Naombeni Msaada wakuu

Wanyamtura

Member
Jan 23, 2012
24
1
Printer yangu ni Hp color laser jet 1600, mwanzo ilikuwa inaprint quality nzuri sana, ila toka nimebadili Ink inaprint Black tu color haiprint kabisa nimebadili wino mpya na original imegoma, naombeni msaada nifanyeje?
 
umebadili catridge zote mbili za colored na black? ukiangalia katika software yako ya printer je catridge zote zipo detected?
 
Nadhan inatumia toner zaidi ya moja, how is the printer? inawezekana laser image kit needs replacement. recommended pages kuanzia 5000 mpaka 7000 standard printing....
umebadili catridge zote mbili za colored na black? ukiangalia katika software yako ya printer je catridge zote zipo detected?
 
umebadili catridge zote mbili za colored na black? ukiangalia katika software yako ya printer je catridge zote zipo detected?

kaka printer ina detect na inasema cartridge nilizoweka ni Guinea, ila inaprint black tu. Inatumia Cartridge nne.
 
Printer yangu ni Hp color laser jet 1600, mwanzo ilikuwa inaprint quality nzuri sana, ila toka nimebadili Ink inaprint Black tu color haiprint kabisa nimebadili wino mpya na original imegoma, naombeni msaada nifanyeje?

PAkua manual ya printer yako hapa kwenye tovuti ya HP then soma .

kwa kukurahishina nenda ukurasa wa 89 unahusika na Solving issues with color documents

kuna mapendekezo mbali mbali yafanyie kazi. baadhi yake ni
  • Select color mode instead of grayscale ( Hope unafahamu sehemu ya kucheki hizi setting. Ni kwenye printer properties)
  • Print a Configuration page. If no color appears on the Configuration page,
  • etc
Refence ya kwanza saidizi na msaada ukipata tatizo la kifundi ni manual
 
kaka printer ina detect na inasema cartridge nilizoweka ni Guinea, ila inaprint black tu. Inatumia Cartridge nne.

Kutokana na maelezo yako nadhani tatizo litakuwa katika settings. jaribu kutafuta manual ya hiyo printer itakusaidia kusolve hilo tatizo au kama hauwezi tafuta mtaalamu ambaye anaweza kukusaidia
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom