Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni ushauri wadau nataka kuhama facult chuo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by realG, Oct 4, 2012.

 1. r

  realG Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimechaguliwa Sua Rural Development nataka hamia Ifm Tax management je inalipa
   
 2. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  wakat unachagua ulijua inalipa au hailip....kweli wasomi dizaini yenu ni bomu litakalokuja kulipuka baadae huna ...mission wala vission.. yaani unatka sua kwenda ifm kweli ww ****** naona unaogopa kudisko semista ya 1.....
   
 3. m

  mkumbo marco New Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakumbuka tcu ulikua unachagua course 8:
  unaanza na unayoipenda...
  Inawezekana umechaguliwa sehemu ambayo hutaki
  ni kweli unaweza badilisha-nenda ifm pata nafasi then watakuelekeza wenyewe usihofu
   
Loading...