Poleni na kazi na mihangaiko wan JF. mimi niliomba chuo na kozi mwaka wa masomo 2012/2013, kutokana na masharti ya mkopo inaonekana kipaumbele kipo kwenye baadhi ya kozi.kwa wale wa Arts kipaumbele kipo kwenye kozi ya Education tena maximum ni 50%.kwa vile sina jinsi ikabidi niombe hivyo hivyo hata hiyo 50%.nilichagua kozi saba zote za education na zote nilikuwa eligible.
1.Bacherol of education in ICT-UDOM Tuition fee 700,000/-
2.Bacherol of education in adult education and commonity education-UDSM Tuition fee 1,000,000/-
3.Bacherol of education in Policy, planning and management -UDOM Tuition fee 700,000/-
4.Bacherol of education in management and administration-UDOM Tuition fee 700,000/-
5.Bacherol of Arts with education-UDSM Tuition fee 1,000,000/-
6.Bacherol of Arts with education-DUCE Tuition fee 1,000,000/-
7.Bacherol of Arts with education-SAUT Tuition fee 950,000/-
kwenye machaguo yote nimepat SAUT ada yao si laki tisa na nusu ni miolioni moja laki mbili na zaidi.kilichonipa shida mpaka nikaomba ushauri kumbe hiki chuo hakina hosteli yaani mpaka upange mtaani.Mpaka sasa nimechanganyikiwa.Nilikuwa nimejifariji kuwa kama nitalipiwa 450,000/- na bodi basi mimi nitajibana nilipie 450,000/- kutoka kwenye meals and accomodation.
Naomba mnisaidie Je, kuna uwezekano nikapangwa UDOM kozi yoyote tu ya Education maana ada yao kidogo ina unafuu na nasikia kuna hosteli.
Nimesoma Advanced secondary education nikiomba omba na wakati mwingine nafanya vibarua ili nipate ada na nilipomaliza wale waliokuwa wananisaidia waliniambia fika niombe kozi zenye mkopo. Nilipowaambia nimepata chuo na jinsi kilivyo wamenilaumu ni kwanini nimeomba chuo cha private.
Jamani kuendelea na masomo napenda sana ila naona kizuizi mbele yangu.Nifanyeje?
Pia naombeni contact za TCU e-mail address na namba ya simu.Hata wao niwalilie.