naombeni ushauri wadau

Bagrameshi

Senior Member
Jun 22, 2012
131
43
ni mda mrefu nimekuwa naangalia porn (xxx). Hivi nitapata matatizo gani kama nikiendelea?
 
Unaweza kuacha? Hebu Jaribu kuacha kwa week mzima, ujue kama umeshakuwa addicted (moja ya tatizo) au la.

Halafu, jichunguze unappfanya mapenzi na mwenzi wako; he hisia zinakuja kama kawaida au mpaka uvute mataswira ya kwenye porno (tatizo lingine) ndipo mambo yaende?

Mengine wataongezea wengine!
 
Unahitaji msaada wa kiroho na kiakili pia. The fact kuwa unajiuliza kama ni tatizo ndio mwanzo wa kupata suluhisho.
 
hiyo haina tofauti sana na punyeto ya kawaida. tofauti ni kwamba punyeto ya kawaida ina husisha akili pamoja na viungo wakati hiyo unayo ifanya ww inahusisha akili pekeyake japo unaweza ukawa unahusisha na viungo kwapamoja
hivyo mathara ya punyeto ni sawa na madhara ya xxx
 
mkuu madhara yapo sana tu labda utuambie ukishaaangalia ama unapoangalia unapata nini hatimae unafuah tu kisha bas ama unapata sexual satisfaction ama nini. ila so long as umeshaanza kujua tatizo basi umepona quit from that attitude.
 
nawe unataka kuwa star wa porn, kama kweli endelea kuangalia, maana pornography ni roho inayoishi, kama unasikia mapepo nayo ni pepo mojawapo, kama facebook vile
 
chukua tuition dogo na ujaze CV, mke asipate hata wazo la kutoka nje
 
ni mda mrefu nimekuwa naangalia porn (xxx). Hivi nitapata matatizo gani kama nikiendelea?

Matatizo yapo, ni makubwa na ni ya kisaikolojia ambayo kimsingi ya madhara kwenye ufanisi wa tendo lenyewe. Nakushauri jitahidi uwezavyo uachane na hiyo tabia.
 
nawe unataka kuwa star wa porn, kama kweli endelea kuangalia, maana pornography ni roho inayoishi, kama unasikia mapepo nayo ni pepo mojawapo, kama facebook vile

duh,kumbe facebook ni pepo. je jamiiforums????
 
mkuu madhara yapo sana tu labda utuambie ukishaaangalia ama unapoangalia unapata nini hatimae unafuah tu kisha bas ama unapata sexual satisfaction ama nini. ila so long as umeshaanza kujua tatizo basi umepona quit from that attitude.

Kuna rafiki yangu tumepotezana alikuwa akisikia kuna porn mpya mahali (CD) atafunga safari mpaka aipate......nakumbuka alikuwa hana upenzi wa movie yeyote zaidi ya porn..............Tena ukmpekua kwenye gari yake unaweza kukuta picha za uchi zimejaa............Kifupi alikuwa shabiki mkubwa sana.

Na bahati mbaya sana alikuwa anasema akimpata mwanamke lazima amfanyie chochote anachokiona kwenye porn except labda mwanamke awe mbishi kweli
 
Back
Top Bottom