Naombeni Msaada wa mawazo

Zeddicus

JF-Expert Member
May 5, 2012
627
534
Great thinkers naombeni ushauri wenu kuhusiana na hili,tangu nikiwa o level nilipanga nitakuja kusomea maswala ya land(bachelor of sciense in land management and valuation pale chuo kikuu Ardhi) ndoto zangu niliona zikianza kutimia pale nilipochaguliwa kujiunga kidato cha tano mchepuo wa EGM nilijitahidi sana kusoma kwa bidii mitihani ya kishule pamoja na mock nilikuwa nikifaulu vizuri,sasa katika matokeo ya mwisho yaani NECTA mambo yamekuja tofauti kabisa na nilivyokuwa nikifikiria nimepata division 3 ya 13 yaani ECO-D GEO-D A/MATHS-E..je kwa pass mark hizi still naweza kwenda kusoma hiyo program? Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
We vip?yan wenzio wana EEF na wanachaguliwa pale ardhi,we ndo unajidai kukata tamaa!apply faster utapata.ardhi hawana maringo kama baba yao udsm.
 
>bachelor of sciense in land management and
valuation
>code:AR013
>Admission requirements:2 princpals in geogr,econ,math,hist,a/c,commerc etc.
>Minimum Institutional Admission Points:4points(wewe una 5)
>Admission capacity:120
>Duration is 4yrs
>Tuition fees is 1,300,000/=
>Possible loan amount is 1,300,000/=
Tafakari,chukua hatua. Ila utafute na vyuo vingine,usitegemee chuo kimoja,kutakuwa na competition kubwa!
 
nakshauri uende ukaapply, kwa ardhi university cutoff points nafikiri ni 4 au 4.5 sasa uusikate tamaa wewe unazo 5.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom