Naombeni ushauri kuhusu huyu binti.

Come down
kijana amependa na anapenda kuchunwa
pale kwenye mvuto pamefanya nikumbuke post ya jana ya mtambuzi
khaaa! niambie tu kwamba wewe sio ndugu yangu manake real ningekutia mabao ya usoni. ushaambiwa kabisa kwamba hupendwi so what unataka nini tena? ama ndo uchunwe hadi urith kama alivyosema boss?
 
Last edited by a moderator:
Una miaka mingapi? Huyu ni GF ukifika mda umekuwa wataka kuoa tafuta mke, we love these women, they are good people, but we should leave a place in our heart for our own thinking and judgement, love with the heart but decide with your brain!


Kuna binti mmoja niliwahi kumtongoza akanikataa,basi me nikabembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake,kwa kweli huyu binti nilitokea kumpenda sana na ikafikia hadi hatua nikawa namhonga nikitegemea labda atabadili msimamo wake,cku aliyonivunja moyo ni cku ambayo aliniambia kwamba hataki kuwa mpenzi wangu kwa sababu sina mvuto so kwa kifupi simvutii{fikiria mtu unavojickia ukiambiwa hayo maneno weather ni kweli huna mvuto or not}kwa kweli nilijickia vibaya sana na ikumbukwe kwamba huyu binti nilikua namsaidia mambo mbalimbali ya kimaisha,basi me nikaona kama amenidharau to the maximum,nikakata misaada yote ambayo nilikua naitoa kwake coz nilijua hata nimpe nini ni ngumu kumpata,nikawa nawasliana nae mara moja moja ili kumfanya asigundue kwamba niliudhka na yale maneno yake,sasa imèfika jana ucku akanitumia sms akinitakia usiku mwema,mie nikamjibu to ''nawe pia gnt''baadae akanipigia simu akawa ananilalamikia kwamba cku hzi nina roho mbaya na eti namchukia sana,nikamuulza nan alimwambia kuwa namchukia akawa anapotezea,baadae ktka maongez cmu yangu ikakata charge so nikabadilisha cmu haraka haraka ili nimskilze shida yake,but nikakuta simu yake iko busy zaidi ya mara 2,me nkaamua kulala,leo tena kanitumia txt akanambia iwe mara ya mwisho mim kuwasliana nae,nikamjbu kwa nin akanambia tena mie namchukia na simpendi,nikamjbu nikamwambia simchukii na ni kweli simpend cos she is not my gal,kumwambia ivo akaja juu kwamba kumbe mda wote huo amepoteza kwangu me namchukulia poa tu,iweje leo nimwambie sio gal wangu!sijamjbu chochote mpaka saa hzi,sasa wakuu nisaidieni kuisoma chemistry ya huyu binti,yeye aliisha niambia mimi simvutii,iweje leo tena aniambie hayo maneno yake?
 
Daaaaaah! Hivi yan hata picha huoni? Huyo ni mchunaji tu!

Hapo kwenye mvuto nimecheka sana na huyo mwanamke naona kakupotezea confidence kabisa.

Mbona unashindwa kumuuliza kama sasa hivi ameona mvuto au lah!

Kimbia kabisa
 
Dah jamaa sasa hapo unaomba ushauri na wakati kila kitu kipo wazi kuwa huna chako. Kaa tafuta maisha ndugu yangu mwanamke mwema utampata tu huyo bado anahangaika na dunia. Pia usiwe ni mhongaji kwa mwanamke..utaadhirika.
 
Come down
kijana amependa na anapenda kuchunwa
pale kwenye mvuto pamefanya nikumbuke post ya jana ya mtambuzi

yaani rutta lol! wanangu na wakue waje wajionee haya lol! ila aisee bora niwafundishe vidume vyangu kuwa mabazazi tu waanze kuwa mimba waschana toka shule ya msingi basi nijue hawatanisumbua kwa ishu kama hizi lol!
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapa unaomba ushauri wa nini na tayari umeshaamua kumbe?

Mkuu nahisi Perry bado sitaki nataka ndiyo maana anaomba ushauri. Kama huyo binti angempigia cmu na kumwambia kuwa anampenda,dhahiri ni kwamba angerudisha majeshi ndiyo maana anaomba ushauri..au % kubwa hapa ingemshauri amrudie naamini angemrudia kana kwamba yeye haoni kama amegeuzwa ATM.
 
...ameshasema hakutaki kaa chonjo...

Mkuu umenikumbusha wimbo wa zamani sana!watu wengine huwa wanajitafutia ugonjwa wa moyo wenyewe sometimes kuna maamuzi hayatakiwi kuusikiliza moyo wala kile kichwa kingine
 
yaani rutta lol! wanangu na wakue waje wajionee haya lol! ila aisee bora niwafundishe vidume vyangu kuwa mabazazi tu waanze kuwa mimba waschana toka shule ya msingi basi nijue hawatanisumbua kwa ishu kama hizi lol!

Umenikumbusha nyimbo ya Jide..'wanaume kama..'
Wafundishe wanao dadaangu gfsonwin labda watarudisha heshima ya uanamume..
 
Last edited by a moderator:
Kaka na wewe umezidi ubwege nani alikuambia vijisent ndio kumvutia binti? Toa vijisent ili wajanja waendelee kushaini mjini
 
Umenikumbusha nyimbo ya Jide..'wanaume kama..'
Wafundishe wanao dadaangu gfsonwin labda watarudisha heshima ya uanamume..

yaani SnowBall Mungu kanipa vidume 4 bora tu nivifundishe kurusha maji vibinti wanavyosoma navyo basi tu nijue moja manake wanaume wa siku hizi lol! bado tu kuwavesha shanga aisee. mimi klein wangu japo miaka 15 lakini anajua kumwaga swanga na kung'amua kama hapa ni changa la macho ama la. na sheria niliyompaa ni afadhali amtie mtu mimba kuliko nisikie kapigana na mwanaume mwenzie kisa mwanamke. yaani ikija kesi kammimba mtu kwangu poa ila eti kapigana kisa mwanamke yaani atachezea lupango sina mzaha katik hili.

wanawake wote hao halafu akapigane aisee atanikoma.
 
Last edited by a moderator:
The Boss leo una vigongo.........

Jamaa anataka kuchunwa huyu, mwache akakitafute kiranga chake......



duh...
ukisikia babu jinga ndo wewe....

umsome nini hapo tena
shukuru yameisha,move on...
au unataka uchunwe mpaka urithi ????
 
Last edited by a moderator:
Uongee nae, inawezekana moyo wake sasa umeshakupenda ila anashindwa kusema.
 
thanx mkuu,me niliisha amua kumpotezea siku nyingi.

Kwa kuwa umeshaamua kuachana naye na kwa kuwa bado anakufanya babu jinga chambilecho The boss, mlete tumle mtungo!! (natania mkuu siku hizi mvua 30 inakusubiri)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom