naombeni price za iphone 3gs na 4gs kwa bongo..

mwanakazi

Member
Apr 10, 2011
68
37
wadau natafuta iphone, kama kuna mwenye connection na hizi bizness anijulishe bei ya iphone 3gs na 4gs kwa hapa bongo na kwa nje ya bongo ninaweza kuagiza vipi.... naomba mawazo ni kwa jinc gani naweza pata genuine product kwa bei nafuu zaidi, hata kwa kuagiza.

pia naomba mnijulishe jinc ya kuchek kama ni genuine au ya kichina.
ni hayo tu wadau............ plz help!
 
Nice advertising tactic unajiuliza na na unajijibu.......... forensic

Hapa ni teknolojia sio sehemu ya kuulizana bei . Ebu tuelezeee nini tofauti za kiteknini kati ya iphone 4g na 4gs.
 
Nice advertising tactic unajiuliza na na unajijibu.......... forensicHapa ni teknolojia sio sehemu ya kuulizana bei . Ebu tuelezeee nini tofauti za kiteknini kati ya iphone 4g na 4gs.
zing hyo 4gs hakuna! Au kaona ya mchina!
 
wadau natafuta iphone, kama kuna mwenye connection na hizi bizness anijulishe bei ya iphone 3gs na 4gs kwa hapa bongo na kwa nje ya bongo ninaweza kuagiza vipi.... naomba mawazo ni kwa jinc gani naweza pata genuine product kwa bei nafuu zaidi, hata kwa kuagiza.

pia naomba mnijulishe jinc ya kuchek kama ni genuine au ya kichina.
ni hayo tu wadau............ plz help!

Angalia hapa 3g mobile phones at kivuko.com
 
asanteni wadau!but niwe muwazi tu (nisiwe kama mbunge wa ccm na kusifia budget), cjapata msaada saaaaaana! na 3g na 3gs nazani kuna tofauti. tofauti ipi.............. go and google!
ha ha ha...........thanx much wanajamvi............ APPRECIATED!
 
Back
Top Bottom