Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 309
Naombeni ushauri wenu jamani,mimi ni msichana wa miaka 27 sasa,kwakweli nimekuwa nikimuomba Mungu sana anipe mume mwema,mwenye kunijali,kuniheshimu kunipenda mm na familia yangu,ingawa kuna mkaka nimekuwa nikimdate for 3yrs sasa lkn namuona hayuko serious yani mfano wote tuko dar mwezi mzima hatuonani ukiuliza eti ni ubusy,wknd wala haulizi niko wapi au na nani,miaka yote hii familia yake hakuna hata anaenifahamu lkn mm kwetu watu wooote wanamfahamu,kuhusu ndoa anasema yy bado yupo yupo sanaaaaaaaaaaaaa,kiukweli sitaki kuwaza kama ana cheat yy na Mungu wake ndo wanajua,sasa ni mwezi wa pili sasa nimepata mtu anaenipenda sana na kunijali mm na familia yangu na anasema yuko tayari kunioa yy anamiaka 45,sasa jamani je niolewe na huyu labda Mungu kajibu maombi yangu,na yule mwingine nimwambiaje?je umri nao si kikwazo?naombeni ushauri wenu .
NB:SI MM JAMANI NI RAFIKI YANGU KANITUMIA HIYO MAIL NIMEEDIT KIDOGO.
NB:SI MM JAMANI NI RAFIKI YANGU KANITUMIA HIYO MAIL NIMEEDIT KIDOGO.