Naombeni ushauri wa kufuata

Hata huoni haya kuuli hili swali!? Nakwambia huo ni Umalaya yaani umekosa wasichana unachukua mtoto wa ndugu wa shemeji yako?! Watch out!
 
@nyani roho inaniuma nikimuona yuko anafuraha na m2 mwingne,ninachotamani ni kumuacha bt naogopa kuitesa nafsi yangu,ila cwez kuendelea kuwa mtumwa wa mapenz na kunyanyaswa kifikra ni mambo gani nifanye ili atoke kabisa akilini na nisimpende tena?

Na umesema huyo msichana ni mtoto wa shemeji yako. Yaani huoni kama tayari ameshakuwa nduguyo? (kiafrika zaidi, lol). Naye ameshajua kuwa hakuna future hapo anatafuta mtu wa kutengeneza naye familia, achana naye, move on na tafuta binti mwingine atakayekuwa mwenzi wako wa maisha. Kama kweli nimekuelew umemaanisha nini
 
ook jamani mtu yeyote anaweza kunishauri siyo mbainti peke yake how can i dump this woman

na usiseme kumdump, kwani amekuwa taka yeye? umeanza dhambi ya kumzini nduguyo, na unajua kabisa kuwa hutamwoa. Achana naye mapema, nahisi shemejio hajajua kama unamzini mwanaye, so ondoka kimya kimya na umsahau
 
<br />
<br />
poa i got it,nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Tuondolee uchuro wako. Huoni aibu kula watoto wa ndugu zako. Laana yako itakuweka pabaya. Sorry for you.
 
Tuondolee uchuro wako. Huoni aibu kula watoto wa ndugu zako. Laana yako itakuweka pabaya. Sorry for you.
<br />
<br />
tatizo hujui kupenda ungejua hata usingeona laana bt nitajitahd niachane nae, mi mwenyewe cpend bt nafsi ndo imemchagua
 
Back
Top Bottom