Naombeni Msaada Wenu Wakuu ....

under_score

Senior Member
Nov 2, 2011
190
45
habari waungwana?

kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya jambo hili wakuu, em naombeni kujuzwa tafadhali, hivi mwanamke yu aweza kuwa kwenye bahati ya kubeba ujauzito baada ya siku ngapi kupita tokea siku ya mwisho ya kumaliza hedhi ?

we are planning into making a baby in 2012!
 
9 hadi 18........!!!

Sorry, uko kwenye ndoa??? Na kama ndiyo, ndoa yenu ina umri gani???

Babu DC!!
 
habari waungwana?

kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya jambo hili wakuu, em naombeni kujuzwa tafadhali, hivi mwanamke yu aweza kuwa kwenye bahati ya kubeba ujauzito baada ya siku ngapi kupita tokea siku ya mwisho ya kumaliza hedhi ?

we are planning into making a baby in 2012!

kwa kujiita "Under_Score" hiyo kazi tayari imekushinda. Maswali haya bestman wako anaweza kukusaidia.
 
Safe periods: kuanzia siku ya kwanza hadi ya hedhi hadi siku 10. Kuanzia siku ya 11 hadi siku ya 18 ni danger periods yaani siku ambazo mimba yaweza kutungwa. Kuanzia siku ya 19 hadi hedhi nyingine ni another safe periods.
 
US, wakati unajiandaa kupata mtoto ni wazo la busara kuonana na dr wa wanawake. Mtapata ushauri na kupata nafasi ya kupima afya zenu. Uki-google pia utapata khabari za kutosha na free calendars za kukumbusha siku kwa alarm. In a nutshell, siku ya 10 hadi ya 16 kuna uwezekano wa kubeba mimba. Japo pea iko kwenye siku ya 11 hadi 13. Hiyo extension ya mwanzo (day 10) inacheza na uwezo wa sperms kudumu kwenye kizazi na hiyo ya baada (14-16) inacheza na uwezo wa yai lililopevuka kuendelea kuwa hai
 
kwa kujiita "Under_Score" hiyo kazi tayari imekushinda. Maswali haya bestman wako anaweza kukusaidia.

Dah! ebwana 'Mfwalamanyambi' na we kwa hilo jina na huo ushauri wako wa mawazo, mi sina comments aise zaidi ya kukusamehe tu! thanks anyway, see you tried it out.-

Otherwise nawashukuruni nyote kwa mawazo ya kiungwana na darasa zuri sana ambalo na imani limekuwa ni kwa faida ya wengineo pia waliokuwa njia-panda kama mimi, big up JF!
 
Back
Top Bottom