naombeni msaada wenu wana jf!

ni adventure tu inayotufanya tupende kuonjaonja hata kama hao wa nje hawafikishi hata robo ya masifa ya mamsap.... (changanya na zako, usinikwoti teh teh teh)
 
mwee...moe naona wat attracts man is sex without commitment...basi hapo ni raha tupu jist ofa sex and be pretty...thats ur job as a woman
 
mwee...moe naona wat attracts man is sex without commitment...basi hapo ni raha tupu jist ofa sex and be pretty...thats ur job as a woman

Hili labda ww pekee au wavulana but wanaume means real mens hawamchukulii mwanamke km ww ulivomchukulia hapo wala hawavutiwi na mwanamke kwa ajili ya hayo uliyoandika apo!labda km ni kulingana na upeo na namna uvutiwavyo na wasichana kwa upande wako!
 
Utampenda mwanamme kwa mengi kwaupande wangu kwanza tabia,mpole mwenye busara ,Hana papara kwenye Sita kwa Sita unapokua nae hata waje warembo kuliko mm yeye wala hawamshughulishi,anaejali mm na familia yangu japo kwa Salam ,mie Huyo Ana nibeba kwa kidole cha mwisho.
 
no nid to bite my head bana...loh mnakuwa wakali kumbe mwiaho wa siku bado wanaume pita nyie mbavuni
 
Dia kila mwanaume ana vionjo vyake,ila kuna vitu general ambavyo asilimia kubwa ya wanaume wanapenda na kuvutiwa navo,kwanza heshima,kujiamin as a woman,mwelewa,mkweli,wivu wa kiac,mapnz ya dhati,kujituma na ubunifu kitandan bila kusahau usafi wako binafsi na ndan ya nyumba/rum,hawapendi mdomo,omba msamaha ukoseapo,jua kuhandle tempa zako,ucwe mbishi,kuwa na mashost wacoeleweka,ujue maisha nini na co kupenda starehe wakati wote,na kubwa zaidi kutulia kwenye mahusiano co kua na tamaa za kijinga.
 
Kwanza hili jamao ni gumu,ila Kwangu mimi,mwanamke anaejua kuwa yeye ni mwanamke inatosha kabisa kuuteka moyo wangu!
 
Wanawake wanadata na KENDEzetu kuliko kitu chengine kipatikanacho kwenye mwili wa mwanaume ndo nilivyoambiwa na mahabuba wangu nyie je?
 
Nadatishwa sana na kwanza uzuri wa sura na umbo na nisione soo kuongozana naye, mwenye mipango ya maendeleo, msafi, mcha Mungu na asiyetumia vilevi, mwelevu, MWAMINIFU!!! Ukiwa nazo hizo, hakika dunia sasa itakuwa paradiso ndogo kwangu!! Sintatamani yeyote yule!
 
ni adventure tu inayotufanya tupende kuonjaonja hata kama hao wa nje hawafikishi hata robo ya masifa ya mamsap
song3.jpg
song2.jpg

song4.jpg
 
ni ngumu sana ku-generalise-ila ukikaa na mtu kwa muda flani,unaweza kumsoma kuwa ni vitu gani yeye huwa anapenda
 
yaani mimi nina demu wa maana sana kwa (upeo wangu) lakini niko ninaangaika na mwanamke mmoja hivi..lakini bado anagomagoma..kila siku nawaza,nejenga picha nikiwa naye ndani ya 6 kwa 6..mwanamke huyu hana sura wala umbo zuri lakini namtamani ile mbaya..yaani sijui kipi hasa kimenivutia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom