naombeni ushauri

Huyo kachoka kuishi na ilibidi afe kabisa, sisi hatutaki wajingawajinga wanaokunywakunywa sumu ovyoovyo.
 
mimi
co
jamaa
ni
binti.
na
cm
yangu
co
mchina
ni
samsung
original
ukiacha
space
unaingia
line
nyingine
kama
ivi
haya
nimekutafuta
wewe
nifundishe
twende
sawa.

Kwani,wewe,ni,mgeni,hapa,ndani,mbona,sijawahi,kuona,hizi,swaga?
 
Hivi kumbe system ya kutafutiana wachumba ipo hadi leo?mbona mie hawanitafutii?lol!
Huyo aliyekunywa sumu hayuko vizuri kichwani, na kama amepona then mwachen aendelee na maisha yake hafai hata kua mume, ukimuudhi kidogo anakunywa sumu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom