Naombeni ushauri nimeadhirika na punyeto

mhm...mie mbona nashindwa kuelewa kitu kuhusu punyeto....mbona mie napiga nyeto mwaka wa 20 sasa lakini nikiingia kwa game nikimaliza goli ndani ya dakika tano ngoma inasimama tena...nyie wezangu inakuwaje mwashindwa kurudia mpaka masaa yapite...au wee mke wako sio mzuri?
Mmh mwaka wa 20 tomach kk
 
Huyu ajiandae zaidi kisaikolojia kua anaweza kuendelea, pia jenga mazingira kua ukianza tenda hata kama ndani ya dk moja ushakojoa wee endelea kukamua bila kuitoa kwenye papuchi, ukiweza kuicontrol ikarudi kwenye usmati wake hapo hesabu dk30 hadi lisaa bado unachapa tuu, lakini ukipumzika halafu ukirudi tena habari hua ileile.
Ukiamua kuifanya akili yako ikubali kwamba unaweza na utaweza kweli.
 
Huyu ajiandae zaidi kisaikolojia kua anaweza kuendelea, pia jenga mazingira kua ukianza tenda hata kama ndani ya dk moja ushakojoa wee endelea kukamua bila kuitoa kwenye papuchi, ukiweza kuicontrol ikarudi kwenye usmati wake hapo hesabu dk30 hadi lisaa bado unachapa tuu, lakini ukipumzika halafu ukirudi tena habari hua ileile.
Ukiamua kuifanya akili yako ikubali kwamba unaweza na utaweza kweli.
thanks
 
i've been in that chama called chaputa for 7years sijawah acha mda mrefu kama sasa nina wiki mbil na siku moja bt the day nimekutana na real papuch kwa vile nilizoea kule nilifanya wonders kwa raundi ya pil kudumu pale juu kwa lisaa na madakika huwa nikijifoc kufika mwisho huwa ni dk kama arobain hv au nusu saa nina perfomance nzur kwa kwel .......sa nashindwa kuelewa madhara yanakujaje bt navyojua punyeto inalegeza misuli uume unakuwa hauna nguvu ila ukiacha mda mrefu unarud maala pake trust me piga zoezi la kutosha kunywa maji mengi utarud maala pake mm nazan ndo nilikuwa naongoza kwenda bao nyingi kwa cku kwa kupiga punyeto kwa cku huwa ata bao tano
 
Wapendwa JF nawasalimu,

Kwanza kabisa nishukuru waasisi wa JF na memba wote, naimani kubwa nitapata msaada humu kwa kua kabla ya kua member nimekua nikifuatilia makala na mada moto moto na baadhi zimetoa masuluhisho ya kudumu katika baadhi ya changamoto.
Nina umri wa miaka 35, naombeni msaada wenu kujua dawa ya kutibu mtu aliethirika na punyeto, uume wangu umelegea na hauwezi kufanya kazi kwa ufanisi, nikifanikiwa kufanya tendo la ndoa ni mara moja tu basi siwez kurudia tena mpaka baada ya masaa 10 yani kesho, ikumbukwe nimeoa na hii inanisumbua sana katika ndoa yangu, mke wangu amekua muelewa sana juu ya mimi kutomridhisha lakin anahisi mimi ninawanawake wengine, tatizo hili la kupiga punyeto nilidumu nalo kwa muda wa miaka 10 kabla ya kuacha kwa tabu sana na kuoa, naombeni usaada wenu juu ya vyakula au dawa za kurudisha uwezo wangu wa tendo la ndoa japo haitokua kama mwanzo.


Mkuu nashukuru kwa kujito!!! Ila naomba sana utembelee thread " ATHARI ZA PUNYETO" katika habari mchanganyiko itakusaidia.
 
Kijana una matatizo mengine binafsi nyeto haileti matatizo kama hayo unayosema, kwanza kwa siku ulikua unapiga goli ngapi..?
Hahahahaha..katibu mkuu CHAPUTA taifa katika ubora wake..hahahah 'kwa siku alikuwa anapiga goli ngapi'
Yani apa umenifanya nicheke km mweu
 
Tatizo dogo, mtafute mshkaji anaitwa ustadhi yuko apa apa jf !! Mzee atarudi kama kawaida don't worry man
 
Kuna vitu ambavyo tunapaswa kivijua na kuweza kuvitumia na vitu ambavyo affordable kwa kila mtu kwani gharama zake ni cheap sana,kwa kila mwenye tatizo na kama huna matatizo unaweza kuutumia mchanganyiko huu kwa kila siku lakini kuutumia kila siku sio lazima ila ningeshauri utumie kwa siku 7 za mwanzo mfululizo.

Mchanganyiko huu ni tiba kwa maradhi mbalimbali ikiwemo na matatizo ya kiakili (social psychological disorders) kama haya na mengineyo lakini pia mchanganyiko huu wa vitu ambavyo vipo katika maisha yetu ya kila siku yataimarisha misuli yako katika kila kiungo cha mwili wako hivyo kila penye madhaifu pataimarika.Huu mchanganyiko unaweza ukaupata popote pale ulipo ila itakuwa sokoni zaidi,mchanganyiko huo ni kama ifuatavyo ila hata kama utaambiwa hii ni dawa usiogope kwani hii ni dawa kwa wenye matatizo na ni kinga kwa wasiokuwa na matatizo.

Na hii ndio siri kubwa ya watu wenye imani fulani kuwa na mademu wengi na kutoyumbishwa kabisha kwa upande wa bara lakini kama uko pwani basi vitu vyote veynye asili ya bahari ukiwa unakula mara kwa mara ni vizuri kwa afya yako na kuhifadhi na kulinda maumbile yako ambayo ni ya asili.Mchanyiko wenyewe ni kama ufuatao Nunua pakiti mbili za kila cha hapo chini kwa gharama ya 1000 yaani 500 kwa kila kimoja ILA KIWE CHA UNGA ili kiweze kuchanganyika.
1.TANGAWIZI
2.IRIKI
3.PILIPILI MTAMA
4.MDALASINI
5.KARAFUU
na kisha ukanunue na ABATSODA NAYO PIA NUNUA YA UNGA KWA GHARAMA YA 1000.

Kisha changanya huo muunganiko na kisha anza kutumia mchanganyiko huu kama chai badala ya kuweka majani ya chai weka huo mchanganyiko kwa robo ya kijiko au chini ya robo ya kijiko ila hakikisha maji ya moto ambayo utayatumia kama chai yanapata rangi kutokana na mchanganyiko huo.

JARIBU KUFANYA HIVYO ILI UONE MIUJIZA YA VIUNGO VYA PILAU NA ABATSODA.
HII NI KWA WOTE WANAWAKE NA WANAUME WAGONJWA NA WAZIMA ILA INASHAURIWA SANA KWA WALIOOA ILI KUEPUSHA MADHARA ZAIDI YA PUNYETO NA UBAKAJI MITAANI.

NB: MIMI SIO MGANGA WA KIENYEJI ILA KATIKA USOMAJI WANGU NILIIKUTA HII NA IMENIFANYA NIWE NA UWEZO WA KUPIGA BAO MPAKA 6 NDANI YA USIKU MMOJA,SIJAWAHI KUEXPERIENCE MATOKEO HASI YAKE TANGU NIANZE KUTUMIA NIKIWA NA MIAKA 20 NA SASA NINA MIAKA 28 NA NINA WATOTO 2 NA MKE HALALI MMOJA NA MICHEPUKO
MITATU.
Kaka doz ck ngap
 
Back
Top Bottom