Naombeni msaada katika kuchagua facult

Hakuna zaidi ya Facult of art hapo cha msingi ni kozi gani ndo wataka kwenda kwani we ualimu hupendi?

haya bana hata mm ualimu sikushauri sana kacheki community development ni nzuri
 
Wana jamvi nimepata matokeo yangu ya form6 nina Div-2HGL, ningeomba ushauri wenu katika kuchagua facult

kozi zipo nyngi sana kwa matokeo yako.Ishu inakuja kwnye mkopo,kama home mboga saba wali kitenesi hakuna mbaya.mzumbe:hrm/human resource n management,hsm/health servce n management,lgm/local govt n management,llb/law etc.
Kama mwenzangu na mimi,UALIMU ndio last opportunity yako.
 
matokeo ndo kwanza yametoka acha papara pata muda wa kufikiri na utachagua kozi nzuri kuliko kukurupuka afu ukifika chuo unajilaumu kwa kozi uliyoichagua.
 
Tafuta hiki kitabu kaka kila kitu kimeandikwa humu!"Admissions Guidebook for the
2012/2013 Academic year"
 
Kuchagua FACULTY?Au una maana programme?Nyie kizazi cha dot com mnafurahisha kweli jamani!!
 
We dogo, kwa hiyo combinenga yako njoo bagamoyo tukufundishe jinsi ya kukata kiuno, au kuigiza. Miaka miwili tu unaanzisha kundi lako la sanaa AU DIRECTOR FULANI HIVI WA FILAMU ZA KIBONGO.
 
Hakuna zaidi ya Facult of art hapo cha msingi ni kozi gani ndo wataka kwenda kwani we ualimu hupendi?

haya bana hata mm ualimu sikushauri sana kacheki community development ni nzuri

hiyo community dvt utampa mkopo wewe? Kasome Education kijana wanafunzi wanakuhitaji.
 
Huwezi kuchagua facult bwana... Tunachagua program...! Kila la kheri..!
 
Back
Top Bottom