Naombeni msaada waungwana!!!

firstcollina

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
349
21
Wana JF habari.
Jamani nipo katika harakati za kusaka Post grad au Masters katika fani za Procurement and logistics. Kwa taarifa fupi nilizonazo ni kwamba kipo chuo kimoja maeneo ya Chanika kilicho chini ya udhamini wa serekali ninachotoa mojawapo ya vitu hivyo nilivyotaja hapo up-stairs

Naombeni wenye ufahamu juu ya jambo hili mnisaidie, maana kwa sasa nipo mbali, nje ya na Dar es salaam na kwa ufahamu wangu mdogo nyakati hizi ndio vyuo vingi vinafanya registrations hasa katika mambo hayo ya Post and Masters, hivyo nina wasiwasi wa kuchelewa au kukosa nafasi.

Pia kama kuna chuo kingine chenye kutoa vitu hivyo pia naomba wadau msisite kuni taarifu juu ya usefull information.

:confused2:Thanks

Bless be to those who wishes the bests in the carrier development of this JF "The Home of Great Thinkers".
 
Kila la heri ndugu yangu, bahati mbaya sina msaada kwenye ombi lako hili lakini hapa jamvini labda kutakuwa na wengi wanaoweza kukupa msaada wa namna moja au nyingine. Usisahau siku zote elimu ni mali.
 
Back
Top Bottom