Naombeni ushauri/mke wangu "ana sauti" kwangu

Nduguzanguni mficha uchi hazii au mficha maradhi kifo humuumbua. mimi ni mwanaume niliyeoa miaka 3 iliyopita, tumebahatika kupata mtoto 1 wa kiume umri 2yrs. Huyu mke wangu anasauti kuliko mimi , waswahili wanasema, yuko juu yangu. Ananiheshimu sana nami namuheshimu.

Tatizo ni kuwa kwa kuwa anasauti basi hata mambo ya ndoa/unyumba anaamua yeye lini na saa nagapi, hili limenifanya ni kose raha ya ndoa kwa sababu mimi kwa kweli nahitaji mapenzi at leat 3 times per week, yeye akiamua at least once per three weeks, unaweza kuona changamoto ninayo pitia. last two months, nilivunja ukimya- matokeo nikajaza watu, nilicho fanya- nilirarua pedo yake ya jeans aliyo lala nayo. alipiga mayowe sana, infact watu walijaa nje. nikamzuia asitoke kwenda kwao bse alitaka kuondoka usiku huo huo. jamaani ni serius case . please tusaidiane cha kufanya.!!

Hata huyo mtoto mlozaa nae nenda kampine kwa DNA ujue kama ni wako au lah, inawezekana kabisa unalea mtoto wa mwenzio wewe. Nadhani hata mimba iliingia kibahati mkuu hapo. Kifupi huna mke hapo, kama dini inaruhusu ni bora uoe mke mwingine upate 'uhondo' wa ndoa mkuu.

Poleeeeeeeee!
 
Nduguzanguni mficha uchi hazii au mficha maradhi kifo humuumbua. mimi ni mwanaume niliyeoa miaka 3 iliyopita, tumebahatika kupata mtoto 1 wa kiume umri 2yrs. Huyu mke wangu anasauti kuliko mimi , waswahili wanasema, yuko juu yangu. Ananiheshimu sana nami namuheshimu.

Tatizo ni kuwa kwa kuwa anasauti basi hata mambo ya ndoa/unyumba anaamua yeye lini na saa nagapi, hili limenifanya ni kose raha ya ndoa kwa sababu mimi kwa kweli nahitaji mapenzi at leat 3 times per week, yeye akiamua at least once per three weeks, unaweza kuona changamoto ninayo pitia. last two months, nilivunja ukimya- matokeo nikajaza watu, nilicho fanya- nilirarua pedo yake ya jeans aliyo lala nayo. alipiga mayowe sana, infact watu walijaa nje. nikamzuia asitoke kwenda kwao bse alitaka kuondoka usiku huo huo. jamaani ni serius case . please tusaidiane cha kufanya.!!

tumpige chini tutafute 'asiye na sauti' kwako.
 
tusaidiane cha kufanya?????jaman talk to ya wife in wisely n polite manner n fulfil her needs as husband.take a gud care of her,take her as your first priority then uone kama atakunyima tena....
 
Back
Top Bottom