijibu juu juu halafu mada inarudi pale pale, anataka kuolewa eti kwa sababu umri wake umeenda sana sasa manake kashatia kibindoni miaka 30 anaelekea mwaka wa 31 sasa.
Pia mimi binafsi ninawasiwasi na kabila analotoka manake ni kuleee kwa "akina Ishomire"
Wajemeni kuna usalama kweli
MTM,
ag.Isitoshe 50 is now the new 30.Sasa 30 sijui itakuwa the new 10?Bado kabisa na aliyesema hawana mapenzi wakifikia 30 nani???Msimtishe mwenzenu!
SWALI: NANI KATI YENU KAUZA NDIZI? ASUBUHI SH. MIA, MCHANA 70, JIONI 30, USIKU TUNAWAPA BURE AU KESHO WATAKULA WANYAMA
Binti ambaye anaachwa na bwana na ukizingatia kuwa siku hizi kumegana ni kama kawa kabla ya ndoa, basi huwezi kumwita binti kama huyo ni malaya. Basi na wewe ni malaya maana wanaume tunamega sana kabla ya kuoa, hiyo haipingiki. Halafu unataka past history ya binti, na yako je? Acheni ubabe jameni.[/QUOTE]
Maane,
Hii ndiyo dilema wanawake wanakutana nayo mara nyingi.
Mtu ni boyfriend tu, hajaonyesha nia yoyote lakini anataka kuendelea hadi hukoooooo! Akionja akakuta ladha siyo yenyewe anayoitaka? Ndo unabwagwa hapo.MAKUBWA!
hio ndi momentarily issues nazungumzia, mpe ulimi alegee... Muudhi akumbukia tangu enzi za kina bibi titi, sheHU shagari na chifu shangali... Kalaga baho
WAZEE WAGUMU KUISHI NAO...KUNA LOVE NA LUST MTOFAUTISHE... MMOJA ANATAKA MWENZA KWA MAPENZI NA MWINGINE ANATAKA MWEZA KWASABABU MILEAGE IMERUKA FENCE
...mkuu, kiumbe mwanamke hata afike 50's bado anakunjika, inategemeana na ulimi wako tu unavyouzungusha!
Haya kafyonze wa 40 basi maana wanasema ukubwa dawa... sio kila msemo una-apply kote
...MTM, kuuzungusha ulimi ni kwa maana ya maneno laini, maneno yaliyo na busara, na hekima. Hujasikia heri kuchapwa na fimbo kuliko kuchapwa na ulimi?
in a nutshell, ili uweze kuimudu ndoa yako, zingatia mambo matatu;
Communication -Communication -Communication
Listen!, (and try to understand!)
...think!, (before you talk)
talk! (effectively)
Wos bado upo upo?Maane,
Hii ndiyo dilema wanawake wanakutana nayo mara nyingi.
Mtu ni boyfriend tu, hajaonyesha nia yoyote lakini anataka kuendelea hadi hukoooooo! Akionja akakuta ladha siyo yenyewe anayoitaka? Ndo unabwagwa hapo.MAKUBWA!
This is true story!
Nilimdate mdada fulani kama miezi 3 hivi pia...baada ya kukutana naye huku ughaibuni. Sikuwahi fikiria aje kuwa mwenza wangu nilichukulia tunasaidiana kuondoa ukame. kadri zilivyokwenda alijiweka karibu sana na mimi...alianza kunambia bwana unampango gani na mimi...nilimjibu tunahitaji muda kujuana. Nilianza ulizia profile yake, ndipo nilipogundua aliisha haribu sana huko nyuma na hana sifa nzuri kwenye jamii...nilienda bongo na kuulizia habari zake zaidi...duuu kwa kweli ni balaa...niliporudi nilimwambia bwana lets part for sometime I need concetration na mambo yangu...alikuwa hanielewi, alifata marafiki zangu na hata ndugu zangu wanisaidie nimwelewe...niliweka msimamo na kubadili hata line ya simu...alikuwa analazimisha ahamie kwangu...of latest nikamwambia I am in a serious relation aniache. Akanitumia ujumbe kuwa anaolewa nikamwambia all the best nitakuchangia...bwana wee amenibadilikia eti nimempotezea muda, nikamwambia I never mentioned kuowa bwana...amekuwa adui yangu balaaa ananipakazia ile mbaya...nadhani atanitoa kule zeuchungu maana anapicha zangu....jamani kuolewa ni dili sana wadada?
masa
Bado sina mpango, na sitishiki na umri.Duh Pretty... ushaolewa weye?
Jamani mie naona miaka 30 ya huyo dada sio nongwa jamani. Mbona 30 bado mdogo tu. watu wanaolewa na 40 na life inakuwa bomba tu. Cha msingi mapendo tu.Jamani inawezekana yuko clean huyo dada ila tu anataka kuujua msimamo wako kwake kwa sababu huwa ni kawaida (si umesema ameshatimiza 30?) Unategemea nini?
what is ur best bet?Wos bado upo upo?