Naombeni msaada wanajamvi jamani!!! Sijawahi kupanda treni kesho ndoto inawezatimia

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
409
135
Msaada wa mawazo, maelekezo, maoni na ushauri nitauzingatia, kwanisijawahi kupanda treni; tangu niletwe kwa msaada wa mola hapa Tanzania; Nina umri wa miaka 28 Tanzania tangu uhuru 51. Vyombo vya habari TV nimeona treni za Mwakyembe.
Mkuu wa mkoa naye kapanda.Kesho liwalo na liwe zamu yetu kasema, taadhari maeneo ya watu waweke alama zisiue nikajiogopea. Ndipo nilipowakumbuka Wanajamvi wenzangu wa JF kwani anzia kesho naenda tabata nikitokea msasani mandaz road kulivizia likipita narukia kama gari la gongo la mboto. Nimejiwekea malengo kabla sijafa napanda na ndege mwaka huu naanza na treni.
MASWALI:» Kwani kuuliza si ujinga ni uelewa hivyo jibu kwa uhuru
1. Je na wewe ulishawahi kupanda treni? Mwenzangu ulijisiaje kwani inakimbia sana kama ndiyo nikae mbele karibu na derava au katikati ili nisirushwerushwe sana kiuno ikiwa inarukaruka reli screpa
2.Wamachinga watakuwa kando ikisimama kwenye mataa ninunue maji hata ya kandoro kiu
3.Hotel itakayosimama tule inaitwaje?
4.Treni ZoteLuxuary au?
 
Kweli Nyani Ngabu alisema miafrika ndivyo ilivyo? Sasa namna ya kupanda treni au kama kuna aliyewahi kuipanda itakusaidia nini kama siyo ulimbukeni mwanangu?
 
Makubwa...

ndio tanzania ni zaid uijuavyo, "Ukiniambia makubwa ndo nini kwenye treni usininyime wazo kesho nisiumbuke au wandish wakapata habar nikatokelezea kwa ushamba niutoe hata wakinikuta nazungumziaje hiyo huduma niwawakilishemawazo ya wanajamii
 
Kweli Nyani Ngabu alisema miafrika ndivyo ilivyo? Sasa namna ya kupanda treni au kama kuna aliyewahi kuipanda itakusaidia nini kama siyo ulimbukeni mwanangu?

Baba nakuheshimu kwa mujibu wa amri ya 4 umeishi zaid waswahili wanasema, ukiona njani mzee kakwepa mishale mingi la treni vp funguka hapo zamani za kale nilipanda tren ehee halafu.....
halafu kumbuka umejibu swali moja hayo mengine na la 5 mawazo yako baba siamini kwenye mtiani ulikuwa unajibu swali moja usingefikia hatua uliyofikia kielimu hata ukaweza jamii kuchangia na hata kuandika treat
 
Huwa halisimami,unadandia likiwa katika mwendo

Ina maana hawahitaji fedha na uniambie jion kwani watakuwa wamepata za boss wakimbize wanaenda kufuturu unaniogopesha wanawahi ahera hawaelewa wanapoambiwa mwendo kasi sio mzuri je wenye ulemavu na mwendo kasi jamani tunajipendelea hata katiba si rafiki kwa walemavu kusoma na kutoa maoni treni nayo
na wasiwasi na jibu lako nachojua kinakimbia ni hayo magari ya makufuli ambayo hata barabara yake wajerumani ndo wanatujengea kama kweli na usafiri wa mwakyembe ni kasi njoo wakina ngorikaa tanzania zaid ujuavyo jamani mnabeba watu
 
Sasa hili nalo ni la kuanzisha uzi kweli!!?? Hv kama mtu hana la maana la kuandika si unakaa kimya tu jmn. Miaka 28 unaonekana bado hujakuwa kiakili au ni limbukeni. Kapande treni la Kigoma ndiyo utajua ni lakshari au staki shari.
 
Mie nimepanda treni enzi nasoma tabora,it was funny tulikuwa twaimba na kucheza bac abiria wanatushangaa 2 ila kulikuwa na karaha za kuibiwa ,harufu n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom