Naombeni ushauri kuhusu huyu binti.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Kuna binti mmoja niliwahi kumtongoza akanikataa,basi me nikabembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake,kwa kweli huyu binti nilitokea kumpenda sana na ikafikia hadi hatua nikawa namhonga nikitegemea labda atabadili msimamo wake,cku aliyonivunja moyo ni cku ambayo aliniambia kwamba hataki kuwa mpenzi wangu kwa sababu sina mvuto so kwa kifupi simvutii{fikiria mtu unavojickia ukiambiwa hayo maneno weather ni kweli huna mvuto or not}kwa kweli nilijickia vibaya sana na ikumbukwe kwamba huyu binti nilikua namsaidia mambo mbalimbali ya kimaisha,basi me nikaona kama amenidharau to the maximum,nikakata misaada yote ambayo nilikua naitoa kwake coz nilijua hata nimpe nini ni ngumu kumpata,nikawa nawasliana nae mara moja moja ili kumfanya asigundue kwamba niliudhka na yale maneno yake,sasa imèfika jana ucku akanitumia sms akinitakia usiku mwema,mie nikamjibu to ''nawe pia gnt''baadae akanipigia simu akawa ananilalamikia kwamba cku hzi nina roho mbaya na eti namchukia sana,nikamuulza nan alimwambia kuwa namchukia akawa anapotezea,baadae ktka maongez cmu yangu ikakata charge so nikabadilisha cmu haraka haraka ili nimskilze shida yake,but nikakuta simu yake iko busy zaidi ya mara 2,me nkaamua kulala,leo tena kanitumia txt akanambia iwe mara ya mwisho mim kuwasliana nae,nikamjbu kwa nin akanambia tena mie namchukia na simpendi,nikamjbu nikamwambia simchukii na ni kweli simpend cos she is not my gal,kumwambia ivo akaja juu kwamba kumbe mda wote huo amepoteza kwangu me namchukulia poa tu,iweje leo nimwambie sio gal wangu!sijamjbu chochote mpaka saa hzi,sasa wakuu nisaidieni kuisoma chemistry ya huyu binti,yeye aliisha niambia mimi simvutii,iweje leo tena aniambie hayo maneno yake?
 
Kuna binti mmoja niliwahi kumtongoza akanikataa,basi me nikabembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake,kwa kweli huyu binti nilitokea kumpenda sana na ikafikia hadi hatua nikawa namhonga nikitegemea labda atabadili msimamo wake,cku aliyonivunja moyo ni cku ambayo aliniambia kwamba hataki kuwa mpenzi wangu kwa sababu sina mvuto so kwa kifupi simvutii{fikiria unavojickia ukiambiwa hayo maneno weather ni kweli huna mvuto or not}kwa kweli nilijickia vibaya sana na ikumbukwe kwamba huyu binti nilikua namsaidia mambo mbalimbali ya kimaisha,basi me nikaona kama amenidharau to the maximum,nikakata misaada yote ambayo nilikua naitoa kwake coz nilijua hata nimpe nini ni ngumu kumpata,nikawa nawasliana nae mara moja moja ili kumfanya asigundue kwamba niliudhka na yale maneno yake,sasa imèfika jana ucku akanitumia sms akinitakia usiku mwema,mie nikamjibu to ''nawe pia gnt''baadae akanipigia simu akawa ananilalamikia kwamba cku hzi nina roho mbaya na eti namchuki,nikamuulza nan alimwambia kuwa namchukia akawa anapotezea,baadae ktka maongez cmu yangu ikakata charge so nikabadilisha cmu haraka haraka ili nimskilze shida yake,but nikakuta simu yake iko busy zaidi ya mara 2,me nkaamua kulala,leo tena kanitumia txt akanambia iwe mara ya mwisho mim kuwasliana nae,nikamjbu kwa nin akanambia tena mie namchukia na simpendi,nikamjbu nikamwambia simchukii na ni kweli simpend cos she is not my gal,kumwambia ivo akaja juu kwamba kumbe mda wote huo amepoteza kwangu me namchukulia poa tu,iweje leo nimwambie sio gal wangu!sijamjbu chochote mpaka saa hzi,sasa wakuu nisaidieni kuisoma chemistry ya huyu binti,yeye aliisha niambia mimi simvutii,iweje leo tena aniambie hayo maneno yake?

Hamna kitu hapo! Anataka kurejesha mahusiano tena ili aendelee kutafuna visenti vyako. Nawe pia unaendelea kushikishwa pembe wakati wengine wanakamua maziwa. Pole!
 
Achana naye sababu atakuja yy akisema anakupenda. Achana naye kabisa tena hata mazoea kata. Hy anapenda hz huduma tu unazompatia na si kingine
 
Alikuambia kua auna mvuto sio ATM yako. Uyo dem akupendi ata nukta1 na ikaja cku akukubalia tegemea lazima atakuja kukufanya mbaya. Bytheway Naisi atakua dent tena under 23 KIMEO!!
 
Kuna binti mmoja niliwahi kumtongoza akanikataa,basi me nikabembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake,kwa kweli huyu binti nilitokea kumpenda sana na ikafikia hadi hatua nikawa namhonga nikitegemea labda atabadili msimamo wake,cku aliyonivunja moyo ni cku ambayo aliniambia kwamba hataki kuwa mpenzi wangu kwa sababu sina mvuto so kwa kifupi simvutii{fikiria mtu unavojickia ukiambiwa hayo maneno weather ni kweli huna mvuto or not}kwa kweli nilijickia vibaya sana na ikumbukwe kwamba huyu binti nilikua namsaidia mambo mbalimbali ya kimaisha,basi me nikaona kama amenidharau to the maximum,nikakata misaada yote ambayo nilikua naitoa kwake coz nilijua hata nimpe nini ni ngumu kumpata,nikawa nawasliana nae mara moja moja ili kumfanya asigundue kwamba niliudhka na yale maneno yake,sasa imèfika jana ucku akanitumia sms akinitakia usiku mwema,mie nikamjibu to ''nawe pia gnt''baadae akanipigia simu akawa ananilalamikia kwamba cku hzi nina roho mbaya na eti namchukia sana,nikamuulza nan alimwambia kuwa namchukia akawa anapotezea,baadae ktka maongez cmu yangu ikakata charge so nikabadilisha cmu haraka haraka ili nimskilze shida yake,but nikakuta simu yake iko busy zaidi ya mara 2,me nkaamua kulala,leo tena kanitumia txt akanambia iwe mara ya mwisho mim kuwasliana nae,nikamjbu kwa nin akanambia tena mie namchukia na simpendi,nikamjbu nikamwambia simchukii na ni kweli simpend cos she is not my gal,kumwambia ivo akaja juu kwamba kumbe mda wote huo amepoteza kwangu me namchukulia poa tu,iweje leo nimwambie sio gal wangu!sijamjbu chochote mpaka saa hzi,sasa wakuu nisaidieni kuisoma chemistry ya huyu binti,yeye aliisha niambia mimi simvutii,iweje leo tena aniambie hayo maneno yake?

Mkuu nimekurahisishia sehemu zenye ujumbe mzito, maana naona unajifanya kipofu na kiziwi.
Mengine ameongezea The Boss hapa chini...

duh...
ukisikia babu jinga ndo wewe....

umsome nini hapo tena
shukuru yameisha,move on...
au unataka uchunwe mpaka urithi ????

Asante sana mkuu.
 
Ukipenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli uwanja wa ndege.
SOURCE: Mpoki
 
khaaa! niambie tu kwamba wewe sio ndugu yangu manake real ningekutia mabao ya usoni. ushaambiwa kabisa kwamba hupendwi so what unataka nini tena? ama ndo uchunwe hadi urith kama alivyosema boss?
 
Last edited by a moderator:
Mwaka huu tutaombana ushauri mpaka kiatu gani mtu aanze kuvaa, cha mguu wa kulia au kushoto.

We subiri tu hapa.
 
hapendwi mtu inapendwa pochi tu... halafu kuambiwa 'hupendwi kwa sababu huna mvuto' ni kilele cha matusi ambayo huyo binti angeweza kukuchagulia
 
duh...
ukisikia babu jinga ndo wewe....

umsome nini hapo tena
shukuru yameisha,move on...
au unataka uchunwe mpaka urithi ????

hahahahaha...mwenye macho haambiwi tazama. Wahenga hawakuwa wajinga kuutoa msemo huu...

The boss..umenena aiseee!
 
hapendwi mtu inapendwa pochi tu... halafu kuambiwa 'hupendwi kwa sababu huna mvuto' ni kilele cha matusi ambayo huyo binti angeweza kukuchagulia

Babujii hajajua "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
 
Chezea mapenzi wewe,jamaa hapa bado anamtamani bint na binti hana habari amemiss tu charity funds gharamia mwaya penye uzia penyeza rupia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom