Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,280
- 3,345
mimi ninakaa na kaka yangu na shem ambaye pia tunaishi na mtoto wa dada yake (huyo shem) ambaye mimi nina mahusiano naye ya mapenzi siri now ni kama mwaka 1 umeshafika,nileinda chuo kusoma but nimerudi nimemkuta ana mahusiano ya siri na mtu mwingine lakini kwa jinsi ninavyompenda siwez i kumuacha na hatoki kwenye mawazo yangu kiasi hata sili wala silali vizuri naye anajua kama nampenda but kwenye simu yake nakuta msg za ajabu but naogopa kumuuliza coz tutakwaruzana na mimi sipendi coz naumia ila pia sitaki aendelee kuutesa moyo wangu,niambieni nifanye nini ili nipunguze au hata niache kumpenda coz ananiumiza sana
nitafurahi nikipata ushauri kutoka kwa mabinti kipindi nipo chuo tuligombana but tukarudiabna na kupendana sana but now hali ndiyo imefikia kama ilipo piz naombeni ushauri wenu thanks
nitafurahi nikipata ushauri kutoka kwa mabinti kipindi nipo chuo tuligombana but tukarudiabna na kupendana sana but now hali ndiyo imefikia kama ilipo piz naombeni ushauri wenu thanks