Naombeni ushauri wanaJF?

Mdau Mkuu

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
233
45
Heshima nyingi nawapeni Wadau wangu,nashukuru maana ndani ya Jamvi hili nimepata kuelimika kwa mengi, na napenda kuwapa hongera kwa kuendelea kulisongesha gurudumu, kwa leo napenda wadau mnipe ushauri kwa Dadangu ambaye tokea mwaka 1998 hajawahi kuumwa wala ku2mia dawa ya malaria, ila tokea kipindi hicho huwa anakunywa dawa ya mwarobaini(anachemsha majani afu anakunywa lita 1 kila mwezi) na kweli haumwi kabisa,ila me ningependa kujua hakuna -ve effects, kwa ku2mia kinga hii, na kama ipo ni ipi maana hajazaa huyu dadangu isijekuua kizazi!

Afu kama kunakinga ingine mbadala ya Malaria naomba mnijulishe wadau wangu, ntashukuru sana wadau kwa ushauri wenu!
 
Heshima nyingi nawapeni Wadau wangu,nashukuru maana ndani ya Jamvi hili nimepata kuelimika kwa mengi,na napenda kuwapa hongera kwa kuendelea kulisongesha gurudumu,kwa leo napenda wadau mnipe ushauri kwa Dadangu ambaye tokea mwaka 1998 hajawahi kuumwa wala ku2mia dawa ya malaria,ila tokea kipindi hicho huwa anakunywa dawa ya mwarobaini(anachemsha majani afu anakunywa lita 1 kila mwezi) na kweli haumwi kabisa,ila me ningependa kujua hakuna -ve effects,kwa ku2mia kinga hii,na kama ipo ni ipi maana hajazaa huyu dadangu isijekuua kizazi!afu kama kunakinga ingine mbadala ya Malaria naomba mnijulishe wadau wangu,ntashukuru sana wadau kwa ushauri wenu!
kama anakuwa anakunywa hayo majani ya Mti wa Muarubaini kwa mwezi mara moja haina madhara yoyote ile mwilini mwake. Kwa sababu huwa anatumia huo mti majani yake kama ni kinga ya hayo maradhi, inakuwa ni vizuri isiwe kuwa anakunywa kila siku hapo huenda

ikamletea matatizo mengine kwani ushauri wangu mtu huwa anatakiwa kuwa anakunywa Dawa mpaka awe ni Mgonjwa lakini kwa jinsi anavyotumia huo muarubaini kwa mwezi mara moja hautamletea madhara yoyote yale. Ushauri wangu mwengine mwambie Dada yako

awe anakunywa Maji ya Uvuguvugu kiasi cha Glasi moja kila siku Asubuhi anapo amka kabla hajala kitu hii itamsaidia kuondosha Mafuta ndani ya Figo,na kufanya Apate haja kubwa kiurahisi. Na Kitu

kingine awe anakunywa kijiko kimoja cha Asali mbichi isiyopikwa kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kijiko kimoja cha hiyo Asali mbichi na wakati wa usiku anapokwenda kulala hiyo pia itamsaidia kusafisha ini na figo. Huo ndio ushauri wangu
 
Kama nimekuelewa vizuri Mkuu mdau nadhani hakuna shida kihivyo, me sio mtaalamu wa dawa lakini hili la kunywa dawa bila kuumwa ni la kwaida kwani linatumika kama kinga. Hata mimi utotoni nilikuwa nikipewa dawa na mamangu hata kama nilikuwa siumwi. Wala usitie shaka!
 
ni kinga nzurim ila mwarobaini unatoa mimba hivyo kama ana ndoa ama akiolewa mshauri asitumie,its serious mwarobaini unatoa mimba
 
Namishukuru sana wadau,hakika ntayafanyia kazi mambo yote mlionishauri,Mungu amibariki sana wadau wote
 
Back
Top Bottom