Naombeni msaada

Jonas justin

Member
Oct 31, 2010
90
3
naombeni msaada mwili wangu unaniwasha sana pale ninapopita kwenye jua kali na nikipata joto na pia wakati na fanya mazoezi mwili unakua unaniwasha.Nikiazwa kuwashwa nakua najisikiakama vitu vina nichoma kama sindano au miba ila vinakua mwili mzima nishaendaga hospitalini wakaniambia niache kula maharage lakini bado tatizo linaendelea naombeni msaada na ushauri nifanye nini.
 
Back
Top Bottom