Naombeni ushauri wa ki-taalamu.

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,014
957
Nina electives course zifuatavyo:-
a.Collaborative networks and facilitating technologies.
b.Human computer interactions.
c.Social informatics.
d.Object oriented programming with C++.
e.Data warehousing.
Kati ya hzo natakiwa nichukue mbili,kwahyo naombeni msaada wa dhati kabisa.
Ahsante!!
 
1. b. very important (take it), if you choose b then you've excluded c

2. if (your dream job==databases);
do=e;
elseif (your dream job==networking);
do=a;
else ("worst your time in cpp")
 
Fuata ushauri wa Narubongo
 
1. b. very important (take it), if you choose b then you've excluded c

2. if (your dream job==databases);
do=e;
elseif (your dream job==networking);
do=a;
else ("worst your time in cpp")

Fuata ushauri wa Narubongo,lkn kwenye OOP with C++ ni nzuri,ngumu, inahitaji more creative,muda mwingi na capital yako iwe kubwa ili kuweza kufanikisha kazi zako.Good luck in your choice
 
Mkuu .cpp haina deal labda kama unataka kuwa mwalimu, hahahaa wewe umeona office gani wanatumia applications/web developed in .cpp.. halafu isitoshe .cpp ya siku hizi features nyingi zimekuwa disabled/limited and so huwezi ukafanya manouver kama miaka ile ya 90
 
ndo maana nimemwambia inabidi awe 'more creative' e.i yeye atengeneze application software kwa ku2mia hiyo languange programming ambayo itakuwa marketable
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom