Naombeni ushauri: Receiver ipi ni bora na zinapatikana wapi kwa hapa bongo?

kelvyn

Member
Aug 11, 2011
26
3
habari zenu ndugu zangu wanajf!
Samahani wanajf kwa yeyote mwenye ujuzi na haya masuala ya satelite dishes, receiver na decoder nilikuwa naomba anishauri ipi ni bora na inauwezo wa kuonesha local channels, epl,movies za mbele etc. Nimewahi kununua ya strong hapo siku za nyuma lakini imekuwa ni miyeyusho tu, channels zote nilizokuwa napata sasa hivi zimekuwa scrambled. sa kwa yeyote mwenye utaalamu na masuala haya ya hivi vitu anisaidie... dstv jamani parefu kulipia usd kila mwezi.
kwa mwenye uelewa na contacts za wapi na ubora wake ulivo pls naomba msaada wako.
wenu mtiifu

papaa sukari
le chocolate d'amour
 
Back
Top Bottom