Naombeni msaada wenu wa kufunga kastesheni kadogo ka Tv!!!!!!!!!!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
WanaJF wenzangu habari za jioni baada ya purukushani za siku nzima natumai mu wazima.Nalileta mbele yenu hili linalonisumbua kichwa.Kwa ufupi jamaa zangu wa kanisa huko mikoani wana hospitali yao ya misheni wanahitaji kufunga Tv kwa kila wodi za wagonjwa ili muda wa maombezi unapofika pastor aweze kuendesha ibada ya maombezi akiwa ofisini kwake na wagonjwa kupokea maombezi hayo kupitia kwenye tv zilizo kwenye wodi zao. Maana hapo kabla na hadi hivi sasa anafanya maombezi kwa wodi zote kwa kutumia redio na spika zilizowekwa kwa kila wodi kutoka control room ambako ni ofisini kwake. Naombeni kwa wanaofahamu wanisaidie ni vifaa gani vinavyotakiwa.Umbali toka control hadi kwenye wodi ni kama mita 150 hadi 200 na wodini inatakiwa wapokee hayo mahubiri kwa UHFau VHF.msaada wa mawazo tafadhali
 
Waone mafundi wa mambo hayo watakusaidia,inategemea uko mkoa gani,kama ungekuwa Dar ningeweza kukupa fundi mzuri
 
Jaribu kutumia kifaa kinaitwa &quot;<a href="http://www.geeks.com/details.asp?InvtId=MSCAVSDR" target="_blank">Room-to-Room Audio/video sende</a>r&quot; ingawaje inaweza kupeleka umbali wa 100 feet, itakuwa ni mwamzo wa kupata idea zaidi. Au jaribu <a href="http://aitech.stores.yahoo.net/prmeex5gdi.html?gclid=CPqu64OazqoCFVEi3wodVi-DzQ" target="_blank">ProA/V Media Extender</a>. Kazi njema.
<br />
<br />
Samahani bosi unaweza kuniainishia bei zake na zinapopatikana?
 
Back
Top Bottom