naombeni msaada Great thinkers!!

Nov 14, 2011
36
1
Nina gf ila shida ni kwamba mara nyingi huwa nikipanga appointment nae huwa analeta excuse, na pia mara nyingine nikimuandikia sms au kumpigia cm huwa anaweza asipokee cm au asijibu sms,sasa hiyo hali imedumu kwa kipindi kama cha miez 3 nikiamua kumpotezea anakaa muda na ananipigia cm na kueleza sababu nyingi ila mim kinachoniumiza ni kwamba nampenda na huwa vitu vingi sana hata siri zake huwa anakuwa muwaz kuniambia,cha kushangaza mtu akimtongoza anakuja kunieleza sasa nashindwa kuelewa je ananipenda kwel au ananizingua!
 
duh!!! this sounds very familiar.
sasa kijana hapa itabidi upange mkakati wa mulika mwizi.
huyu kwa trend hapo ulizotaja naona huyu anawezakuwa anakuzingua ila hujapata ushahidi wa uhakika.
sasa mie naona wee unanze taratibu kukubaliana kuwa kuna uwezekano kuwa hapa unaibiwa hivyo mguu ndani mguu nje.
 
Huyo binti anasoma????? Yawezekana huwa unampigia simu muda wa darasani!!!
Ushauri.
Jaribu kukaa naye chini na kumwambia hali ya kutojibu sms na simu zako inakukera sana na unamuomba ajirekebishe.
Kama ni muelewa atajirekebisha.
 
mi mwenyewe nimehisi hivyo lakin kinachonishangaza ni jinsi anavyokuwa muwaz kwangu hata kwa vtu ambavyo cjamuuliza
 
Huyo binti anasoma????? Yawezekana huwa unampigia simu muda wa darasani!!!
Ushauri.
Jaribu kukaa naye chini na kumwambia hali ya kutojibu sms na simu zako inakukera sana na unamuomba ajirekebishe.
Kama ni muelewa atajirekebisha.

anasoma ila mara nying huwa nampigia wakati wa kulala muda ambao hata yeye mwenyewe nahs ndo muda huwa anakuwaga anapumnzika
 
inategemea una mda gani mmeanza mahusiano pengine anakucheki uharaka wako wa kutaka tunda, ila ukiona demu anakueleza jinsi anavyotongozwa anakuzuga huyo ili umuone ni mwaminifu. Nashut down
 
Nilishakuwa na demu wa hivyo mwanzoni nilimuona wa kawaida yaani sikuzama kwake kivile ,ila baadae nilikuja kumla mara moja ktk mazingira ya kuvutanavutana ila nilijikuta nampenda hata kabla sijamla akaendelea na tabia kama ya huyo demu wako ila nikajagundua kuwa alikuwa na mchumba wake anayemwezesha mambo ya chuo,pia mpaka sasa sijui tatizo hasa ni lipi japo mimi kuna siku nilipanga naye apointmemt akawa kama anataka kunizengua ,
mi kwa hasira nilimtukana sana na naye akawa anarusha,
mi tangu siku hiyo nikawa nimemdelite kabisa japo baadae tuliendelea kuzungumza fresh ,
tukikutana sehem tunatoana ,
na hadi tunamaliza chuo majuzi hapo,japo alikuwa keshafunga ndoa ila mi nilikuwa nikimtest kuhusu kwenda kula mzigo anakubali kabisa na honeshi kinyongo fulani,
ila ukweli mpaka sasa sijamwelewa kabisa huyo x wangu mwenye vitabia kama vya wa kwako,
kwa sababu ya kuishi kimjin x2 ,mazingira tuliyokutania nk,
pole sana mzee ila kazi unayo
kama unaweza piga chini kamata mwingine tofaut na hivyo utabaki kuumia huku mambo yako hayendi sabab ya m2 asiyethamin hisia zako,
 
Hisia za ngono.!!!! Kwa nini asijaribu kuchunguza mazingira anayokuwa nyumbani kwao. Msichana mwenye nidhamu tena wa shule anayewezeshwa na wazazi bado aanze tu kushobokea simu za kuongelea ngono!! Labda anapopigiwa anakuwa karibu na wazazi au watu anaowaheshimu na hataki wajue mambo yake. Tatizo nyie madogo mna papara na hizo zenu za daka chinja piga chini kamata mwingine. Looooh.
 
Anasoma chuo mwaka wa pili na c kwamba anakaa kwa wazaz yeye anaish kwenye nyumba ya kupanga na rafiki yake wanayesoma nae!!
 
Back
Top Bottom