Naombeni ushauri ninakufa njaa mwenzenu

Labda na yeye anamwogopa smile lol!..

hawa wanogopana, sasa ukitaka kujua kila mmoja hayuko sirias... organize jamaa siku moja aingie pale na kitu kikali, ndipo utajua smile hayuko sirias.... atacha woga wala makida-makida
 
watu wamestik kwenye smile kumgwaya uyo kaka wakat smile kasema hata ofisini anaona aibu....huo ni ugonjwa m'baya sana..hakun amwanaume ambaye anapenda mwanamke asieongea..trust me!!wanaume tunapenda mwanamke ukikaa nae anakua na vistory vingi vingi vizuriiiii....huku akishushia na smile pana na live!!

mtoto w akike lazima uwe Live..usipoe!!simaanishi ujirahisi..la hasha!!jaribukuwa mcheshi n current!!

siku hizi kutongozana kulishapitwa na wakat....who knows!!pengine mna interest zinafanana on the way katka stories mnajkuta mlishakuaga wapenzi!!!

mfanye mwanaume akuone unamfaa...na sio umfanye mwanaume akufae!!...

uoga wako....ndo umaskini wako!!!
 
hawa wanogopana, sasa ukitaka kujua kila mmoja hayuko sirias... Organize jamaa siku moja aingie pale na kitu kikali, ndipo utajua smile hayuko sirias.... Atacha woga wala makida-makida
kweli sina hata interest nae ni woga tu sijui kwanini
 
Si ndio nashangaa smile anamuogopea nini? yaani rijali zima inakuwaje? inaanzaje anzaje? , watu wanakwenda hijja saudia wewe unakwenda hijja mkahawani kumuangalia smile amemaliza chapati ngapi? nyambaaf zake. Hapa lawyer nimeongea kwa hasira sana
Jamaa sijui vipi aisee, hebu angalia kama tuna kesi hapo ya kutudhalilisha, hii timing siyo kabisa aisee.... timing ya lunch??

unaweza kuta jamaa analiaga timing hata trip za toilet
 
watu wamestik kwenye smile kumgwaya uyo kaka wakat smile kasema hata ofisini anaona aibu....huo ni ugonjwa m'baya sana..hakun amwanaume ambaye anapenda mwanamke asieongea..trust me!!wanaume tunapenda mwanamke ukikaa nae anakua na vistory vingi vingi vizuriiiii....huku akishushia na smile pana na live!!

Mtoto w akike lazima uwe live..usipoe!!simaanishi ujirahisi..la hasha!!jaribukuwa mcheshi n current!!

Siku hizi kutongozana kulishapitwa na wakat....who knows!!pengine mna interest zinafanana on the way katka stories mnajkuta mlishakuaga wapenzi!!!

Mfanye mwanaume akuone unamfaa...na sio umfanye mwanaume akufae!!...

Uoga wako....ndo umaskini wako!!! Tehe
mimi ndivo nilivozaliwa mkuu,hadi nimzoee mtu sana ndo naweza kumchangamkia
sina dharau nipo charming sana
hata smile ni jina langu real
huyu mkaka tu ndo amenishinda
 
kiukweli mimi naogopa sana watu
mida ya tea nasubiria mida ambayo hamna watu wengi mahali ambapo huwa napata tea
lunch ivoivo naweza kukaa hadi saa tisa sijala ili tu wayu wapungue kabisa maana naogopa
sasa kuna mkaka mmoja kiukweli namuogopa sana wa ofsi ya jirani hapo
mara nyingi tunakutana kwenye huo mgahawa
tatizo ni hili yaani kila nikienda pamoja na nimechelewa nikiagiza tu chakula kikiwekwa mezani na yeye ndo anajitokeza
jamani hadi nakonda mwenzenu maana chakula hakipiti.
nikisema niwahi anakuja,nikichelewa anakuja sijui nifanyeje
ni coincidence tu Smile,ujue mida yangu ya kula ndo huwa ya kwako.
By the way unaniogopa nini? au kwa vile mi bonge la handsome ukiniona magoti yanalegea?
 
Tafuta shahada ya vipimo vya ukimwi vya mtu alieathirika halaf weka juu ya meza ionekane, halaf wewe tambaa na bakuli yako ya supu bila wasiwasi. Huyo jamaa akiludi tena hapo kwenye mkahawa basi ujue na yeye ni mwathirika.
Ikishindikana hii nistue nikupe plan B


Plan A tu ndo hivi
B si itamaliza kila kitu
ha ha ha
 
hata mimi namshangaa bwana,katumwa nini?
Hii pia ni possible, Inawezekana ameambiwa akuwekee sumu kwenye chapati.
Hivi haujawahi kuiba mume wa mtu wewe? (Ukidanganya nitajua, Nimechukua shahada yangu ya ulawyer zimbabwe yunivasity)
 
smile utakuwa unatafuna haraka haraka au una matonge makubwa. nitarudi kutoa ushauri. hapo nimeangalia source ya tatizo inaweza kuwa nini.
 
mimi ndivo nilivozaliwa mkuu,hadi nimzoee mtu sana ndo naweza kumchangamkia
sina dharau nipo charming sana
hata smile ni jina langu real
huyu mkaka tu ndo amenishinda

ok.
jaribu kuchunguza yafuatayo....
kwamba kuna wakat anakua na wenzake?anakua na hali gani...funny?serious?au hana tofaut na akiwa peke yake...
jee!!kama amezoea iyo mgahawa..anamahusiano mazuri na wahudumu!?..je ofisi yake ana mahusiano gani?huna mtu unamfahamu apo ofisini kwao?hii itakusaidia kumfahamu vzur jamaa..nakama unahisi umempenda..jarbu kuyafahamumaisha yake kiundani.......ameoa au anaishi wapi...etc etc
mengine utajaza mwenyewe
 
Jamaa sijui vipi aisee, hebu angalia kama tuna kesi hapo ya kutudhalilisha, hii timing siyo kabisa aisee.... timing ya lunch??

unaweza kuta jamaa analiaga timing hata trip za toilet
Kesi ya udhalilishaji ipo kamanda, Mijitu kama hii ndio inasababisha bei za sabuni zipande.
 
mmmmmh hivi kuna kuogopa watu tena siku hizi??? mbele ya njaa khaa haujaumwa wewe na njaa...afu huyo mtu atakua jini aisee maana wewe ukiwahi ukichelewa lazima umkute....fanya maombi apotee katika fikra na mbele ya uso wako na hama mgahawa kabisaaaa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom