Naombeni ushauri

lovelove

Member
Aug 22, 2011
21
3
nina mtoto mmoja, baba'ke naishi nae bt we are not married. Tatizo ana tabia ya uongo sana yaan ameni cheat mara kibao

hadi nimepoteza uaminifu kwake. my ex boyfriend anataka tufunge ndoa  and i stiil love  him coz tuliachana kwa kupotezana katika

kutafuta maisha. so wana jf nibaki na yupi kati yao?

Kwa ushauri wangu funga ndoa na umpendaye as ukifunga ndoa na usiye mpenda hutaish kwa raha na kila utakapo kutana na yule unaye mpenda utajikuta unasaliti ndoa yako ili kufurahisha nafsi yako.
Usifunge ndoa kwa kujaribu bcoz from what I believe love is within us and can never be learn't.

Fuata moyo wako coz hata ukisema ubaki na baba mtoto for the sake of the child,hutakuwa mwaminifu kwake.lakini pia kuwa mwangalifu na hisia zako,pengine unasema unampenda ex wako sababu amepromise ndoa.

Baki na yule unayempenda kwa Dhati.
Kama ni huyo mliepotezana basi utapaswa kumueleza kwa uwazi kimahusiano ya mapenzi nini kilitokea kwako baada ya kupotezana nae, pia na yeye akueleze kwa uwazi nini kilitokea kwake kimahusiano ya kimapenzi. Mkubaliane ndio muende hatua nyingine.
Usisahau kupima na kujua afya yako.

Kama mtoto ameishatambua mazuri na mabaya mshirikishe katika hili! karata yake itakapoangukia usigeuke nyuma!

mi naona shosti lovelove unataka kuongeza idadi ya waosha vioo vya magari pale ubungo..
tulia fikiria chukua hatua mahususi ili kunusurisha future yako..

swali na je kama huyo x wako naye ana mwingine utafanyaje..

. Tatizo ana tabia ya uongo sana yaan ameni cheat mara kibao
hadi nimepoteza uaminifu kwake.

Dada sidhani kama ulikuwa na haja ya kuja kuomba ushauri wa kuachana na jamaa kama ulishakosa imani nae kutokana na uamnifu.. ilibidi uwe umeshaachana nae kitambo...

Ushauri mkubwa ni kuwa jaribu kufanya kila kitu ili kumsadia makuzi ya mtoto.. Umeshaongea na huyo jamaa mpya kama yuko tayari kukupenda wewe na mtoto? umeshaomba msaada kutoka kwa wataalamu wa sheria kuhusu matunzo na haki za kisheria za kutunza mtoto?

Issue ni matunzo ya mtoto ambaye hana hatia.. na siyo maisha yenu nyie watu wazima..maisha popote, wakati wowote na mtu yeyote..Secure life ya mtoto first!

Kama jamaa ni muongo huna imani naye automaticaly utakosa hisia naye so hiyo ni hatari kwenye ndoa.mfate umpendaye then muoane huyo mtoto mtamlea pande zote.

mwambie tu huo uliye nae kwamba huwezi endelea kuishi maisha kama hayo then move on

hbu kaa chini uongee na baba mtto ki utu uzima juu ya maamuzi yako dizaini ka unatishjia kuondoka uone atareact vp

nina mtoto mmoja, baba'ke naishi nae bt we are not married. Tatizo ana tabia ya uongo sana yaan ameni cheat mara kibao

hadi nimepoteza uaminifu kwake. my ex boyfriend anataka tufunge ndoa  and i stiil love  him coz tuliachana kwa kupotezana katika

kutafuta maisha. so wana jf nibaki na yupi kati yao?

Sijui kama nakosea.. lakini nahisi as much as baba watoto ana ku mistreat he is the one you Love... na huyo ex- unam consider just because ana good intentions za kutaka kukuoa... Logically naweza sema chagua umpendae... Realistically nakushauri it is better umchague huyo ex (ila hakikisha kweli anataka kukuoa) for ni evident baba watoto kubadilika sio rahisi na saingine waweza ishia maradhi....

But hata hivo nimependa ushauri wa daughter..... Follow your heart....

nina mtoto mmoja, baba'ke naishi nae bt we are not married. Tatizo ana tabia ya uongo sana yaan ameni cheat mara kibao

hadi nimepoteza uaminifu kwake. my ex boyfriend anataka tufunge ndoa* and i stiil love* him coz tuliachana kwa kupotezana katika

kutafuta maisha. so wana jf nibaki na yupi kati yao?
khaaaaaaaaaaaaaaaa sasa kumbe sababu sio kwa kuwa huyo jamaa yako anakucheat bali we unatafuta sababu ya kurudiana na x wako?

Dada sidhani kama ulikuwa na haja ya kuja kuomba ushauri wa kuachana na jamaa kama ulishakosa imani nae kutokana na uamnifu.. ilibidi uwe umeshaachana nae kitambo...

Ushauri mkubwa ni kuwa jaribu kufanya kila kitu ili kumsadia makuzi ya mtoto.. Umeshaongea na huyo jamaa mpya kama yuko tayari kukupenda wewe na mtoto? umeshaomba msaada kutoka kwa wataalamu wa sheria kuhusu matunzo na haki za kisheria za kutunza mtoto?

Issue ni matunzo ya mtoto ambaye hana hatia.. na siyo maisha yenu nyie watu wazima..maisha popote, wakati wowote na mtu yeyote..Secure life ya mtoto first!

thanx kwa ushauri, x anajua kila kitu na yuko tayari coz hata yeye ana mtoto pia

Unaona maovu ya huyo baba mtoto kwa kuwa unaishi nae? Are you sure kwamba huyo ex hadanganyi? Are you sure kuwa huyo ex atakuoa kweli? Fimbo ya mbali haiui nyoka, ushikwapo shikamana, bora moja shika kuliko kumi nenda uje, Zimwi likujualo halikuli likakwisha, ukipata kipya usitupe cha zamani, mla mla leo mla jana kala nini... ni baadhi tu ya misemo ambayo inakutahadharisha kabla hujachukua uamuzi wa kumuacha uliye nae kwa sasa, ukaenda kwa 'rehani'... Kama kuna sehemu unaweza kwenda kukaa (kwa wazazi au ndugu au rafiki), kwa ujanja wote wa kike muage huyo uliye nae kwa sasa kama unaenda kusalimia, kaa mbali nae kwa japo mwezi mmoja, then jaribu kuusikiliza moyo wako, na pata muda huru zaidi wa kumsoma tena huyo ex. Najua kwa sasa mnakutana kwa siri na huyo ex- lakini inawezekana na wivu tu unamsababisha akuhadae uachane na uliye nae, lakini pengine ukishaachana nae, atakutosa au naye ataanza vituko. So, jaribu kuondoka (kwa amani) kwa huyo uliye nae, wakati huo huo mdanganye huyo wa zamani kuwa ndo ushaachana na huyo baba mtoto, then msome kama atakuwa responsible na kuendelea na nia yake ya ndoa, lakini pia tumia huo mda kusoma tabia zake...

asante kwa ushauri

Similar Discussions

Back
Top Bottom