Naombeni msaada kidogo hapa!

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Jamani embu nishirikisheni
uzoefu wenu kwa shule
mlizosoma au ambazo
mnazijua zilizofanikiwa
kwenye masomo. Je,
wanafunzi wanapimwa mara ngapi kwa term
(mitihani)? Na je,ni % ngapi
hutolewa kwa kila mtihani
na hatimaye kupata
wastani wa muhula mmoja?
Uzoefu wangu kwa shule nilizosoma na
ninazozifahamu,wanakuwa
na monthly test 25%(mara
moja tu kabla ya midterm
na terminal au annual
exams) na midterm exam 75%(aprl and sept).
Naomben mnisaidie hapo
haraka iwezekanavyo.
 
Shule nilizosoma mimi hakukuwa na Mitihani mingine zaidi ya ile ya Mihula,ya Mock na Taifa...
 
Mitihani ya kila mwezi, ya mid term na terminal.

Hata elimu katika kufanya jambo si lazima uka copy and paste,toka na idea yako.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom