naombeni ushauri wana JF

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
Wana jf naombeni ushauri jamani, kama nilivyowaambia jana kuwa nimejifungua jana mtoto wa kiume kwenye thre yangu, nashukuru sana kwa wote walionitumia salam za pongezi , nasema tu mbarikiwe sana. sasa leo nakuja na ishu hii naomba ushauri jamani.

leo mchana nitakuwa nitaruhusiwa kurudi nyumbani kwania hali yangu na mtoto ni nzuri kabisa, ila napata utata sijui nikifika nyumbani wanangu wengine nitafanyaje.

ninao watoto wawili tayari na huyu ni wa tatu sasa nilishazoea sana kulala pamoja na wanangu, na huwez kuamini jinsi ambavyo wako karibu na mimi sasa leo hii naenda na kichanga na kulala nao siwez tena,je nitawatoaje chumbani kwangu ili wasione kuwa nimewabagua? swali la pili nifanyeje ili hawa wakubwa manake wanauwezo wa kugundua mambo kwa sasa wasione kama nampendelea huyu mdogo? nauliza kwani jana baba yao alinunua zawadi za mtoto mdogo walimfurahia sana kwani walijua ni za kwao, sasa walipoambiwa kuwa ni za mtoto mpya anakuja na mama kesho(leo) walikwazika sana wakasema mbona wao hawapendwi tena kama huyu mpya. na walidiriki kusema sisi tutampiga huyu labda mama asimlete. jamani nimejikuta nakosa raha sana sijui tulikosea wapi na kwasasa turekebishe vipi.

call me mama triple'G'
 
Ila mzazi wewe upo busy sana na jf sijui unanyonyesha saa ngapi....
 
Ila mzazi wewe upo busy sana na jf sijui unanyonyesha saa ngapi....

once uko hosp. huna kazi ya kufanya zaidi ya kuviruhusu vidole kuongea. infact nimeifanya iwe close partner ili pakuche si unajua hos panaboa? mtoto ananyonya kila aamkapo.
 
Hongera mwaya..ukifika waeleze vzur kwa upole n smile nzur,af uwambie uyu mdogo amechoma cndano na yupo kwenye dose,af doc amesema alale nawewe kama week,then after week,kamba tena
 
ehh nachelea kusema umezaa ungali bado aujamature.

sasa apo shida nin?unashindwa nin kuwaeleza watoto wako?
ulikuwa unalala nao wote wawili na baba yao kitanda kimoja?sipatii picha wakat mnamtafuta uyo mpya ilikuwaje.....waeleweshe wataelewa dada ayo maneno ni maneno tu yakitoto hasa fear ya kupoteza concern nacare za mama
 
Hongera sana,mlitakiwa pia muwajulishe watoto kuwa wanaelekea kupata mdogo wao.Kwa sasa muwaambie tu kuwa huyo mdogo wao hawezi kuchukua nafasi yao kama watoto,maana kila mtoto ana haki sawa kwa wazazi wake,muwaambie huyo mdogo anahitaji attention zaidi kuliko wao maana anahitaji kukua kama wao,tell them,they were babies just like him.
 
ehh nachelea kusema umezaa ungali bado aujamature.

sasa apo shida nin?unashindwa nin kuwaeleza watoto wako?
ulikuwa unalala nao wote wawili na baba yao kitanda kimoja?sipatii picha wakat mnamtafuta uyo mpya ilikuwaje.....waeleweshe wataelewa dada ayo maneno ni maneno tu yakitoto hasa fear ya kupoteza concern nacare za mama

sina maana kuwa sijamature au nawaogopa wanangu, what I believe kila siku mtu huwa anakosea na kila siku huwa anajifunza jambo jipya. Mimi nimeuliza ili kujifunza na kupata experience ya wenzangu.
 
Hongera mwaya..ukifika waeleze vzur kwa upole n smile nzur,af uwambie uyu mdogo amechoma cndano na yupo kwenye dose,af doc amesema alale nawewe kama week,then after week,kamba tena
Tusidanganye watoto,si vizuri kuwafundisha mauongo watoto,they need the truth for them to be free
 
once uko hosp. huna kazi ya kufanya zaidi ya kuviruhusu vidole kuongea. infact nimeifanya iwe close partner ili pakuche si unajua hos panaboa? mtoto ananyonya kila aamkapo.
kweli besti am so happy for u. huwa nakufurahia sana hapa jf . mimi siku nikijifungua nitakuwa naposti kila kitu humu sema uvivu uache hii kitu usifanye
574681_269671766458842_100002480636332_565453_2146352555_n.jpg
 
Back
Top Bottom