Naombeni msaada kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu mihuri

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,591
Habari zenu members wote wa JF. Mimi nipo Arusha na ninatafuta wataalamu wa kutengeza mihuri ambao wanaweza kunitengenezea muhuri aina ya endorsement stamp kama hiyo inayoonekana hapo chini kwenye picha
endorsement-stamp.jpg

Kwa yeyote ambaye mwenye ufahamu wa mahali ambapo wanatengeneza mihuri ya aina hii hapa Arusha asisite kunijulisha. Au pia anaweza kunipata kupitia anwani zifuatazo.

Mobile: +255784 554 221
E-mail: youngmaster14@ymail.com

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote ambaye atajitokeza kunisaidia katika hili
 
nenda galaxy computers au ........nyingine nimesahau jina ila ipo goliondoi road opposite na meat king jirani na M bank.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom