naombeni ushauri

maranatha

Member
Feb 14, 2012
58
11
nimezaa watoto idadi ninayoihitaji nataka kufunga kizazi lakini kuna watu wananipa hofu kwamba nikifunga kizazi kuna madhara mojawapo ni kuwa baridi au kukosa hamu ya tendo la ndoa.Je ni kweli?
 
nimezaa watoto idadi ninayoihitaji nataka kufunga kizazi lakini kuna watu wananipa hofu kwamba nikifunga kizazi kuna madhara mojawapo ni kuwa baridi au kukosa hamu ya tendo la ndoa.Je ni kweli?
ni uongo. kama waogopa basi tumia njia nyingine kama vile vidonge vya majira, ring, condom, kijiti katika mkono au salpingectomy (kukata mirija ya kuleta mayai katika mfuko wa uzazi), ni rahisi na ya uhakika zaidi. kama unamatatizo ya kuganda damu vidonge vya majira havikufai, vyaweza sababisha mabonge ya damu katika mishipa ya damu. kaongee na daktari kwa maelezo zaidi.
 
haina ukweli wowote, lakini itakuwa vizuri zaidi ukienda kuwaona wataalam.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom